Drat
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,160
- 1,359
Shamba kwa nia moja maana yake ni nini?Aamue maamuzi magumu!Hata kwenda shamba kwa Nia Moja
Awe kama amestaafu harakati mjini, anaenda sasa kumalizia muda wake kijijini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shamba kwa nia moja maana yake ni nini?Aamue maamuzi magumu!Hata kwenda shamba kwa Nia Moja
Akiacha kujichua wewe utamsaidiaje?Hapo kwenye kujichua hapo ndyo papaya
Aache Mara moja kunaleta mikosi isiyoisha
Amtegemee Mungu ila pia ajichanganye na watu..kwenye mengi Kuna mengi...ajira ni ngumu sana tangu 2015...ila kukata tamaa mwiko
Akiacha kujichua wewe utamsaidiaje?Hapo kwenye kujichua hapo ndyo papaya
Aache Mara moja kunaleta mikosi isiyoisha
Amtegemee Mungu ila pia ajichanganye na watu..kwenye mengi Kuna mengi...ajira ni ngumu sana tangu 2015...ila kukata tamaa mwiko
Upo wapi mkuu tusogee upande huo?Aje uku tupige spana tupate buku 2 2 za wali, yupo mkoa Gani huyu mdau aje ajichanganye nasi uku tunaumoja wetu wa walamsoto wenye shahada
Mnavyoliza taaluma ya mtu huwa mnauliza kwa lengo la kumpa ajira? Kama ni hizi hizi motivational speechs tulizozizoea kwanini msiwe mnatililika tu. Hapo ukitajiwa alichosomea nina uhakika hauna namna yoyote ya kumsaidia moja kwa moja mfano kumpa kazi/connectionAmesomea nini huyo kijana? Au ni wewe ndio huyo kijana?
Mkuu watu wengi wanaongelea sana kilimo. Binafsi sinanuzoefu nacho kabisa lakini nina ndugu na jamaa ambao wanajiusisha na kilimo kwa miaka mingi na hali zao kiuchumi ni duni tena ndionwanaongoza kutupiga mizinga sisi ambao tupo huku mjini tunaobangaiza na vibarua vya deiwaka. Ni kweli kilimo kinalipa au story tu? Kama kweli mbona jamii kubwa sana ya wakulima bongo hii ni masikini wanakosea wapi?USHAURI Mimi nimemliza chuo 2015 nilifanya BAED ...Mojor Geo minor History
Nilitumia Mika Zaid ya mi2 kujitolea kweny shule Moja ya masista IPO Songea
Badae nilianza kujihusisha na kilimo Cha Mahindi trust me nilianza na heka Moja asahv nalima heka 15. Navuna Zaid ya gunia 200
Najuitia sana kupoteza muda kuatfuta Ajira nakujitolea
Vijana wengi hawataki kuanza upya
Nililima heka Moja Kwa mkono wangu w
Mwenyewe nilikongoroka U handsome wote ulitoka..nikanunua mbolea mifuko 3
Nikatia nikavuna gunia 17
Mwaka ulio fata ilikua 2018 nililima heka 3
Lakin nilikua na mtaji wa 180k ndio nilinunua mbolea mwk wa kwanza
Asahivi nimenunua Bajaj mbili mpya
Nimewapa vijana mmojaa ana diploma mwingine ni Account.
Wote nimewapa mkataba wakimaliza Miaka 2 zinakua zao.
Ukiwaambia ingia shamban Utaskia sina mtaji .....
NB: Shambani niliingia hakukua nyumbn ni mkoa ambao hawanijui kbisaaaa
Ruvuma ndani kabisa Kijiji kinaitwa Liganga wanalima Mahindi balaa.
Nipo huku Sasa ni kama nyumbani na nimeoa mngoni.maisha yanasonga.
