Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Tuifanye hii kuwa wikiendi ya kumuombea Rais ashinde katika kazi zake.
Kwa kumtaja Rais wetu tumuombee kwa Mungu amuweke salama kwa kuwataja adui zake Rais, tuombe watu hawa washindwe.
Tujizatiti kuikomboa nchi yetu kutoka kwenye vikwazo vyote. Tumuombee Rais, kila mtu kwa imani yake.
Tuwapige vita maadui wa nchi yetu.
Tumuombee Rais afanikiwe. Watu wanataka kumletea pressure Rais wasifanikiwe umeona jinsi Rais anavyohema sana hata kabla hajakimbia. Kwa hiyo tuwe wazalendo tumuombee Rais. Kama tunayafamu matatizo ya Rais,tumuombee. Rais anatupigania,anataka kuleta maendeleo ya nchi hii.
Ni nani hawa maadui wa Rais? Tunaweza kuwabaini watu hawa? Basi, tuwaombee well, er ... .mabaya.