Tumshauri kijana huyu cha kufanya, muda bado upo

Aamue maamuzi magumu!Hata kwenda shamba kwa Nia Moja
Shamba kwa nia moja maana yake ni nini?

Awe kama amestaafu harakati mjini, anaenda sasa kumalizia muda wake kijijini?
 
Hapo kwenye kujichua hapo ndyo papaya
Aache Mara moja kunaleta mikosi isiyoisha

Amtegemee Mungu ila pia ajichanganye na watu..kwenye mengi Kuna mengi...ajira ni ngumu sana tangu 2015...ila kukata tamaa mwiko
Akiacha kujichua wewe utamsaidiaje?
 
Hapo kwenye kujichua hapo ndyo papaya
Aache Mara moja kunaleta mikosi isiyoisha

Amtegemee Mungu ila pia ajichanganye na watu..kwenye mengi Kuna mengi...ajira ni ngumu sana tangu 2015...ila kukata tamaa mwiko
Akiacha kujichua wewe utamsaidiaje?
 
Amesomea nini huyo kijana? Au ni wewe ndio huyo kijana?
Mnavyoliza taaluma ya mtu huwa mnauliza kwa lengo la kumpa ajira? Kama ni hizi hizi motivational speechs tulizozizoea kwanini msiwe mnatililika tu. Hapo ukitajiwa alichosomea nina uhakika hauna namna yoyote ya kumsaidia moja kwa moja mfano kumpa kazi/connection
 
Mkuu watu wengi wanaongelea sana kilimo. Binafsi sinanuzoefu nacho kabisa lakini nina ndugu na jamaa ambao wanajiusisha na kilimo kwa miaka mingi na hali zao kiuchumi ni duni tena ndionwanaongoza kutupiga mizinga sisi ambao tupo huku mjini tunaobangaiza na vibarua vya deiwaka. Ni kweli kilimo kinalipa au story tu? Kama kweli mbona jamii kubwa sana ya wakulima bongo hii ni masikini wanakosea wapi?
 
Watu wa 2015 ni kama wana gundu
2015 na 2016 iyo miaka serikali ndio ilisitisha kuajiri maana pesa ilienda kwenye uchaguzi mkuu na baada ya hapo kibubu kikawa empty kwaio serikali ikasitisha kuajiri imekuja kuanza kuajiri muda ushapita watu wa miaka iyo hawaajiriki tena, muajiri akiangalia CV mtu kakaa mtaani zaidi ya miaka minne maana ake hata alichosomea ashasahau uyo. Ndio maana ukiangalia jobless wakongwe wengi ni waliomaliza chuo miaka ya 2015, 2016 mpaka 2017 pale. Sio gundu ni mazingira tuliyoyakuta ndio yametukataa
 
Tokea 2015 mpaka sasa kwavile hajafa njaa, maana yake hela anaingiza. Je, anafanya mishe gani kwa sasa?

Anaishi wapi?
Uenda anaishi kwa kusaidiwa na ndugu, jamaa na marafiki. Vi vyema ungetoa tu ushauri bila kuuliza maswali mengi ukishasikia mtu ana hali ngumu kumuuliza maswali personal sio sawa. Kama analala kwenye magofu unataka aseme ivyo?
 
Mkuu sio kirahisi ivyo. Talking is cheap. Huwezi kwenda sehemu uijui bila kuwa na mtu wa kukushika mkono. Nenda uko mbalali halafu mcheki mtoa ilo wazo akupe ramani uone kama hajakupiga siasa tu
 
Sio wanasoma ili waajiriwe ila mfumo wa elimu ndio unawaanda ivyo.
 
Upo dar? Ulianzia wap, mimi nipo maeneo ya mbagara nilishawahi kujaribu kiwanda cha nywele cha darling pale mbagara rangi 3 nimewahi asubuhi nikakutana na foleni ya kufa mtu wote wanasubiri kuingia
 
Kuna videmu nakutanaga navyo vinaniambia vinasoma udsm halaf kwa kuniringia kabisa visijue udsm nshasomaga hapo... Naishia tu kucheka
Mimi binafsi, wanafunzi wa Mabibo wakiwa wanapita sokoni hapo kunichangia machungwa huwa wananitazama kama mavi ya Idd Amin, wakiangalia jinsi nilivyovaa shati lilitoboka mgongoni, wanaishia kucheka

Hawajui tu kama na mimi nimepita huko na nilikuwa napigilia kodi za maana, baada ya chuo kuisha, hapo ndipo uzee ulianza kushika hatamu
 
Mkuu mabroo wengi hapa jf ni motivational speakers tu, nina uzoefu wa kama miaka mitatu hivi wa kuomba msaada wa ajira hapa jf kwaio ninawajua vizuri kabisa.
 
Procurement ni miongoni mwa kozi za kiboya
 
Akiacha nyeto utamsaidiaje. Kumbuka sasa hivi mapenzi ni gharama kwa mwanaume. Utampa dada/mdogo ako wa kike jamaa awe anapunguza ukame upwilu ukimzidi?
Nyeto ni nuksi na mikosi kwako mwenyewe.

Utajikuta hupendeki popote na Elimu yako na unhand some wako, hufanikiwi kwa kila ufanyalo, chochote unachojaribu kufanya kinabuma at a very bigining...

Hiyo chafu ni mbaya sana, mwisho wake tena ndio mbaya zaidi kitka afya ya uzazi. Unaweza kujiharibu mwenyewe mpaka ukawa tasa au mgumba...

Zaidi sana huko mbeleni unaweza usiwe na pumzi na uwezo waa kurudia tendo au kulifanya kwa ukamili.

Mbaya zaidi ikapeleke kuzalisha mbegu dhaifu zinazoweza kukusababishia kuzalisha watoto wenye kasoro au udhaifu fulani phisically au mentally....

Kiujumla nyeto ni mbaya haina faida ina hasara nyingi sana, haisaidii chochote zaidi ya kujiharibu mwenyewe
Natafuta Ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…