The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Anawezaje weka pollHii mada ingeambatanishwa na POLL ingependeza sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anawezaje weka pollHii mada ingeambatanishwa na POLL ingependeza sana
Mkuu umeongea vzr sana na nimeumia sana juu ya nchi yangu kwa haya uliyoyasema, kweli huyu mama ametuuza aise daaVitu vilivyomwangusha sana Rais Samia mpaka kufikia kuvhukiwa na watu wengi, hasa ni:
1) kuwadanganya watu na kisha kupuuza suala la katiba mpya, na uwepo wa tume huru ya uchaguzi
2) kugawa hovyo rasilimali za nchi, kwa.mgongo wa uwekezaji wakati kiuhalisia hao waarabu ni wavunaji. Fikiria mtu anapewa mbuga ya wanyama au hifadhi ya msitu, halafu anaitwa mwekezaji, amewekeza nini?
3) Mikataba ya hovyo yemye hila ndani yake, inayowafanya watanganyika kuwa watu duni mbele ya wageni.
4) Uundwaji wa timu za siri za Wazanzibari ili kurahisisha uporwaji wa rasilimali za Tanganyika. Fikiria uporwaji wa bandari, Watanganyika wote waliondolewa kwenye nafasi ambazo zingewafanya washiriki kwenye huo mchakato wa uporwaji bandari. Wote waliondolewa, wakawekwa Wazanzibari, na kisha wakakamilisha uporwaji wa bandari na DP World.
5) Upendeleo wa wazi kwa Wazanzibari. Ameteua wazanzibari mpaka kwenye nafasi zisizo za Muungano. Wakati bandari za Zanzibar hazihusiki kwenye mkataba wa kishenzi wa DP, lakini Wazanzibari wapo kwenye nafasi za maamuzi kwa bandari za Tanganyika. Amezilinda bandari za Zanzibar, akaamua kuziangamiza za Tanganyika.
6) Kuwafukuza wamasai kutoka maeneo yao ya asili, na kisha kuyagawa maeneo hayo kwa waarabu.
Rais Samia alianza vizuri. Wengi mwanzoni walimuunga mkono, wapinzani na wanaCCM, walimuunga mkono. Lakini siku zilivyoenda alizidi kuwakera wananchi wengi. Sasa hivi amebakia na MACHAWA tu yanayopigania matumbo yao. Nashangaa, kati ya watu ambao hawamtaki kabisa, zaidi ni wanawake na watu wa vijijini. Wengi wanalalamikia ugumu wa maisha.
Mitano tena.
Waliwahi kupata lini kura za kutosha?Ccm wataiba kura iwapo hatopata kura za kutosha
WAMASAI inaingia kwenye rekodi ya dunia, sisemi kwa namna gani, ila ni rekodi ya dunia.Wana JF, wasalaam.
Naenda moja kwa moja kwenye mada.
Kila nikiangalia siasa zinavyokwenda, ni hakika Samia hataweza kutoboa ila kwa njia ya kumwaga damu. Atatumia nguvu sana ili kurudi ikulu.
Kuna vielementi vingi sana ninavyo viona vitakavyo mnyima kura.
1. Hana kambi ya kumpigania kufa kupona. yuko na chawa tu ambao wao wanafuata upepo tu. Kifupi hajatengeneza timu yake kwenye Siasa.
2. Kuna jamii bado kabisa haiamini kutawaliwa na mwanamke, inatawaliwa tu by the way.
3. Bandari, narudia tena, Bandari. Hii ni issue kubwa sana linapokuja swala la kampeni.
4. Wamasai, nawahakikishia hapa napo ni kazi mno. Kanda ya kazikazini hapa wanasema mzanzibari kawafukuza watanganyika kwenye ardhi yao.
5. Kujenga hoja. Samia hana haiba ya kujenga hoja na wananchi wakamsikiliza. Itakuwa ngumu sana kupangua makombola ya wapinzani. Wakati wa uchaguzi watu wanahitaji mzuka yaani, mtu akiongea iwe kwikwi.. ni kama umuone Ester Bulaya ama Mdee wanaongea, utawasikiliza tu. Ila kumsikiliza Samia ni mpaka uwe na maslahi na speech yake..kama May Mosi vile.
6. Muungano; Huu muungano wetu unafanya mgombea kutoka zanzibar aonekane kama mvamizi, Muungano unatakiwa ufanyiwe marekebisho. Bila kuurekebisha mtu kutoka zanzibar ni ngumu sana kupata kura huku bara. Kama anamchanganyiko wa ubara na Uzanzibari anaweza akapata.
Sawali; Je, CCM wamshauri aachie ngazi kimya kimya ama wamupeleke tu hivyo arudi ikulu kwa kumwaga damu?
Shida tayari pesa za uchaguzi zimeanza kufanya kazi nchi nzima! zimesambazwa mno vijijini kwa kofia ya mikopo,hapo ndipo kwenye tatizoPOLL hazijawahi kuisaidia CCM. CCM kinaamini kwamba, walioko kwenye mitandao ni wachache sasa.
Kura zao ziko kijijini na uswazi.
Sasa atakuwa mgeni wa nani?Hata huko kijijini hawamtaki huyu mama. Fuatilia
Hiyo mikopo sio issue.....ishu ni tumeShida tayari pesa za uchaguzi zimeanza kufanya kazi nchi nzima! zimesambazwa mno vijijini kwa kofia ya mikopo,hapo ndipo kwenye tatizo
Mambo mengine ni tamaaa tu, hata akiachana na kugombea ,tiyari alishakua rais atalipwa malupulupu yake kama mstaafu , inatosha kwa mawazo yanguWana JF, wasalaam.
