Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mtaka ni RC bora kuliko wote Tanzania, tubishanie mengine hili halina ubishi.Tukumbuke tu RAS wake alikuwa katibu mkuu Tamisemi kama sijakosea.Na RAS yuko vizuri mno shida ya Mtaka ni ile ile ya vijana wengi waliopewa madaraka.
Mtaka anawajuwa vyema marafiki wa Mtaka na marafiki wa cheo chake, wengi wangekuwa wanalijuwa hili wasingeharibikiwa, kwa mbali namuona Mrisho Gambo kama akili zimeanza kumrudia.