Sijui kwanini familia ya Mzee Wasira wameruhusu hili la kuendelea na siasa. Kuna umri mtu unafikia familia ndiyo inatakiwa kufanya maamuzi na umri huo ni wa mzee Wasira.
Huyu ni mzee ambaye anasahau mpaka yupo awamu gani kitendo cha kuwaachia CCM wamtumie mzee wenu hivi ni kitendo cha unyangasaji na sio kitendo cha upendo.
Kwa umri wake anatakiwa kuangaliwa zaidi kuhakikisha anatumia dawa zake, ana fanya mazoezi na ana lala vizuri. Sio umri wa kwenda kushindana na kijana kama Heche.
Tumuweke huyu mzee kwenye sala zetu bila kujali vyama. Angeweza kuwa baba yako🙏
Soma: Pre GE2025 - Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara