Mkuu, wengine humu JF tumekuwa tukisema toka miaka mingi kwamba TZ Tuna tatizo kubwa zaidi la kijamii kuliko la kuungozi lakini bado watu wanapata shida kutuelewa. Fikiria sasa kama jamii imejaa watu kama huyo jamaa hapo, na viongozi wanatakana na jamii hiyo hiyo ili kuwaongoza watu wa aina hiyo hiyo, fikiria nini kinatarajiwa kutokea sasa.