Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Jitahidi kuvumilia ukweli.Hu
Huna point umebwabwaja tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitahidi kuvumilia ukweli.Hu
Huna point umebwabwaja tu
Huyu mzee kampeni ya 2025 lazima iondoke naye! Hawezi kuhimili mikikimikiki ya uchaguzi huyu! Ccm ni chama kilochojaa wapumbavu!Sijui kwanini familia ya Mzee Wasira wameruhusu hili la kuendelea na siasa. Kuna umri mtu unafikia familia ndiyo inatakiwa kufanya maamuzi na umri huo ni wa mzee Wasira.
Huyu ni mzee ambaye anasahau mpaka yupo awamu gani kitendo cha kuwaachia CCM wamtumie mzee wenu hivi ni kitendo cha unyangasaji na sio kitendo cha upendo.
Kwa umri wake anatakiwa kuangaliwa zaidi kuhakikisha anatumia dawa zake, ana fanya mazoezi na ana lala vizuri. Sio umri wa kwenda kushindana na kijana kama Heche.
Tumuweke huyu mzee kwenye sala zetu bila kujali vyama. Angeweza kuwa baba yako🙏
View attachment 3211251
Soma: Pre GE2025 - Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara
Acha ujuha comparison ya USA na JMTIla yakifanyika Marekani is not a big deal sio!?