PostGE2025 Tumuunge Mkono Rais Wetu Mpendwa. Mwalimu Nyerere Alituambia Hatuna Mjomba Wa Kutuletea Pesa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Baba wa taifa ndiye aliagiza mauaji ya October 29?
Ndugu zangu Watanzania,

Hatuna Budi kumuunga mkono Rais wetu Mpendwa katika Ujenzi wa Taifa letu. Ni lazima tukumbuke Maneno ya Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere aliyotumbia kuwa Hatuna Mjomba wa Kutuletea maendeleo watanzania.

Na hivyo yatupasa kusimama kwa miguu yetu wenyewe kulijenga Taifa letu kwa mikono yetu wenyewe. Hatupaswi kukaa na kusubiri ama kutegemea kuwa kuna mtu kutoka ulaya atakuja kwetu kutupa mapesa ili sisi tutajirike sana kumpita yeye alivyo kwake.

Hakuna Mjomba atakuja kutoka ulaya ama mzungu kutoka Marekani atakuja Tanzania kutupatia mapesa yatakayo tufanya watanzania kula milo mitatu minono ambayo hata wamarekani wenyewe hawaipati. Ni lazima tufahamu ya kuwa juhudi zetu na nguvu zetu ndio mtaji wetu watanzania. Ni lazima tufanye kazi kwa bidii ,juhudi ,maarifa na kujituma kwelikweli kama tunataka kuendelea na kupiga hatua za kimaendeleo.

Ni lazima tulipe kodi kwa hiari na kwa kupenda kwa kutambua kuwa ni kodi zetu ndio zitatupatia maji safi na salama ,umeme wa uhakika , barabara nzuri ,fedha za kuajiri vijana na kulipa mishahara watumishi wa umma kwa wakati,kuongeza mishahara watumishi wa umma,kutoa ruzuku ya mbolea,kutoa matibabu bure kwa wazee na watoto na gharama nafuu za matibabu kwa makundi mengineyo,kulipa viinua mgongo kwa wakati.

Hakuna Mjomba kutoka ulaya atawakamua kodi wananchi wake ili aje kutuchotea sisi ili tulipane mishahara na posho. Ni lazima tufahamu Tanzania itajengwa na watanzania wote.

Hakuna Nchi imewahi kuendelea na kuwa tajiri kwa sababu ya kupata misaada mingi kutoka ulaya na Marekani.tuache kushadadia na kutishwa na yeyote yule. Uchumi wetu upo mikononi mwetu wenyewe.

Tusimame na Mama. Tuungane na Rais wetu kulijenga Taifa letu. Tumuunge Mkono Mama yetu na tumpatie ushirikiano Rais wetu Mpendwa katika kulijenga na kuliletea maendeleo Taifa letu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
wavimba_20251206_072626_0000.png

Kila kijana ana nafasi ya kuwa balozi wa amani kwa kuwakumbusha wenzake hatari za ghasia, kusambaza ujumbe wa utulivu, na kuepuka maneno ya matusi au uchochezi. Leo, katika hii Jumamosi ya kuelekea maadhimisho ya Uhuru, nawakumbusha vijana wenzangu tusherehekee kwa uzalendo, busara na mshikamano , tukijenga taifa letu kwa vitendo vya amani na upendo. #amani #tanzania #afrika #siasa #youth
 
Vitu kama hivi unakuta jitu zima na makend yake linakuja kusifia ujinga hapa! Pumbavu kabisa!
Hao chawa ni UVCCM sasa jukumu lao kuu ni kumsifia Samia hata kama inawalazimu kujitoa ufahamu, unadhani hawafahamu kuhusu watu kutekwa, kulawitiwa na kuuawa? Unadhani hawajui kuwa watu wanaumia sana kwa kushindwa kupata miili ya wapendwa wao ili waizike kwa taratibu zinazostahili, unadhani hawajui kuwa kesi za uhaini ni za mchongo, unadhani hawajui kuwa hakuna watu Milioni 31 waliopiga kura. They know all these lakini what choice do they have ilhali wana-survive kwa kulamba mat*ako ya Samia? Wameamua kuuza utu wao na kuwauza Watanganyika kwa Wazanzibari ili wafi*rwe, watekwe na wauawe.
 
Hao chawa ni UVCCM sasa jukumu lao kuua ni kumsifia Samia hata kama inawalazimu kujitoa ufahamu, unadhani hawafahamu kuhusu watu kutekwa, kulawitiwa na kuuawa? Unadhani hawajui kuwa watu wanaumia sana kwa kushindwa kupata miili ya wapendwa wao ili waizike kwa taratibu zinazostahili, unadhani hawajui kuwa kesi za uhaini ni za mchongo, unadhani hawajui kuwa hakuna watu Milioni 31 waliopiga kura. They know all these lakini what choice do they have ilhali wana-survive kwa kulamba mat*ako ya Samia? Wameamua kuuza utu wao na kuwauza Watanganyika kwa Wazanzibari ili wafi*rwe, watekwe na wauawe.
Wataalam wa IT watoe locatin ya Luka Mwashambwa ili Gen-Z wamtembelee mapema tu! Pumbavu kabisa!
 
Back
Top Bottom