Tetesi: Tumtegemee RC Mtaka Dar?

Tetesi: Tumtegemee RC Mtaka Dar?

Ziara ya Mheshimiwa Rais John P Magufuli kwa mikoa ya kanda ya ziwa inaibua vitu ambavyo vingine tulikua hatuvijui, moja wapo ni pamoja na hili la RC wa Simiyu Mheshimiwa MTAKA kuwa ndie RC BORA kwa sasa kwenye wateule wake wote waliopewa mikoa.

Kwa wasiomfahamu RC Mtaka ndiye aliewakataza watendaji wake kuweka watu ndani 'ovyo ovyo' badala yake wawaelimishe, Kitu ambacho watu walianza kusema kuwa hio sio kauli nzuri kwa utawala huu sasa leo Rais kathibitisha kuwa Mtaka ndiye RC BORA kuliko wote kwa mujibu wa taarifa zake ambazo anapatiwa, Hii inaashiria tumtegemee kwenye jiji hili lenye changamoto mbalimbali hivi punde?? Bado najiuliza.!!! Lakini niliwahi kupewa uzi na mtu 'Nyeti' kuwa miongoni mwa watu wanaoeleweka na mzee ni huyo Mtaka..! TUJIPE MUDA TU.

Mchumi Halisi
Sept 08 2018
Mtaka ni theorist. Anawaza mambo mengi kweli na akikusimulia yanaleta maana ila hayatendeki. Kamati ya olimpiki ya riadha ilimshinda hivihivi kwasababu ya nadharia. Anafanya ambacho binadamu wengi wenye akili hufanya ( kuwaza mambo mazuri lakini hayatendeki). Katika mashrika makubwa mtu wa aina yake hua kwenye kitengo cha strategic planning and management.
Dar inahitaji mfanyabiashara mwenye kaliba ya George Washington, sio Makonda wala Mtaka. Mwanajeshi ambae ni mfanyabiashara ndo anatakiwa disala.
 
Dar kuna RC mtetezi wa wanyonge ambae kwa mapenzi yake amewaletea walimu wa Dar viti na meza kutoka Unyamwezini.

Au watakuwa ma RC wawili Dar?
Ni vigumu sana kubadili mpambe wa malkia maana siri nyingi zitavujishwa na yule aliyebadili.
 
Alifanya nini Tamisemi..kwnz hiyo ni demotion toka katibu mkuu hadi katibu tawala..Mtaka mwenyewe ndio driver wa success hiyo..
Ni kweli ni demotion lkn by virtue of being katibu Mkuu naamini ana uzoefu mzuri wa kushughulika na mambo ya mikoani ambapo idara kuu za huduma za jamii zipo Tamisemi.Pili,demotion inaweza ikawa sio kwa utendaji mbovu bali kuhitilafiana katika misimamo.
 
Mtaka ni theorist. Anawaza mambo mengi kweli na akikusimulia yanaleta maana ila hayatendeki. Kamati ya olimpiki ya riadha ilimshinda hivihivi kwasababu ya nadharia. Anafanya ambacho binadamu wengi wenye akili hufanya ( kuwaza mambo mazuri lakini hayatendeki). Katika mashrika makubwa mtu wa aina yake hua kwenye kitengo cha strategic planning and management.
Dar inahitaji mfanyabiashara mwenye kaliba ya George Washington, sio Makonda wala Mtaka. Mwanajeshi ambae ni mfanyabiashara ndo anatakiwa disala.

George Washington ni mkuu wa mkoa gani? Aje fasta aisee maana Dar kwa sasa ni full utumbo na kero.
 
Ziara ya Mheshimiwa Rais John P Magufuli kwa mikoa ya kanda ya ziwa inaibua vitu ambavyo vingine tulikua hatuvijui, moja wapo ni pamoja na hili la RC wa Simiyu Mheshimiwa MTAKA kuwa ndie RC BORA kwa sasa kwenye wateule wake wote waliopewa mikoa.

Kwa wasiomfahamu RC Mtaka ndiye aliewakataza watendaji wake kuweka watu ndani 'ovyo ovyo' badala yake wawaelimishe, Kitu ambacho watu walianza kusema kuwa hio sio kauli nzuri kwa utawala huu sasa leo Rais kathibitisha kuwa Mtaka ndiye RC BORA kuliko wote kwa mujibu wa taarifa zake ambazo anapatiwa, Hii inaashiria tumtegemee kwenye jiji hili lenye changamoto mbalimbali hivi punde?? Bado najiuliza.!!! Lakini niliwahi kupewa uzi na mtu 'Nyeti' kuwa miongoni mwa watu wanaoeleweka na mzee ni huyo Mtaka..! TUJIPE MUDA TU.

Mchumi Halisi
Sept 08 2018
Huyu jamaa nami huwa namkubali ingawa yupo chama ninacho kichukia ila Mataka ni mtendaji anaye jitambua kwenye baadhi ya mambo
FB_IMG_1536431654953.jpg
 
Huyu anthony mtaka ni rc bora kweli, anafnya kaz kubwa sana na nyuma ya camera, sio mtu wa show off na apendi makuu(mwezi jana alisema rc wa pwani ndo bora kuliko wao wote) anfnya kaz kwenye mkoa mpya obvious Anakutana na changamoto nying, sera ya viwanda anaitekeleza kweli now simiyu ina viwanda ving vinavyofnya kazi na ndhani ni kiongoz anayeheshimu kila mtu, nkumbuka mwez wa tano mwaka jana nlichat nae kdgo kwenye moja ya social network yke kitu ambacho ni nadra kwa viongoz tuliowazoea kujibu mtu asiyemfahamu...keep the good work rc.
 
Dar kuna RC mtetezi wa wanyonge ambae kwa mapenzi yake amewaletea walimu wa Dar viti na meza kutoka Unyamwezini.

Au watakuwa ma RC wawili Dar?
Huyo wa dar siku zake za kubakia ofisini zinahesabika baada ya kushindwa kula na kipofu
 
Umeshavimbiwa makande sasa unajambajamba tu, kwa akili zako ndogo Rais anapaswa kupata briefing kutoka kwa nani?
Acha kuwa na maneno ya taarabu mtoto wa kiume utakuja kuolew.a. Unauliza swali gani ilo la kitoto, ina maana hujui idara gani inayohusika na kufanya vetting na kumshauri mheshimiwa juu ya teuzi zake?
 
Kauli za magufuli siyo za kuamini sana maana huwa anajicontradict after few seconds
Sikutegemea kama ungewaza namna hii. Mimi pia namuonaga mzee kama anatania hivi...

Unakumbuka issue ya zile ndinga kwenye makontena ya viatu!!? Ivi wale wenye makontena walishapelekwa mahakamani?
 
MaDC na maRC wengi wamekazana kununua na kulazimisha madiwani na wenyeviti wa upinzani kuhama ili waonekane wanachapa kazi. Huyu Mtaka kama namuonaona hivi.
 
Mkoa wa simiyu ni mchanga, hivyo suala la media halina mashiko.

Katavi ipo juu zaidi ya simiyu.

Mtaka kajitahidi Simiyu ionekane mkoa imara na wenye ushawishi.
Sasa Simiyu imeonakana ina ushawishi gani?? Kuonyesha jeshi la ngoma au??
 
Back
Top Bottom