Sababu ziko nyingi sana jitahid kufanya checkup ya mwili marakwamara.
-kutokunywa maji ya kutosha kwa siku
-kutokufanya mazoez
-kunywa dawa bila ushaur wa dactar km Antibiotics
-kunywa pombe kwa wing zile kali
Jiepushe kupata magonjwa km
/malaria,kisukari,high blood pressure,UTI,
HIV.haya magonjwa hupelekea figo kupata shida
Tatizo la figo sasa linakuwa kwa kasi sana na hii ni kutokana na life style yetu tunavyoish..
Kwa luga rahis figo kwny mwili kaz yake ni kuchuja taka zilizopo mwilin na kutoka kwa njia ya mkojo
Point ya kwanza na ya pil tuzingatie sana usipokunya maji unaichosha figo kuchuja taka mfano ukinywa maji mengi utakojoa mkojo clear huna rang na haunuk inamaanisha dilution ilikuwa kubwa nazimetoka kirahis ila usipokunywa mkojo uko concetrated sana na harufu kali inamaanisha nying zimebak na dilution ilikuwa ndogo.