Naenda moja kwa moja kwenye mada.
Kila nikiangalia siasa zinavyokwenda, ni hakika Samia hataweza kutoboa ila kwa njia ya kumwaga damu. Atatumia nguvu sana ili kurudi ikulu.
Kuna vielementi vingi sana ninavyo viona vitakavyo mnyima kura.
1. Hana kambi ya kumpigania kufa kupona. yuko na chawa tu ambao wao wanafuata upepo tu. Kifupi hajatengeneza timu yake kwenye Siasa.
2. Kuna jamii bado kabisa haiamini kutawaliwa na mwanamke, inatawaliwa tu by the way.
3. Bandari, narudia tena, Bandari. Hii ni issue kubwa sana linapokuja swala la kampeni.
4. Wamasai, nawahakikishia hapa napo ni kazi mno. Kanda ya kazikazini hapa wanasema mzanzibari kawafukuza watanganyika kwenye ardhi yao.
5. Kujenga hoja. Samia hana haiba ya kujenga hoja na wananchi wakamsikiliza. Itakuwa ngumu sana kupangua makombola ya wapinzani. Wakati wa uchaguzi watu wanahitaji mzuka yaani, mtu akiongea iwe kwikwi.. ni kama umuone Ester Bulaya ama Mdee wanaongea, utawasikiliza tu. Ila kumsikiliza Samia ni mpaka uwe na maslahi na speech yake..kama May Mosi vile.
6. Muungano; Huu muungano wetu unafanya mgombea kutoka zanzibar aonekane kama mvamizi, Muungano unatakiwa ufanyiwe marekebisho. Bila kuurekebisha mtu kutoka zanzibar ni ngumu sana kupata kura huku bara. Kama anamchanganyiko wa ubara na Uzanzibari anaweza akapata.
Sawali; Je, CCM wamshauri aachie ngazi kimya kimya ama wamupeleke tu hivyo arudi ikulu kwa kumwaga damu?
Hapo unaposema kwamba itapendeza zaidi itokee Raisi awe genius, lakini hilo halitatokea hapa Tanzania labda mpaka karne ya 2100, maana magenious wengi huwa wapigwa fitina katika ngazi za chini kabisa ata kwenye mataasisi ya kawaida genious wanapigwa matukio mwisho wanakuwa vichaa tu! jamii yetu bado haimani kichwa tumejegwa kuamini mdomo Zaidi.Sa100 hana maono hafai kuendelea kuwa Rais, inaonekana anategemea sana mambo ya kuambiwa/kushauriwa!.
Ila yeye kama Rais hana maarifa ya kuona njia ipi nchi ufate tupate maendeleo.
Rejea ile kauli yake maarufu mwanzoni mwa utawala wake (muende mkalitazame, hapa anawaambia wasaidizi).
Rais bora hasa kwa nchi zetu za Kiafrika zenye changamoto nyingi zinahitaji Rais mwenye maarifa sana, na akiwa genious itapendeza zaidi!!.
Fomu ni moja
Wana JF, wasalaam.
Naenda moja kwa moja kwenye mada.
Kila nikiangalia siasa zinavyokwenda, ni hakika Samia hataweza kutoboa ila kwa njia ya kumwaga damu. Atatumia nguvu sana ili kurudi ikulu.
Kuna vielementi vingi sana ninavyo viona vitakavyo mnyima kura.
1. Hana kambi ya kumpigania kufa kupona. yuko na chawa tu ambao wao wanafuata upepo tu. Kifupi hajatengeneza timu yake kwenye Siasa.
2. Kuna jamii bado kabisa haiamini kutawaliwa na mwanamke, inatawaliwa tu by the way.
3. Bandari, narudia tena, Bandari. Hii ni issue kubwa sana linapokuja swala la kampeni.
4. Wamasai, nawahakikishia hapa napo ni kazi mno. Kanda ya kazikazini hapa wanasema mzanzibari kawafukuza watanganyika kwenye ardhi yao.
5. Kujenga hoja. Samia hana haiba ya kujenga hoja na wananchi wakamsikiliza. Itakuwa ngumu sana kupangua makombola ya wapinzani. Wakati wa uchaguzi watu wanahitaji mzuka yaani, mtu akiongea iwe kwikwi.. ni kama umuone Ester Bulaya ama Mdee wanaongea, utawasikiliza tu. Ila kumsikiliza Samia ni mpaka uwe na maslahi na speech yake..kama May Mosi vile.
6. Muungano; Huu muungano wetu unafanya mgombea kutoka zanzibar aonekane kama mvamizi, Muungano unatakiwa ufanyiwe marekebisho. Bila kuurekebisha mtu kutoka zanzibar ni ngumu sana kupata kura huku bara. Kama anamchanganyiko wa ubara na Uzanzibari anaweza akapata.
Sawali; Je, CCM wamshauri aachie ngazi kimya kimya ama wamupeleke tu hivyo arudi ikulu kwa kumwaga damu?
Haya kama wanaibiwa kura na hakuna wanalofanya si ni kuwa hawana nguvu?Mnajidanganya sana mnaposema upinzani hauna nguvu. kama ingekuwa ni kweli CCM wasingekuwa wanahangaika kuiba kura usiku na mchana. Ni ukweli kabisa Watanganyika wengi hawapendi kuongozwa na Mzenji. Na hii ya Maza kuwapa mpaka kazi za Ukuu wa Mikoa na Wilaya ndiyo kabisa inamharibia!!