2015 na 2016 iyo miaka serikali ndio ilisitisha kuajiri maana pesa ilienda kwenye uchaguzi mkuu na baada ya hapo kibubu kikawa empty kwaio serikali ikasitisha kuajiri imekuja kuanza kuajiri muda ushapita watu wa miaka iyo hawaajiriki tena, muajiri akiangalia CV mtu kakaa mtaani zaidi ya miaka minne maana ake hata alichosomea ashasahau uyo. Ndio maana ukiangalia jobless wakongwe wengi ni waliomaliza chuo miaka ya 2015, 2016 mpaka 2017 pale. Sio gundu ni mazingira tuliyoyakuta ndio yametukataaWatu wa 2015 ni kama wana gundu
Uenda anaishi kwa kusaidiwa na ndugu, jamaa na marafiki. Vi vyema ungetoa tu ushauri bila kuuliza maswali mengi ukishasikia mtu ana hali ngumu kumuuliza maswali personal sio sawa. Kama analala kwenye magofu unataka aseme ivyo?Tokea 2015 mpaka sasa kwavile hajafa njaa, maana yake hela anaingiza. Je, anafanya mishe gani kwa sasa?
Anaishi wapi?
Mkuu sio kirahisi ivyo. Talking is cheap. Huwezi kwenda sehemu uijui bila kuwa na mtu wa kukushika mkono. Nenda uko mbalali halafu mcheki mtoa ilo wazo akupe ramani uone kama hajakupiga siasa tuMtu mmoja kashauri vizuri hapo juu kwamba ww acha vyeti ndani elimu iache kichwani na pia GPA iache km ilivyoandikwa kwenye cheti, we nenda vijijin huko mbarali wasikokufaham kapge kazi za kutumia nguvu, kwa mwez hukos 300k... No Way out ni kujitutumua tu. Huyu jamaa nimemwelewa sana
Miaka 8 yote Mungu hajamuona jamaaAsichoke kumtegemea MUNGU ipo siku atapata fungu lake tu...[emoji110]
Akiacha nyeto utamsaidiaje. Kumbuka sasa hivi mapenzi ni gharama kwa mwanaume. Utampa dada/mdogo ako wa kike jamaa awe anapunguza ukame upwilu ukimzidi?acha kumfurumushia mwenzako zigo zito sana la uchafu, nuksi na mikosi Sir Midabwada
Sio wanasoma ili waajiriwe ila mfumo wa elimu ndio unawaanda ivyo.Tatizo la wasomi wengi huwa wanaenda shule Hadi vyuo kusoma ili wasjiliwe Sasa linapotokea suala la ajila kukosekana Basi hawana la kumfanya wanabski kujuta kwa Nini walisomaea gani hizo ebu kwa mtazamo wa Sasa niwashauli wasomi wanapoenda vyuoni wawe Kama JKT hata Kama hamna ajira wajiajili wenyewe pia ishu sio mtaji ishu Ni akili ya mtu na kujiona kwamba wa Levo furani hawazi fanya kazi furani kaxi nzuri zipo Kama vile bodaboda bajaji vibarua nk unajuwa na uhakika wa kutunza pesa Kila siku 10000 hujapata mtaji ndani ya miezi mitatu ukafsnya mambo yako yanaenda leo hii Kuna watu wsnzfanys hixo kazi hawatamani hata kuajiliwa wasalaam
Upo dar? Ulianzia wap, mimi nipo maeneo ya mbagara nilishawahi kujaribu kiwanda cha nywele cha darling pale mbagara rangi 3 nimewahi asubuhi nikakutana na foleni ya kufa mtu wote wanasubiri kuingiaAjaribu kazi za vibarua viwandani na Katika miradi ya ujenzi, huko ndiko mimi kulikonilea. Ingawa asione aibu kupokea 2500 mpk 7000 kwa siku na akikuta anatumwa na watu wa standard 7 na pia wanakula mshahara mnono kuliko yeye. Mi nilichekwa sana ati msomi unafanya kazi moja na asiyesoma, nilivumilia ila mwishowe nilizoea na wakaanza niita professor
Mfumo gani mkuu? Nipo hapa tunaweza kusaidia hata mawazohuwa nina mawazo ya kusaidia jamii ya kutengeneza mfumo/ sytem bt uwa nakosa nianzie wapi
Mimi binafsi, wanafunzi wa Mabibo wakiwa wanapita sokoni hapo kunichangia machungwa huwa wananitazama kama mavi ya Idd Amin, wakiangalia jinsi nilivyovaa shati lilitoboka mgongoni, wanaishia kuchekaKuna videmu nakutanaga navyo vinaniambia vinasoma udsm halaf kwa kuniringia kabisa visijue udsm nshasomaga hapo... Naishia tu kucheka
Mkuu mabroo wengi hapa jf ni motivational speakers tu, nina uzoefu wa kama miaka mitatu hivi wa kuomba msaada wa ajira hapa jf kwaio ninawajua vizuri kabisa.Mkuu Analyse,
siyo mtu moja ama wawili katika hili,
Ni kundi kubwa kidogo, miongoni mwao binafsi ninawafahamu. Wengine ni ndugu zangu, jamaa na marafiki zangu. Wengine tulisoma shule pamoja na hata michezo ya utotoni tuliicheza pamoja. Yawezekana pia unao.
