Mkuu unaonaje ukianza wewe kwenda kumsaidia...Figo zimefeli tumuombeeni apatikane mtu wa kumsaidia figo hata moja ili arudi katika hali yake ya kawaida
Mara nyingi ni wanakua na co morbidity ila awawezi semaHizi Figo hizi. Sijui kuna nini? Ni lifestyle au kitu gani?
Hizi Figo hizi. Sijui kuna nini? Ni lifestyle au kitu gani?
Wamelazwa chumba kimoja na Lowasa?Anaumwa sana,kalazwa ICU,MNH inasemekana ana shida ya figo.....Get well Soon Prof J.
Msi isingizie pombe .. dear Pombe pole unasingiziwa jamani.Vijana kujidunga mapombe makali bila kula kitu cha maana ni hatari mno!
Mambo km haya bora umurudie Mungu tu utubu ,umuombe akuponye bure!Life Style imebadirika sanaa na hii Ndio Hupelekea Shida Za Figo.
Kifupi Tuu… nchi nyingi zilizoendelea duniani, Raia wake hawafi kwa Malaria kama Bongo, Hawafi kwa Ukimwi kama Bongo, Hawafi kwa Typhoid Kama Bongo, Wala hawafi kwa UTI, Ila Ni Kansa, Pressure, na Sukari. Kwasababu ya Nini? Kwasababu ya Life Style.
Sio Ajabu Kwa mtu mwenye pesa Kupata Shida ya Figo, Pressure, Sukari au Kansa sio Ajabu kabisa.
So hata Kwa Professor Jay Sioni Ajabu. Haya Matatizo huwezi kuyaona Vijijini watu wanako kula Clear Natural Food.
Kuwa Waziri Alifariki Ghafla watu walishangaa sanaa Lakini Medically haikuwa kitu cha Ajabu sanaa, Kwasababu ya Life Style, Tunategemea Hilo kwa Viongozi wengi wa Serikali, Wabunge na Mawaziri.
Ule Unene Wa Professor Jay, hichi anachopitia Sio Ajabu. Tumuombee Apone, lakini FIGO huwa HAIPONI, Figo zikisha Pata Ajari (Acute Kidney Injury) Kuja Kupona Ni Majaliwa…. Ila Zinaweza Kutulia na Maisha yakaendelea kwa Muda kwa msaada wa Dialysis lakini haziwezu kupona. Si tunamkumbuka Ruge Alienda hadi Afrika Kusini kwaajiri ya Dialysis Akawa analipa 5-7M kwa Siku? Lakini Matokeo yake? Matokeo ya Figo huwa ni kama Moyo, Ukifail ume Fail.
Tuzingatie sana Life Style, Soda, Bugger, Pizza, Sausage Sausage, Salad [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa kweli ni mtihani sana.Life Style imebadirika sanaa na hii Ndio Hupelekea Shida Za Figo.

Amina!!!Eeee Mungu msaidie proff J apate nafuu na apone arudi kwenye shughuli zake