Tumuombee kwa Mungu brother Stevie B ainuke

Maisha haya sasa hivi wanachangisha hela ya rambi na kumpa promo marehemu ila bongo noma sana wanafiki kila kona.
Jana nimemsikia DJ Venture anasema ilibidi wamchangie huyu Marehemu pesa ya kununulia Bajaji ili aweze kujikimu kimaisha.

Nimejiuliza maswali mengi mno.

Anyway, R.I.P...
 
Jana nimemsikia DJ Venture anasema ilibidi wamchangie huyu Marehemu pesa ya kununulia Bajaji ili aweze kujikimu kimaisha.

Nimejiuliza maswali mengi mno.

Anyway, R.I.P...
Kaanza kuumwa muda naukumbuke matibabu yafigo nigharama mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…