lovel
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 413
- 1,102
Not necessary......Prolong use of viral and ABC drugs..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not necessary......Prolong use of viral and ABC drugs..
Hana sukariSukari ni adui mkubwa wa figo.
Tumuombee apate kurejea katika uzima[emoji120]
Tango si unaweza ukalimenya mkuu? Au kemikali zinakuwa zimeshaingia ndani tayari?na hakuna kitu kinapulizwa dawa nyingi Kama matango na bamia.
Me mwenyewe nahisi hawa palliative care ile dawa walimpa mama yangu ndo ilimmaliza kabisaInasemekana Ipo hata bongo wanafanya japo wanaipunguza makali raia wasijisikie vibaya. Inaitwa palliative care
Pombe,Sukari,dawa kaliAisee hatari, hivi hii issue ya figo kufeli imekaaje aisee naona sikuhizi inashika kasi sana tena kwa vijana wadogo. Ni nn hasa nikapelekea hali hiyo[emoji26][emoji26]
Itabdi sahv tupunguze kupiga vitu vikaliEe Mungu msaidie Huyu kijana Professor J kwani naona sasa magonjwa ya figo Tanzania na ulimwenguni yameshika hatama utusaidie !
Nimeanza na sala kwa kuwa najua mazingira hayo nimeuguza ndg yangu ugonjwa huu kwa sasa kila week anakwenda kufanya analysis
Kwa kweli omba yasikukute ndg zangu
Maana gharama zake ni kubwa sana sana
Any way kila wakati tumwombe sana Mungu
Nani kakuambia kansa ni gonjwa la mjini?mojawapo ya chakula nisichopenda kukila tangu nijaribu kuwa mkulima nikagundua namna linavyowekwa mbolea na kemikali na dawa, nikiliona sokoni hadi huwa nawaonea huruma. mnakula kemikali tu. walau kidogo nyanya kwasababu unamenya, ila tango na tikitimaji za kibongo, labda ulime mwenyewe, la sivyo zinakuzwa kwa madawa na mnakula madawa tu pale ambayo yanaweza kusababisha kansa. ujiulize kwaninikansa ni magonjwa ya mjini tu ambako vyakula hivyo vinauzwa (kijijini kununua tikiti au tango ni anasa ambayo hutakiwi kusikika ukiifanya), mjini ndo hasara zake.
hii inajulikana kitambo sana,Kuna nyimbo zaidi ya tatu nimemsikia Jay wa Mitulinga akisema "mshazusha sana kua nimeathirika",Jay Ana miwaya..pia kalapina kwenye ngoma yake beef akisema Jay kaungua..najua yote sanaa tu,mwamba atapona tunamuombea...
Inasemekana Ipo hata bongo wanafanya japo wanaipunguza makali raia wasijisikie vibaya. Inaitwa palliative care
Kwa kweli ni mtihani sana.
Tunaongea tu lkn kubadilika inakuwa ngumu. Maisha yanaenda kadi sana. Kila mtu Ana mambo mengi muda haumtoshi.
Kwa lifestyle ya wanaoishi mjini ni wachache sana wanaokula natural food.
Hatuna muda wa kwenda sokoni kununua mihogo na viazi Ulaya tukamenya tu kapika na mchicha au tembele.
Kutwa tumo makazini mpk magharibi au usiku kabisa.
Tukitoka hapo ni mwendo wa chips, pizza na burger. Na mbaya zaidi mpk wtt wetu nao tunawapa hizo hizo wangali wadogo sana. Mtt anakwambia hataki wali, hataki ugali, hataki uji unamnunulia piza na burger na chocolate.
We are killing ourselves softly yaani
Naona wanashauri pia Avocado Oil"Seed Oil" kama alizeti na mafuta mengi ya kupikia ni sumu na hatari sana kwa mwili kuliko wengi wanavyoelewa. Mafuta ambayo ni safe hadi sasa kwa mujibu wa wataalamu wa Lishe ni Olive Oil na Ghee/Samli Ukishindwa hayo gonga chukuchuku tuu.
dah namombea kwa Allah ampe shifaa..boss wangu anashida ya figo over two years ila yeye anamadaktari bingwa from saudi arabia kwenye payroll,hawa madaktari wanacontrol kula,kusafiri, dawa, kulala na kuangalia magonjwa mengine.. ana dialysis machine zake mwenyewe..anafanyiwa dailysis mara mbili mpaka tatu kwa wiki..imagine mpaka nyingine amenunua na kutoa msaada serikalini kwao Pakistan..huyu namzungumzia tajiri ambae anasambaza gesi UAE ..ni ngumu kwa raia mwenye hela ya mbuzi kusurvive labda kwa kudra zake Mwenyezi Mungu.
AmenAugue pole, mwana mitulinga
Kwa kweli ni mtihani sana.
Tunaongea tu lkn kubadilika inakuwa ngumu. Maisha yanaenda kadi sana. Kila mtu Ana mambo mengi muda haumtoshi.
Kwa lifestyle ya wanaoishi mjini ni wachache sana wanaokula natural food.
Hatuna muda wa kwenda sokoni kununua mihogo na viazi Ulaya tukamenya tu kapika na mchicha au tembele.
Kutwa tumo makazini mpk magharibi au usiku kabisa.
Tukitoka hapo ni mwendo wa chips, pizza na burger. Na mbaya zaidi mpk wtt wetu nao tunawapa hizo hizo wangali wadogo sana. Mtt anakwambia hataki wali, hataki ugali, hataki uji unamnunulia piza na burger na chocolate.
We are killing ourselves softly yaani
Palliative care ni huduma za kupunguza maumivu kama dawa, ushauri na nasaha, uangalizi anaopewa mgonjwa haswa wagonjwa wenye magonjwa yasiyopona kama kansa, figo n.k kinachofanyika ni ushauri lakini pia ndugu wanakuwa wanafundishwa jinsi ya kumuhudumia uyo mgonjwa maana kuna wagonjwa wengine wanaumwa mpaka inafikia muda wanagoma kuendelea kunywa dawa au kufanya chochote kinachohusu tibaInasemekana Ipo hata bongo wanafanya japo wanaipunguza makali raia wasijisikie vibaya. Inaitwa palliative care