Tumuombee mzee Wasira

Biden kaamua kupumzika huyu Wasira anajiandaa kuanza kazi
 
Tatizo sio umri Ila uwezo wake umekaaje?.


Nafikiri kapewa cheo cha molto ambacho anaweza akadumu nacho mwaka mmoja kuanzia sasa na sio cheo cha maamuzi wala heka heka.


Kitu pekee nachohua Ccm wanazingatia ni kulinda na kupambana ili wasitoke madarakani kwa gharama yoyote.


Na pia ukiwa Ccm hauruhisiwi kuwa na mawazo mbadala.


Miaka 80 inaweza kuwa Mingi katika kuishi na sio kufanya Kazi.
 
Tumuweke huyu mzee kwenye sala zetu bila kujali vyama. Angeweza kuwa baba yako🙏
Hio nafasi wote wameigomea ngoma ikasogezwa kwa wasira akasema sawa nipeni mimi kwani shida nini?
 
Hivi mtu wa miaka 80 anaweza kusimama jukwaani na kuongea dk 90?
Mimi nadhani hii ni mateso, ni kama adhabu. Mimi nisingekubali.
 
Hivi mtu wa miaka 80 anaweza kusimama jukwaani na kuongea dk 90?
Mimi nadhani hii ni mateso, ni kama adhabu. Mimi nisingekubali.

Pale Bukoba alikuepo mzee anaitwa Rwangisa akifariki akiwa na 80+ na alifariki akiwa Diwani.

Amewahi kuwa meya wa Bukoba mjini
Amewahi kuwa Mkuu wa mkoa
Amewahi kuwa Mwenyekiti wa KCU
Amewahi kuwa Mbunge .


Mwaka 1995 Nyerere alipokuja Bukoba ndo alimuondoa katika kura za maoni za Ccm Ila bado alirudi tena mwaka 2000 Kama diwani tena.



Inahitaji hekima Sana mtu kujua kuwa huu muda sasa ni wa vijana au Kuona Kuwa inatosha.


Watu Kama Wasira wapo wengi ni vile wengine hawajulikani Sana.
 
Huyo mzee ana akili kuliko wewe. Vijana wa siku hizi na huo udumavu wa lishe huwezi kuukaribia uwezo wa huyo mzee.
 
Trump ana miaka mingapi.
 
Hu Huna point umebwabwaja tu
 
Trump ni kijana wa miaka mingapi? Uongozi ni uwezo umri ni namba tu.
 
Huyo mzee ana akili kuliko wewe. Vijana wa siku hizi na huo udumavu wa lishe huwezi kuukaribia uwezo wa huyo mzee.
Angekuwa baba yako wa miaka 80 unge mruhusu akawe Chawa kwa miaka hiyo?
 
Kwa nini asikatae?
 
Chadema mnaanza kuogopa mpaka mababu mna hali mbaya sana.
Ccm bila kutumia Polisi hamtoboi!! Ndio maana mama Abdul kwa uelewa wake mdogo anawaomba JWTZ wasaidie wakati wa uchaguzi mkuu mwezi wa kumi!! Hajui kuwa JWTZ HAWASHUHILIKI na mambo ya siasa!!
Ukiwaingiza wanajeshi kwenye siasa zenu, next time watakupindua😳😳
 
We subiri tu siku Heche akianza kumpelekea Sokomoko kama watu wa Mara wanavyosemaga... Kambale (emome) na masharubu yake yanaweza kwenda 6ft kwa pressure ya kuto deliver. CCM muoneeni huruma huyu mzee kwa kweli. Vipaji vipo vingi humo ndani vya kutosha. Kwa nini Wasira? Ingefaa apumzike kama Warioba tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…