Sasa ni watu wazima kiasi, social life forces marika zimewatupa mkono kidogo, si unajua zile lazima uvae pamba kali, raba kali, uchukue demu mkali wiki hii, wiki ijayao mwingine, club kila alhamisi na Jmos. Japo hizo forces bado zipozipo lakini umate umate unapiga breki kama zote.....
Na sasa hivi umri umekimbia kidogo. Real Life forces ndio hivyo tena zimeanza na zinahitaji kijana awajibike na hana namna.
Lakini kabachelor degree kako mfukoni.......
Mfukoni kijana hana jambo,
akilini kwa kijana, moja haikai mbili haikai....
kijana huyu hivi sasa bado yupo mjini anaishi kwa uncle, unt, shemeji, bamkubwa, bamdogo na washkaji kitaani tangu alipokuja mjini kusoma chuo na tangu amalize chuo miaka hiyo hajapata ajira mpaka sasa....
Katika ujumla huo ndipo, nikaomba nasaha na ushauri humu jukwaani kwajili ya kijana huyu, ili aondokane na huo mkwamao....
Procurement ni miongoni mwa kozi za kiboyaMiaka kadhaa imepita sasa, Mdogo wangu alinisikiliza, Alisoma Bachelor of Commerce Procurement and supply Management, aka kosa kazi miaka mitatu, aka pambana CBE evening class kusomea mitihani ya board aka fail. akakata tamaa kabisa.
Tukatafuta nafasi ya kwenda kusoma Diploma ya Ualimu Chuo kapuni. Akapata akasoma alipomaliza akapata kazi kama mwalimu sijui daraja gani. Akiwa anafundisha miaka mitatu baadaye akaomba kwenda kusoma wakamruhusu, akarudi na Masters. Wakakataa kumpandisha madaraja yao hayo, nikamwambia komaa na kazi.
Akapata bahati akahamishiwa Mwanza akasoma SAUT Degree ya Ualimu kwa shida shida akamaliza wakampandisha daraja.
lakini, kila ilipokuwa zikitokea nafasi za Ugavi akawa anaomba, baada ya Muda, alipata kazi ya Ugavi yuko sehemu naye anasumbua sasa.
Lakini alisota kwa muda, nilipompa wazo la kusomea ualimu tulibishana sana lakini huwa anakumbuka anacheka sana kwa furaha kwamba alizunguka lakini alifika alikotaka kwenda.
Yeye husema usipofahamiana na watu kupata kazi ni ngumu sana hasa kwa vijana wa kiume.
Nyeto ni nuksi na mikosi kwako mwenyewe.Akiacha nyeto utamsaidiaje. Kumbuka sasa hivi mapenzi ni gharama kwa mwanaume. Utampa dada/mdogo ako wa kike jamaa awe anapunguza ukame upwilu ukimzidi?