Tumuunge mkono Miss Tanzania atatuwakilisha vyema Miss World

roho inakuuma unatamani wewe ndio ungekuwa miss Tanzania..



hehehehe kwendraaaaaaaaaaaaa kule Mpambe wewe unadhani kila mtu kalelewa kuonyesha vipaja vyake mbele ya halaiki ?? Ukweli utabaki pale pale Bibi sitti Mtemvu hana vigezo vya kuwa Miss TZ , Angejiunga MCC angepewa hata Ukatibu uenezi ndio vinaendana na Umri wake mfyuuuuuuuuuuuuu!
 

Wewe na hayo matege yako ukigombea hata MISS MADONGO KUINAMA utakuwa wa mwisho
 
Shida ya watanzania ujanja ujanja tu Kila kona... Ngoja wakalete cheti chake alichoombea passport ndhani utaondoka kimya kimya ...

Cheti cha RITA alichokionyesha ndio kinatambulika, passport ni ujinga tu haitambuliki popote
 
lete ushahidi, acha kuropoka

mi najiuliza mtu anawezaje kuwa na umri tofauti mara nne, yaani 18; 23; 25; 29. Only Sitti, Mama anajua 29, Baba anajua 18, Lundenga anajua 23, Watanzania na taarifa huko Marekani wanajua 25.Duh huyu mtu atakuwa maarufu sana muda si mrefu
 
lete ushahidi, acha kuropoka

Kweli kwa Akili ulizonazo kweli unashidwa hata kujiuliza utofauti wa cheti chake cha kuzaliwa alichokupata mwaka huu na miaka iliyoandikwa kwenye passport yake ambayo alipata baada ya kupeleka cheti cha kuzaliwa...??? Mbona majibu unayo kabisa...

Nainua mikono haya anamiaka unayosema.. ngoja nikubali yaishe.. maana umeshupaa shingo kumtetea hadi nimeanza kujiuliza mwenyewe... Why unatetea sana???
 
mi najiuliza mtu anawezaje kuwa na umri tofauti mara nne, yaani 18; 23; 25; 29. Only Sitti, Mama anajua 29, Baba anajua 18, Lundenga anajua 23, Watanzania na taarifa huko Marekani wanajua 25.Duh huyu mtu atakuwa maarufu sana muda si mrefu

Sitti ameleta ushahidi wa cheti cha kuzaliwa. Na wewe lete ushahidi wa huu umbea wako
 
Wewe na hayo matege yako ukigombea hata MISS MADONGO KUINAMA utakuwa wa mwisho


Ndiyo maana sijagombea kwa kuwa sikidhi vigezo , Nimewaachia Mabinti wadogo wanaokidhi Vigezo na Masharti hata Bibi yako Sitti Hakutakiwa kugombea vile vile ...Ushauri wa Bure mwambie angeheshimiwa sana kama angerudisha Taji , Tungemuelewa kila mtu anamapungufu yake ila hiyo Kungangana haita mfikisha popote !
 

Lete ushahidi wa huu umbea wako.
 
Soko ya Kipochi Manyoya likigoma ndio mnakuja kudhulumu Mabinti zetu ?? shame on you :evil:
 

Unamuonea wivu sana Sitti. pole sana.. kama una ushahidi wa umri wake tofauti na cheti chake cha kuzaliwa ulete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…