Tetesi: Tumtegemee RC Mtaka Dar?

Anaongozaje mabalozi? Huyu ni kiongozi mzembe. Hafanyi kazi na watu wake badala yake anaongoza. Watu hawapendi kuongozwa ila wanapenda muwe wote kwenye aamuzi ndipo takapofanikiwa!
Halafu anaposema anaongoza mabalozi, je yeye ataongozaje mabalozi na viongozi wengine wakati Rais yuko hapa? Yeye anajiona rais msaidizi?
Nakumbuka siku moja alisema kuwa Rais akihamia Do anaomba aachiwe ofisi ndogo ya Dar.
I hope rais hatafanya makosa hayo kwani Bashite ataletea nchi aibu nyingi sana sana 🙂 🙂 🙂
 
RC Mtaka akae chonjo; kuna watu wa kuwaamini kwa kauli zao na wengine kauli zao zinaweza kuwa na maana tofauti sana!
Labda kama tafsiri ya neno "kichaa kichaa" imebadilika siku hizi tofauti na enzi za Shaabani Robert na mwalimu Kiimbila!!
 
Sikutegemea kama ungewaza namna hii. Mimi pia namuonaga mzee kama anatania hivi...

Unakumbuka issue ya zile ndinga kwenye makontena ya viatu!!? Ivi wale wenye makontena walishapelekwa mahakamani?
Hakika kauli za magu siyo za kushangilia sana anaweza akajicontradict mwenyewe on the same event
 
Wewewe funga semeo lako hili ni jiji langu na nimlufuku kurudia maneno hayo ukiwa hapa mkoani kwangu
 
Nadhani wewe ni miongoni mwa wengi wasiomjua mpaka sasa mkuu wa nchi!
 
Inawezekana amefanikiwa huku Simiyu lakini akashindwa kupambana na changamoto za Dar. Halafu pia, kila Simiyu nayo ni sehemu ya Tanzania inahitaji kiongozi mzuri, mwenye utendaji mzuri
 
Pia haumsikii sana "akigombania" nafasi kwenye vyombo vya habari au mitandao ya kijamii. Kiukweli RC Mtaka anajitahidi sana.

Kama ataletwa Dar, natuamini mipango na utekelezaji wa miradi ya maendeleo aliyoanzisha Simiyu haita suasua au kufa kabisa.
Vp huyu DC mpya huko Arumeru hajatajwa na mzee!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…