Tumuombee kwa Mungu brother Stevie B ainuke

Kiukweli hii habari nilipoisikia imenisikitisha sana. Unaweza kukuta mpaka inatangazwa tayari hali ni mbaya sana. Wadau na wapenzi wa burudani tushikamane na familia yake kumsaidia na kumuombea.
 
Nlikuwa kwa siku nakataa nyagi kubwa 2 na kasichana juu na visafari kadhaa bia
Sahv nmepungza kasi Sana [emoji23][emoji23]

Ova
Punguza aisee! Ukinywa usiku asubuhi kunywa maji mengi sana kutwa nzima ,jioni unapiga tena tungi,inasaidia kidogo,ingawa sometimes kuumwa ugojnwa fulani ni mipango ya Mungu.ila kinga ni bora kuliko tiba.

Ova
 
Kiukweli hii habari nilipoisikia imenisikitisha sana. Unaweza kukuta mpaka inatangazwa tayari hali ni mbaya sana. Wadau na wapenzi wa burudani tushikamane na familia yake kumsaidia na kumuombea.
Inasikitisha sana mkuu,inaonekana ameanza kupata changamoto ya ugonjwa mwanzoni mwa mwaka 2019 feb-april.
 
Mkuu mbona ambao hawatumii pombe ndio waathirika wakubwa,mimi naona haijalishi unakunywa pombe au juice ....nliwahi fiks muhimbili jengo jirani na jk watoto wengi nliwaona hapo wanatatizo la figo,nliumia sana kuona tabu wanazopata
Ndy hpo Sasa.....
Maajabu Kweli

Ova
 
I remember back in the days at Tambaza, we used to rock crowds. Stevie B more in the low key, Saigon (Dewplomatz), Y-Thang (Kwanza Unit) and quite a few other brothers styling and profiling impeccably.

Stevie always came correct with that crisp and sharp delivery, debonair flair with perfect savoir-faire.

Get well soon my brother.
 
Waliturusha sana enzi zile,get well soon...
 
Chief umefanya mpaka ninunue maji makubwa na kuyanywa kwa fujo
 
Inasikitisha sana mkuu,inaonekana ameanza kupata changamoto ya ugonjwa mwanzoni mwa mwaka 2019 feb-april.
Naona kampeni ya kumchangia haiko effective kivile zaidi ya watu kurepost ujumbe wa DJ Venture. Kwanza nilitegemea Clouds wenyewe washikie hili bango maana DJ Steve B ndio DJ nembo halisi ya Clouds ukimtoa DJ Boniluv na DJ Charles. He deserve special attention ASAP.

Bila kusahau ukimtoa DJ John Dilinga hakuna DJ mwenye mchango mkubwa kwenye kupiga bongofleva kama Steven Mdoe. Radio Clouds wanaweza kuendesha kampeni maalum ya kiburudani kuokoa maisha ya Steve. No more delays, tumsaidie kwa kila kidogo tulichonacho akatibiwe.
 
Hili linafikirisha sana. Imagine enzi hizo DJ Steve B simu ngapi zilikuwa zinaita kutoka kwa wasanii wakitaka apige nyimbo zao! Leo kutosikika for sometimes wengine hata kurepost tatizo lake wanaona uzito achilia mbali kupita hospitali kumjulia hali! Kwakweli tusijisahau kwasababu ya nafasi zetu za sasa, hatujui kesho yetu, Mungu atusaidie [emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…