Tetesi: Tumtegemee RC Mtaka Dar?

Tetesi: Tumtegemee RC Mtaka Dar?

Ziara ya Mheshimiwa Rais John P Magufuli kwa mikoa ya kanda ya ziwa inaibua vitu ambavyo vingine tulikua hatuvijui, moja wapo ni pamoja na hili la RC wa Simiyu Mheshimiwa MTAKA kuwa ndie RC BORA kwa sasa kwenye wateule wake wote waliopewa mikoa.

Kwa wasiomfahamu RC Mtaka ndiye aliewakataza watendaji wake kuweka watu ndani 'ovyo ovyo' badala yake wawaelimishe, Kitu ambacho watu walianza kusema kuwa hio sio kauli nzuri kwa utawala huu sasa leo Rais kathibitisha kuwa Mtaka ndiye RC BORA kuliko wote kwa mujibu wa taarifa zake ambazo anapatiwa, Hii inaashiria tumtegemee kwenye jiji hili lenye changamoto mbalimbali hivi punde?? Bado najiuliza.!!! Lakini niliwahi kupewa uzi na mtu 'Nyeti' kuwa miongoni mwa watu wanaoeleweka na mzee ni huyo Mtaka..! TUJIPE MUDA TU.

Mchumi Halisi
Sept 08 2018
Hivi ni lazima RC wa DSM awe Msukuma ?
 
Cjamtuhumu, itakuwa hukusikiliza hotuba ya mheshimiwa. Alitamka kuwa alivyotoa jina la mtaka kwenye uteuzi, vyombo vyake vya ushauri ndani ya taasisi ya state house walimshauri kuwa jamaa hafai hata kupewa u DC ila jamaa akaforce kumpa u RC. Chaajabu yule mtu aliyeonekana na vyombo vya kumshauri rais kuwa hafaa leo ndio the best DC. Hii ina maana gani? Ni kuwa source of information ya taasisi ilipeleka ushauri wa majungu ili kuweza kumuaribia jamaa.
huwa wana majungu wale..jk alishalalamika kuna mtu alimtumbua..kumbe yalikua majungu tu
 
Kuna mkuu alileta uzi huku kipindi cha nyuma kuhusiana na huyu mkuu wa mkoa wa simiyu kama ni mkuu wa mkoa bora kabisa kwani anafanya vitu low key na hataki publicity ya kipumbavu..hopefully waliompa jamaa taarifa walizitoa humu pia..
 
Kule kuna RC mpendwa huku kuna RC bora mchapakazi
 
Dar kuna RC mtetezi wa wanyonge ambae kwa mapenzi yake amewaletea walimu wa Dar viti na meza kutoka Unyamwezini.

Au watakuwa ma RC wawili Dar?
[emoji23][emoji23][emoji23] huyi ara sii wa darisalama sio
 
Niliangalia hotuba ya rais akimsifia rc mh rais alisema kufanya kazi cyo lazma kupigapiga kelele unaweza ukafanya kazi kimya kimza alafu nzuri
Kweli kuongea sio ndo kufanya kazi Kama aMuro kuchana karatasi ya hotuba kwamba ni ya ovyo, sasa akitaka kujiridhisha na walichoandika atakipata wapi kama ushahidi wakati amechana?
 
Tukumbuke tu RAS wake alikuwa katibu mkuu Tamisemi kama sijakosea.Na RAS yuko vizuri mno shida ya Mtaka ni ile ile ya vijana wengi waliopewa madaraka.

Somebody Sajini.
Maana halisi ya uongozi.

Huyu MTU mchapakazi.

Unaanza kumfurahia kwa ucheshi na ongea take kabla hajatatua shida yako.
 
Limbwata linaexpire kama jina la katibu mwenezi wa ccm
 
Inaonyeaha nikwajinsi gani wasaidizi wake hawatampa ushauri tena, uwe wa kweli au uwongo. Kwasababu anawasema hadharani kwamba wanamdanganya, au kwa maana ingine ni kwamba hasikilizi ushauri, wanajisumbua wanaomshauri
Hivi jiwe huwa anasikiliza Ushauri wa binadamu yeyote?
 
Niliangalia hotuba ya rais akimsifia rc mh rais alisema kufanya kazi cyo lazma kupigapiga kelele unaweza ukafanya kazi kimya kimza alafu nzuri
Haya makontena haya! Mbona yanaonyesha yameharibu mapenzi ya daddy na mwanae? Naona ile kauli ya "chapa kazi" ishasahauliwa
 
Ila kwa kauli ya kusema kuwa alipewa taarifa na watendaji wake kuwa mtaka ni mtu asiyefaa hii inadhihirisha kuwa taasisi yetu inafanya kazi kwa majungu na unafiki badala ya kufanya kazi kwa tija na uweledi
Umeshavimbiwa makande sasa unajambajamba tu, kwa akili zako ndogo Rais anapaswa kupata briefing kutoka kwa nani?
 
8napendeza mkikaa kimya, jamaa hapendi kupangiwa. Hii ikolosambaa hiyo ndio itakuwa tafsiri yake kwake. Hapangiwi.
 
Ziara ya Mheshimiwa Rais John P Magufuli kwa mikoa ya kanda ya ziwa inaibua vitu ambavyo vingine tulikua hatuvijui, moja wapo ni pamoja na hili la RC wa Simiyu Mheshimiwa MTAKA kuwa ndie RC BORA kwa sasa kwenye wateule wake wote waliopewa mikoa.

Kwa wasiomfahamu RC Mtaka ndiye aliewakataza watendaji wake kuweka watu ndani 'ovyo ovyo' badala yake wawaelimishe, Kitu ambacho watu walianza kusema kuwa hio sio kauli nzuri kwa utawala huu sasa leo Rais kathibitisha kuwa Mtaka ndiye RC BORA kuliko wote kwa mujibu wa taarifa zake ambazo anapatiwa, Hii inaashiria tumtegemee kwenye jiji hili lenye changamoto mbalimbali hivi punde?? Bado najiuliza.!!! Lakini niliwahi kupewa uzi na mtu 'Nyeti' kuwa miongoni mwa watu wanaoeleweka na mzee ni huyo Mtaka..! TUJIPE MUDA TU.

Mchumi Halisi
Sept 08 2018

IMG-20180908-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom