#COVID19 Tumsikilize mchungaji Gwajima, tusimbeze. Chanjo zote zina bechi tofauti na kuna nchi hukataa baadhi ya bechi na nyingine ni zile zilizobakia

Sasa wewe labda ndiyo Huna uelewa Gwajima na ndiyo maana umeweka heading yako hivyo na kuandika mchanganyiko wako humo kwenye contents.
 
1. Ukipata chanjo unaweza kupata corona? = Ndiyo[emoji3581]

2. Ukipata chanjo unaweza pia kufa kwa corona? = Ndiyo [emoji3581]

SWALI:
Kwanini upate chanjo?
Logical! Je Malaria ambayo tayari ina dawa!
 
Sasa wewe labda ndiyo Huna uelewa Gwajima na ndiyo maana umeweka heading yako hivyo na kuandika mchanganyiko wako humo kwenye contents.
Hapana nimeandika masuala mawili ya msingi ambayo Rev Gwajima amezungumzia.
 
Hilo kanisa analo wadanganyia mazombi wake mbona limeletwa na wazungu,kwanini asiende kwenye matunguli ambayo ndiyo aaili ya mwafrika?
 
Una shida gani wewe?Mbona kama upo upo tu!kiakili unaonekana haupo sawa.
 
Unaonekana msomi lakini walewale pole...
 
Si ujuaji ila nimeona kuwa Mchungaji ana hoja na si vibaya kuitathimi.

Lakini si kumbeza na kumkejeli.
 
Una akili timamu?
 
nondo imeshiba sanaaa siongezi wala kupunguza kitu.
 
1. Ukipata chanjo unaweza kupata corona? = Ndiyo

2. Ukipata chanjo unaweza pia kufa kwa corona? = Ndiyo

SWALI:
Kwanini upate chanjo?
Ukipata chanjo, “effects” za corona haziwi juu kama wale ambao hawajapata.

Kwa kifupi, wale ambao wangeweza kufa wakipata corona, chanjo inawasaidia wasife. Madhara ya corona yanapunguzwa na chanjo.

Wengi waliolazwa hospital na kufariki, ni wale ambao hawakupata chanjo. Kwa kifupi, madhara ya corona ni makubwa zaidi kwa wale ambao hawajachanjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…