Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biden kaamua kupumzika huyu Wasira anajiandaa kuanza kaziSijui kwanini familia ya Mzee wasira wameruhusu hili la kuendelea na siasa. Kuna umri mtu unafikia familia ndiyo inatakiwa kufanya maamuzi na umri huo ni wa mzee Wasira.
Huyu ni mzee ambaye anasahau mpaka yupo awamu gani kitendo cha kuwaachia CCM wamtumie mzee wenu hivi ni kitendo cha unyangasaji na sio kitendo cha upendo. Kwa umri wake anatakiwa kuangaliwa zaidi kuhakikisha anatumia dawa zake, ana fanya mazoezi na ana lala vizuri. Sio umri wa kwenda kushindana na kijana kama Heche.
Tumuweke huyu mzee kwenye sala zetu bila kujali vyama. Angeweza kuwa baba yako🙏
View attachment 3211251
Nani kasema?Ila yakifanyika Marekani is not a big deal sio!?
Hio nafasi wote wameigomea ngoma ikasogezwa kwa wasira akasema sawa nipeni mimi kwani shida nini?Tumuweke huyu mzee kwenye sala zetu bila kujali vyama. Angeweza kuwa baba yako🙏
Hivi mtu wa miaka 80 anaweza kusimama jukwaani na kuongea dk 90?Tatizo sio umri Ila uwezo wake umekaaje?.
Nafikiri kapewa cheo cha molto ambacho anaweza akadumu nacho mwaka mmoja kuanzia sasa na sio cheo cha maamuzi wala heka heka.
Kitu pekee nachohua Ccm wanazingatia ni kulinda na kupambana ili wasitoke madarakani kwa gharama yoyote.
Na pia ukiwa Ccm hauruhisiwi kuwa na mawazo mbadala.
Miaka 80 inaweza kuwa Mingi katika kuishi na sio kufanya Kazi.
Hivi mtu wa miaka 80 anaweza kusimama jukwaani na kuongea dk 90?
Mimi nadhani hii ni mateso, ni kama adhabu. Mimi nisingekubali.
Huyo mzee ana akili kuliko wewe. Vijana wa siku hizi na huo udumavu wa lishe huwezi kuukaribia uwezo wa huyo mzee.Sijui kwanini familia ya Mzee wasira wameruhusu hili la kuendelea na siasa. Kuna umri mtu unafikia familia ndiyo inatakiwa kufanya maamuzi na umri huo ni wa mzee Wasira.
Huyu ni mzee ambaye anasahau mpaka yupo awamu gani kitendo cha kuwaachia CCM wamtumie mzee wenu hivi ni kitendo cha unyangasaji na sio kitendo cha upendo. Kwa umri wake anatakiwa kuangaliwa zaidi kuhakikisha anatumia dawa zake, ana fanya mazoezi na ana lala vizuri. Sio umri wa kwenda kushindana na kijana kama Heche.
Tumuweke huyu mzee kwenye sala zetu bila kujali vyama. Angeweza kuwa baba yako🙏
View attachment 3211251
Trump ana miaka mingapi.Sijui kwanini familia ya Mzee wasira wameruhusu hili la kuendelea na siasa. Kuna umri mtu unafikia familia ndiyo inatakiwa kufanya maamuzi na umri huo ni wa mzee Wasira.
Huyu ni mzee ambaye anasahau mpaka yupo awamu gani kitendo cha kuwaachia CCM wamtumie mzee wenu hivi ni kitendo cha unyangasaji na sio kitendo cha upendo. Kwa umri wake anatakiwa kuangaliwa zaidi kuhakikisha anatumia dawa zake, ana fanya mazoezi na ana lala vizuri. Sio umri wa kwenda kushindana na kijana kama Heche.
Tumuweke huyu mzee kwenye sala zetu bila kujali vyama. Angeweza kuwa baba yako🙏
View attachment 3211251
Huna point umebwabwaja tuHivi kwa sheria za kisasa chaguzi ni maigizo tu. Usama wa taifa na Polisi ndiyo wafanya kampeni za CCM. Yaani nchi hii kupiga kura ni kama bure ndiyo maana kwanza sheria zibadilishwa maana bila hivyo ni bora watu wakee nyumbani wamuache mzee akatumie dawa zake. Bila sheria kuboreshwa watu wengi hawatapiga kura. Kura zitakuwa fake kama hizi za serikali ya mtaa.
