TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,763
- 11,873
Jana nimemsikia DJ Venture anasema ilibidi wamchangie huyu Marehemu pesa ya kununulia Bajaji ili aweze kujikimu kimaisha.Maisha haya sasa hivi wanachangisha hela ya rambi na kumpa promo marehemu ila bongo noma sana wanafiki kila kona.
Nimejiuliza maswali mengi mno.
Anyway, R.I.P...