kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Tena ni mvumilivu sana.Duuu TBC?unamoyo wa ajabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena ni mvumilivu sana.Duuu TBC?unamoyo wa ajabu
Hakika kauli za magu siyo za kushangilia sana anaweza akajicontradict mwenyewe on the same eventSikutegemea kama ungewaza namna hii. Mimi pia namuonaga mzee kama anatania hivi...
Unakumbuka issue ya zile ndinga kwenye makontena ya viatu!!? Ivi wale wenye makontena walishapelekwa mahakamani?
Nadhani wewe ni miongoni mwa wengi wasiomjua mpaka sasa mkuu wa nchi!Ziara ya Mheshimiwa Rais John P Magufuli kwa mikoa ya kanda ya ziwa inaibua vitu ambavyo vingine tulikua hatuvijui, moja wapo ni pamoja na hili la RC wa Simiyu Mheshimiwa MTAKA kuwa ndie RC BORA kwa sasa kwenye wateule wake wote waliopewa mikoa.
Kwa wasiomfahamu RC Mtaka ndiye aliewakataza watendaji wake kuweka watu ndani 'ovyo ovyo' badala yake wawaelimishe, Kitu ambacho watu walianza kusema kuwa hio sio kauli nzuri kwa utawala huu sasa leo Rais kathibitisha kuwa Mtaka ndiye RC BORA kuliko wote kwa mujibu wa taarifa zake ambazo anapatiwa, Hii inaashiria tumtegemee kwenye jiji hili lenye changamoto mbalimbali hivi punde?? Bado najiuliza.!!! Lakini niliwahi kupewa uzi na mtu 'Nyeti' kuwa miongoni mwa watu wanaoeleweka na mzee ni huyo Mtaka..! TUJIPE MUDA TU.
Mchumi Halisi
Sept 08 2018
Inawezekana amefanikiwa huku Simiyu lakini akashindwa kupambana na changamoto za Dar. Halafu pia, kila Simiyu nayo ni sehemu ya Tanzania inahitaji kiongozi mzuri, mwenye utendaji mzuriZiara ya Mheshimiwa Rais John P Magufuli kwa mikoa ya kanda ya ziwa inaibua vitu ambavyo vingine tulikua hatuvijui, moja wapo ni pamoja na hili la RC wa Simiyu Mheshimiwa MTAKA kuwa ndie RC BORA kwa sasa kwenye wateule wake wote waliopewa mikoa.
Kwa wasiomfahamu RC Mtaka ndiye aliewakataza watendaji wake kuweka watu ndani 'ovyo ovyo' badala yake wawaelimishe, Kitu ambacho watu walianza kusema kuwa hio sio kauli nzuri kwa utawala huu sasa leo Rais kathibitisha kuwa Mtaka ndiye RC BORA kuliko wote kwa mujibu wa taarifa zake ambazo anapatiwa, Hii inaashiria tumtegemee kwenye jiji hili lenye changamoto mbalimbali hivi punde?? Bado najiuliza.!!! Lakini niliwahi kupewa uzi na mtu 'Nyeti' kuwa miongoni mwa watu wanaoeleweka na mzee ni huyo Mtaka..! TUJIPE MUDA TU.
Mchumi Halisi
Sept 08 2018
Ni mjita ama mruli ama mkwaya ...kati ya hayo makabila matatuMtaka ni mkurya
Hii tabia ya kuuliza makabila ya watanzania wenzenu mmeanza lini nyie vijana.Ni mjita ama mruli ama mkwaya ...kati ya hayo makabila matatu
Vp huyu DC mpya huko Arumeru hajatajwa na mzee!Pia haumsikii sana "akigombania" nafasi kwenye vyombo vya habari au mitandao ya kijamii. Kiukweli RC Mtaka anajitahidi sana.
Kama ataletwa Dar, natuamini mipango na utekelezaji wa miradi ya maendeleo aliyoanzisha Simiyu haita suasua au kufa kabisa.
Ziara ya Mheshimiwa Rais John P Magufuli kwa mikoa ya kanda ya ziwa inaibua vitu ambavyo vingine tulikua hatuvijui, moja wapo ni pamoja na hili la RC wa Simiyu Mheshimiwa MTAKA kuwa ndie RC BORA kwa sasa kwenye wateule wake wote waliopewa mikoa.
Kwa wasiomfahamu RC Mtaka ndiye aliewakataza watendaji wake kuweka watu ndani 'ovyo ovyo' badala yake wawaelimishe, Kitu ambacho watu walianza kusema kuwa hio sio kauli nzuri kwa utawala huu sasa leo Rais kathibitisha kuwa Mtaka ndiye RC BORA kuliko wote kwa mujibu wa taarifa zake ambazo anapatiwa, Hii inaashiria tumtegemee kwenye jiji hili lenye changamoto mbalimbali hivi punde?? Bado najiuliza.!!! Lakini niliwahi kupewa uzi na mtu 'Nyeti' kuwa miongoni mwa watu wanaoeleweka na mzee ni huyo Mtaka..! TUJIPE MUDA TU.
Mchumi Halisi
Sept 08 2018
Ziara ya Mheshimiwa Rais John P Magufuli kwa mikoa ya kanda ya ziwa inaibua vitu ambavyo vingine tulikua hatuvijui, moja wapo ni pamoja na hili la RC wa Simiyu Mheshimiwa MTAKA kuwa ndie RC BORA kwa sasa kwenye wateule wake wote waliopewa mikoa.
Kwa wasiomfahamu RC Mtaka ndiye aliewakataza watendaji wake kuweka watu ndani 'ovyo ovyo' badala yake wawaelimishe, Kitu ambacho watu walianza kusema kuwa hio sio kauli nzuri kwa utawala huu sasa leo Rais kathibitisha kuwa Mtaka ndiye RC BORA kuliko wote kwa mujibu wa taarifa zake ambazo anapatiwa, Hii inaashiria tumtegemee kwenye jiji hili lenye changamoto mbalimbali hivi punde?? Bado najiuliza.!!! Lakini niliwahi kupewa uzi na mtu 'Nyeti' kuwa miongoni mwa watu wanaoeleweka na mzee ni huyo Mtaka..! TUJIPE MUDA TU.
Mchumi Halisi
Sept 08
RC Mtaka piga kazi!! Huko Arumeru kuna Kaboka mchizi anarusha maneno, sijui kwenye record za mzee atakuwa namba ngapi jamani!!
Dar kuna RC mtetezi wa wanyonge ambae kwa mapenzi yake amewaletea walimu wa Dar viti na meza kutoka Unyamwezini.
Au watakuwa ma RC wawili Dar?