Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #161
ndio hivyo Analyse,Nilidhani upo specific na mtu mmoja, kumbe unaongelea collectively?
Watu wa hivyo wapo wengi, na huwezi toa ushauri au solution collectively, it won't work.
penye nia pana njia,
I hope walio willing kumove on, wamechota mbinu, maarifa, uzoefu na encouragent za kutosha humu...
Waungwana wa JF wamefunguka madini mengi sana ya maana possitively......
Ni jukumu la alie tayari kuona lipi linamfaa kwa nafasi na mazingira aliopo na alifanyie kazi...
Ni hiari si lazima
Nina elimu nzuri tu, nina kazi na kipato cha kawaida cha kunitosheleza kiasi kwenye mahitaji yangu ya kila siku na pengine kaakiba kidogo, but leo kupitia uzi huu, aise nimechota na nimeongeza ufahamu na uelewa wa mambo mengi mno katika hii maisha......
I thank you and all sana...