- Thread starter
- #41
We subiri tu siku Heche akianza kumpelekea Sokomoko kama watu wa Mara wanavyosemaga... Kambale (emome) na masharubu yake yanaweza kwenda 6ft kwa pressure ya kuto deliver. CCM muoneeni huruma huyu mzee kwa kweli. Vipaji vipo vingi humo ndani vya kutosha. Kwa nini Wasira? Ingefaa apumzike kama Warioba tu.
Mama sasa anataka Chawa sio viongozi.