MUNGU alishatupa akili , na MUNGU huyohuyo anayetaka Mfalme wa Nchi awe na Akili, Hekima , Busara n.k.
Wazungu wanaendelea Si Kwa sababu Wana makanisa Mazuri , Waarabu hawaendelei sio Kwa sababu wana misikiti !!
Kuongoza Nchi kunahitaji Uwezo mkubwa wa IQ.
Ukiona kiongozi wee ni Yes yes ndio ndioo, HUFAIII, TOLA NENDA ULEE WAJUKUU.
Hayati JPM, ALILETEWA mambo ya kipuuzi ,alisoma, alitengua muda huohuo, aliyakataa muda huoo, na alideal na aliyeyaleta muda huohuo.
Kwamba naye ni aliombewa??.
Huyu mama Uwezo Hana, na Ameshindwa,,, wee mtu gan Kila kitu ni 'hilo nalo mkaliangalie?'.
Upumbavu