King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hapa umechanganya watu wawili, DJ Stevè b na DJ Bony ila wamewahi kufanya kazi pamoja cloudsBoniventure Kilosa..a.k.a Steve B..pole Sana ndugu.
Uyo ni DJ Venture mkuuBoniventure Kilosa..a.k.a Steve B..pole Sana ndugu.
Brother, Dj Steve B, Dj Skills Djstevebtz anaumwa, anasumbuliwa na maradhi ya figo.
Tumuombee kwa Mungu brother ainuke tena. Tumkumbuke kwenye sala na dua na tuombee wagonjwa wote pia.
View attachment 1164711
Oooh sawa.Uyo ni DJ Venture mkuu
Amina! Mungu atamponya 🙏🙏YEYE anaweza na atatenda!.
Get well soon, DJ Steve B.
P