Tumuombee sana Profesa J

Tumuombee sana Profesa J

Watu8 haijalishi unafamilia ama hauna. Utajiri wa mwanadamu yeyote ni afya njema.

Habari ya asubuhi lakin

Njema Chakorii naamini kwako pia mdada mzuri...

Kwa huyu mwamba, nimeguswa kwa kuwa najua ni jinsi gani anaipenda familia yake, na binti yake yule ndio kwanza kaua form 4, na kafaulu vizuri...😥
 
Inawezekana mfumo wa maisha. Ulaji na aina ya vyakula hasa vinywaji. Mawazo yangu tu lakini.
Wakati mwingine maradhi hutokea kama mitihani tu kwa mwanadamu na ukumbusho kwa wengine kuwa sisi SI lolote si chochote mbele ya mola wetu........

Unaweza ukafuata taratibu zote za kiafya lakini ukaangukia kwenye likakutesa na kuyachukua maisha yako.......

Kutokana na hali zetu za kimaisha tulio wengi tunakula na kunywa tunavyovipata na sio tunavyovitaka........

Kitu Cha muhimu ni kuishi kwa wema na wanadamu wenzako maana hakuna ajuae siku wala saa.........
 
well said
 
Umeongea vizuri mkuu
 
Shukrani mkuu kwa ujumbe wako murua. Maisha haya yamejaa mitihani sana.

Duniani hapa naogopa sana mambo matatu: Maradhi, Njaa, Kesi.

Masaibu hayo matatu hayanaga hodi kwa mwanadamu yeyote.

-Kaveli-
 
Kuna wimbo wake mmoja unaitwa 'Kipi Sijasikia' kuna mstari anasema ' . . . hata maji kwenye glasi wanasema nakunywa pombe . . .'

Nisiwe muongo nafikiria nawapataje ndugu zake niwauzie figo.
Kuwa na utu jitolee wape bure
 
Back
Top Bottom