Tumuombee kwa Mungu brother Stevie B ainuke

Kabisa Clouds wasimamie show nzima maana Kidney transplant/implantation zipo sana india na atapona wakifanya hivyo.
 
Asante maana tatizo la figo ni balaa siku hizi na matibabu yake ni balaa. Get well DJ Steve B ..
 
Wakuu Salam, huyu dj anaendelea je kwa sasa, ni muda sana sijasikia taarifa yake hasa baada ya kuugua maradhi ya figo.
 
Maisha haya sasa hivi wanachangisha hela ya rambi na kumpa promo marehemu ila bongo noma sana wanafiki kila kona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…