Wengi hapa hatujali vyama iwe chama chochote tunajali haki na uhuru wa watu kuchagua wampendae.
Hili ni swala la kifamilia zaidi. Kumsalia mtu ni uamuzi wako lakini sio vizuri kuwatumia wazee na watoto kwa manufaa binafsi
Trump ni kijana wa miaka mingapi? Uongozi ni uwezo umri ni namba tu.Pale Bukoba alikuepo mzee anaitwa Rwangisa akifariki akiwa na 80+ na alifariki akiwa Diwani.
Amewahi kuwa meya wa Bukoba mjini
Amewahi kuwa Mkuu wa mkoa
Amewahi kuwa Mwenyekiti wa KCU
Amewahi kuwa Mbunge .
Mwaka 1995 Nyerere alipokuja Bukoba ndo alimuondoa katika kura za maoni za Ccm Ila bado alirudi tena mwaka 2000 Kama diwani tena.
Inahitaji hekima Sana mtu kujua kuwa huu muda sasa ni wa vijana au Kuona Kuwa inatosha.
Watu Kama Wasira wapo wengi ni vile wengine hawajulikani Sana.
Yes age is nothing but a number ukitoa namba kinachobaki katika umriTrump ni kijana wa miaka mingapi? Uongozi ni uwezo umri ni namba tu.
Angekuwa baba yako wa miaka 80 unge mruhusu akawe Chawa kwa miaka hiyo?Huyo mzee ana akili kuliko wewe. Vijana wa siku hizi na huo udumavu wa lishe huwezi kuukaribia uwezo wa huyo mzee.
Angekuwa Baba yako unge mruhusu akawe Chawa wa Mama Samia!Yes age is nothing but a number ukitoa namba kinachobaki katika umri
Joe aliambiwaje, uchaguzi wa mwaka Jana 2024Ila yakifanyika Marekani is not a big deal sio!?
Haya mambo yanategemea mkuuAngekuwa Baba yako unge mruhusu akawe Chawa wa Mama Samia!
Kwa nini asikatae?Sijui kwanini familia ya Mzee wasira wameruhusu hili la kuendelea na siasa. Kuna umri mtu unafikia familia ndiyo inatakiwa kufanya maamuzi na umri huo ni wa mzee Wasira.
Huyu ni mzee ambaye anasahau mpaka yupo awamu gani kitendo cha kuwaachia CCM wamtumie mzee wenu hivi ni kitendo cha unyangasaji na sio kitendo cha upendo. Kwa umri wake anatakiwa kuangaliwa zaidi kuhakikisha anatumia dawa zake, ana fanya mazoezi na ana lala vizuri. Sio umri wa kwenda kushindana na kijana kama Heche.
Tumuweke huyu mzee kwenye sala zetu bila kujali vyama. Angeweza kuwa baba yako🙏
View attachment 3211251
Soma: Pre GE2025 - Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara
Ccm bila kutumia Polisi hamtoboi!! Ndio maana mama Abdul kwa uelewa wake mdogo anawaomba JWTZ wasaidie wakati wa uchaguzi mkuu mwezi wa kumi!! Hajui kuwa JWTZ HAWASHUHILIKI na mambo ya siasa!!Chadema mnaanza kuogopa mpaka mababu mna hali mbaya sana.
We subiri tu siku Heche akianza kumpelekea Sokomoko kama watu wa Mara wanavyosemaga... Kambale (emome) na masharubu yake yanaweza kwenda 6ft kwa pressure ya kuto deliver. CCM muoneeni huruma huyu mzee kwa kweli. Vipaji vipo vingi humo ndani vya kutosha. Kwa nini Wasira? Ingefaa apumzike kama Warioba tu.Sijui kwanini familia ya Mzee wasira wameruhusu hili la kuendelea na siasa. Kuna umri mtu unafikia familia ndiyo inatakiwa kufanya maamuzi na umri huo ni wa mzee Wasira.