PostGE2025 Tumuunge Mkono Rais Wetu Mpendwa. Mwalimu Nyerere Alituambia Hatuna Mjomba Wa Kutuletea Pesa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Hatuna Budi kumuunga mkono Rais wetu Mpendwa katika Ujenzi wa Taifa letu. Ni lazima tukumbuke Maneno ya Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere aliyotumbia kuwa Hatuna Mjomba wa Kutuletea maendeleo watanzania.

Na hivyo yatupasa kusimama kwa miguu yetu wenyewe kulijenga Taifa letu kwa mikono yetu wenyewe. Hatupaswi kukaa na kusubiri ama kutegemea kuwa kuna mtu kutoka ulaya atakuja kwetu kutupa mapesa ili sisi tutajirike sana kumpita yeye alivyo kwake.

Hakuna Mjomba atakuja kutoka ulaya ama mzungu kutoka Marekani atakuja Tanzania kutupatia mapesa yatakayo tufanya watanzania kula milo mitatu minono ambayo hata wamarekani wenyewe hawaipati. Ni lazima tufahamu ya kuwa juhudi zetu na nguvu zetu ndio mtaji wetu watanzania. Ni lazima tufanye kazi kwa bidii ,juhudi ,maarifa na kujituma kwelikweli kama tunataka kuendelea na kupiga hatua za kimaendeleo.

Ni lazima tulipe kodi kwa hiari na kwa kupenda kwa kutambua kuwa ni kodi zetu ndio zitatupatia maji safi na salama ,umeme wa uhakika , barabara nzuri ,fedha za kuajiri vijana na kulipa mishahara watumishi wa umma kwa wakati,kuongeza mishahara watumishi wa umma,kutoa ruzuku ya mbolea,kutoa matibabu bure kwa wazee na watoto na gharama nafuu za matibabu kwa makundi mengineyo,kulipa viinua mgongo kwa wakati.

Hakuna Mjomba kutoka ulaya atawakamua kodi wananchi wake ili aje kutuchotea sisi ili tulipane mishahara na posho. Ni lazima tufahamu Tanzania itajengwa na watanzania wote.

Hakuna Nchi imewahi kuendelea na kuwa tajiri kwa sababu ya kupata misaada mingi kutoka ulaya na Marekani.tuache kushadadia na kutishwa na yeyote yule. Uchumi wetu upo mikononi mwetu wenyewe.

Tusimame na Mama. Tuungane na Rais wetu kulijenga Taifa letu. Tumuunge Mkono Mama yetu na tumpatie ushirikiano Rais wetu Mpendwa katika kulijenga na kuliletea maendeleo Taifa letu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Mjomba amekufa?

Mara ya mwisho tulikuwa tunapokea fedha kwa njia ya mikopo na msaada.

Tutawaelewa kuhusu suala la kujitegemea na kutokusubiri misaada na mikopo ikiwa mtaendesha serikali kwa haki, uwazi na uwajibikaji. Siku mtakayoacha ufisadi, ubadhilifu wa mali za umma, mikataba mibovu ya ubinafsi wa rasilimali za nchi, Kuminya misingi ya haki na demokrasia ikiwemo mauaji, utekaji, utesaji na ufiraji unaofanywa na vyombo vya dola vinavyolipwa na kodi ya mwananchi.

Kujitegemea isiwe mbadala wa uminywaji haki za wananchi.

Mkishakemewa kwa uhuni wenu ndio mnaanza kujifanya mna moto wa kujitegemea, huu ni utapeli.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hatuna Budi kumuunga mkono Rais wetu Mpendwa katika Ujenzi wa Taifa letu. Ni lazima tukumbuke Maneno ya Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere aliyotumbia kuwa Hatuna Mjomba wa Kutuletea maendeleo watanzania.

Na hivyo yatupasa kusimama kwa miguu yetu wenyewe kulijenga Taifa letu kwa mikono yetu wenyewe. Hatupaswi kukaa na kusubiri ama kutegemea kuwa kuna mtu kutoka ulaya atakuja kwetu kutupa mapesa ili sisi tutajirike sana kumpita yeye alivyo kwake.

Hakuna Mjomba atakuja kutoka ulaya ama mzungu kutoka Marekani atakuja Tanzania kutupatia mapesa yatakayo tufanya watanzania kula milo mitatu minono ambayo hata wamarekani wenyewe hawaipati. Ni lazima tufahamu ya kuwa juhudi zetu na nguvu zetu ndio mtaji wetu watanzania. Ni lazima tufanye kazi kwa bidii ,juhudi ,maarifa na kujituma kwelikweli kama tunataka kuendelea na kupiga hatua za kimaendeleo.

Ni lazima tulipe kodi kwa hiari na kwa kupenda kwa kutambua kuwa ni kodi zetu ndio zitatupatia maji safi na salama ,umeme wa uhakika , barabara nzuri ,fedha za kuajiri vijana na kulipa mishahara watumishi wa umma kwa wakati,kuongeza mishahara watumishi wa umma,kutoa ruzuku ya mbolea,kutoa matibabu bure kwa wazee na watoto na gharama nafuu za matibabu kwa makundi mengineyo,kulipa viinua mgongo kwa wakati.

Hakuna Mjomba kutoka ulaya atawakamua kodi wananchi wake ili aje kutuchotea sisi ili tulipane mishahara na posho. Ni lazima tufahamu Tanzania itajengwa na watanzania wote.

Hakuna Nchi imewahi kuendelea na kuwa tajiri kwa sababu ya kupata misaada mingi kutoka ulaya na Marekani.tuache kushadadia na kutishwa na yeyote yule. Uchumi wetu upo mikononi mwetu wenyewe.

Tusimame na Mama. Tuungane na Rais wetu kulijenga Taifa letu. Tumuunge Mkono Mama yetu na tumpatie ushirikiano Rais wetu Mpendwa katika kulijenga na kuliletea maendeleo Taifa letu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wastage of time
 
Ngoja tumwambie Habil kwa Kabil akudukue atuambie uko wapi ili jumanne Gen-Z wakutembelee waje wakusamilie kidogo pumbavu wewe!
 
Barua ya leo umeiona? Au umeshindwa kusoma because ya kizungu
 
Huyo ni rais wa geto kwako sio rais wetu. Tena utukome ndorobo week!
 
Back
Top Bottom