Pre GE2025 Tumshauri Rais Samia aachie madaraka 2025 au agombee?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Duuhh ,,, kwamba unajitoa ufaham kiasi Cha kutokujua kwamba, Hata hao walokuletea machaguzi hayo 3, wameyaleta Kwa kuzingatis Raia wanataka nani?.


Wewe Kwa mtazamo Huu wako, Unadhan njia gan ilikua sahihi kupata kiongozi ?.
Ndio maana duniani hakuna real power to the people, hakuna direct democracy those who nominate are the one who chooses lakini sio mbaya sababu ile notion / kudhani kwamba yule tumemchagua sisi inafanya watu wasilalamike sababu ya notion kwamba walikuwa involved....

Wewe kama mpiga kura hauna choice ya non of the above....
 

Hayo ni maoni yako samia 5 Tenaaa
 
Habari zimfikie.

Sasa majibu tutayapata wapi?


Iwapo tasnia ya uandishi wa Habari za kiweledi na uchunguzi ingekuwa effective wangekuwa wameshapata input ya kuanzia na kuanza kufanya uchunguzi wa kiweledi na kisha kuuhabarisha umma wa watanzania.

Lakini Sasa siku hizi vyombo vya Habari vingi vimebaki kudaka matukio ya wanasiasa na kuandika kama zilivyo kwenye magazeti na taarifa ya Habari .

Yaani kama tumerudi nyuma maradufukuliko hata zamani enzi zile.
Sasa hivi ilipaswa kuwa zaidi lakini ni kama tumerudi nyuma kifikra na kiutendaji .
 
Liachie hilo jimama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…