Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Anaumwa sana, kalazwa ICU, MNH inasemekana ana shida ya figo..... Get well Soon Prof J.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaumwa sana,kalazwa ICU,hadi sasa haijafahamika shida nini.....Get well Soon Prof J.
Figo zimefeli tumuombeeni apatikane mtu wa kumsaidia figo hata moja ili arudi katika hali yake ya kawaidaJiwe tulimuombea hadi akaingia futi 6 huyu. Tumuombeaje?
Anaumwa sana,kalazwa ICU,hadi sasa haijafahamika shida nini.....Get well Soon Prof J.
Kuna wahuni watakuja kudai picha
Figo??! Yesu ingilia kati jmnFigo zimefeli tumuombeeni apatikane mtu wa kumsaidia figo hata moja ili arudi katika hali yake ya kawaida
Aisee hatari, hivi hii issue ya figo kufeli imekaaje aisee naona sikuhizi inashika kasi sana tena kwa vijana wadogo. Ni nn hasa nikapelekea hali hiyo😥😥Figo zimefeli tumuombeeni apatikane mtu wa kumsaidia figo hata moja ili arudi katika hali yake ya kawaida
Mpaka umejua amelazwa ICU kwann usijue anachoumwa??Anaumwa sana,kalazwa ICU,hadi sasa haijafahamika shida nini.....Get well Soon Prof J.
Prolong use of viral and ABC drugs..Aisee hatari, hivi hii issue ya figo kufeli imekaaje aisee naona sikuhizi inashika kasi sana tena kwa vijana wadogo. Ni nn hasa nikapelekea hali hiyo😥😥
Utajiri namba moja ni afyaMungu ampe afya tena...kama taarifa ni ya kweli
Kalazwa hospitali gani?