christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Nipo dutwa kwani wewe upo wapi?Uko simiyu mtaa gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo dutwa kwani wewe upo wapi?Uko simiyu mtaa gani
Watendaji wa kimya kimya ndo weledi mara nyingi sana. Jamaa wengi wa awamu hii kama uneisoma ni full maonyesho ya saba saba. Ifike sehemu mikoa isimamie ukuaji wa uchumi ili chumi za mikoa ziwe na tija mi naona mikoa mingine inatoa macho tu. Anachokifanya mh Mtaka ndo kinachotakiwaNiliangalia hotuba ya rais akimsifia rc mh rais alisema kufanya kazi cyo lazma kupigapiga kelele unaweza ukafanya kazi kimya kimza alafu nzuri
Mie malambo salamu zao hapo dutwaNipo dutwa kwani wewe upo wapi?
Tusikimbilie kuhukumu wakuu wa mikoa mingine, pingine huwa wanafanya vizuri tu lakini midia ndo haziwafikii, Mathalani wangapi hapa wanamfahamu mkuu wa mkoa wa Katavi?Watendaji wa kimya kimya ndo weledi mara nyingi sana. Jamaa wengi wa awamu hii kama uneisoma ni full maonyesho ya saba saba. Ifike sehemu mikoa isimamie ukuaji wa uchumi ili chumi za mikoa ziwe na tija mi naona mikoa mingine inatoa macho tu. Anachokifanya mh Mtaka ndo kinachotakiwa
This explains why baada ya kumtumbua Diwani amegundua walimwingiza chaka sasa kaamua kumpa ukurugenzi TAKUKURU.
Na hiyo kauli yaweza kuwa fundisho tosha kwa tasisi husikaIla kwa kauli ya kusema kuwa alipewa taarifa na watendaji wake kuwa mtaka ni mtu asiyefaa hii inadhihirisha kuwa taasisi yetu inafanya kazi kwa majungu na unafiki badala ya kufanya kazi kwa tija na uweledi
Wabongo mna wivu sana na roho za kwanini hata mwenzio afanye jema lipi kamwe hamuwezi kusifiaNiwe muwazi tu ,RC mtaka anatekeleza majukumu yake kwa kiasi , lakini sioni cha ajabu alichokifanya adi kupewa sifa zilizopitiliza(promotion zimezidi).Mkiniambia ya kwamba "anaunafuu" kulinganisha na wakuu wa mikoa mingine apo nitakubali na sitakuwa na ubishi.
Mtaka ni mkuryaHivi ni lazima RC wa DSM awe Msukuma ?
Mkuu,Niwe muwazi tu ,RC mtaka anatekeleza majukumu yake kwa kiasi , lakini sioni cha ajabu alichokifanya adi kupewa sifa zilizopitiliza(promotion zimezidi).Mkiniambia ya kwamba "anaunafuu" kulinganisha na wakuu wa mikoa mingine apo nitakubali na sitakuwa na ubishi.
Mkoa wa simiyu ni mchanga, hivyo suala la media halina mashiko.Tusikimbilie kuhukumu wakuu wa mikoa mingine, pingine huwa wanafanya vizuri tu lakini midia ndo haziwafikii, Mathalani wangapi hapa wanamfahamu mkuu wa mkoa wa Katavi?
Nadhani itakuwa vizuri sasa kama tunaweza kuorozesha mafanikio ya kila mkuu wa mkoa, mfano mkuu wa mkoa fulani kasimamia ujenzi wa viwanda vingapi, ubunifu wake kuchochea maendeleo ya wananchi, utatuzi wa kero za wananchi na mambo mbalimbali hapo tutakuwa tumeitendea haki jamii forum lakini tukitoa maneno matupu tu na kuishia kulaumu hii sio tabia ya greater thinkers.
Hujaelewa nilichomaanisha rudia kusoma uzi wangu unahitaji niniMkoa wa simiyu ni mchanga, hivyo suala la media halina mashiko.
Katavi ipo juu zaidi ya simiyu.
Mtaka kajitahidi Simiyu ionekane mkoa imara na wenye ushawishi.
Mhandisi Ndikilo wa Pwani nae ni mtu makini sana.
Upo sahihiMkuu,
Hata ma Rais wote wa tz kuanzia nyerere hadi huyu aliyejiita Kichaa, hakuna Rais bora bali afadhali.
Hivyo mtaka ana afadhali ya wote
Kutakuwa na mkuu wa wakuu wa mikoa ambaye ndiye BASHITE, Paul Makonda na huyo mwingine.Dar kuna RC mtetezi wa wanyonge ambae kwa mapenzi yake amewaletea walimu wa Dar viti na meza kutoka Unyamwezini.
Au watakuwa ma RC wawili Dar?
😁😁😁Kutakuwa na mkuu wa wakuu wa mikoa ambaye ndiye BASHITE, Paul Makonda na huyo mwingine.
Kumbuka, BASHITE ndio mwokozi wa Faru John asilazwe kwenye mabanda ya tausi na wazee wa mizizi