yaliyomoyamo
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 603
- 455
Ina maana zile propaganda za "UCHUMI WA BULUU!" zimefeli...?!
"BULUU" ime "PAUKA?!" au imekua "UDHURUNGI"...?!
"BULUU" ime "PAUKA?!" au imekua "UDHURUNGI"...?!
Purchasing power ndio shidaMwamba upo sawa kichwani? Waziri alikuja mtwara akakiri mbele ya watu kuwa sekta ya uvuvi imeshuka sana ukanda huu wa lindi na mtwara halafu unaleta porojo zako....njoo mtwara uone samaki alivyo bei ya ajabu kwanza
Nilikaa Kagera(Bukoba) aisee samaki mpaka nikachoka..😀😀😀Dar, tanga, lindi, mtwara, mafia, kilwa, kula samaki ni shughuli pevu. Watu wa bara hudhani wakija dar watakula samaki tani yao badala yake huishia kutafunatafuna vipande vya pweza na prawn vile vidudu pale kivukoni. Watu wa bara wanaona kumbe wao ndio hula samaki wa kumwaga maziwani mwao kuliko watu wa dar wenye bahari lakini kula samaki ni shughuli pevu. Kule mwanza, musoma na bukoba unakula samaki tani yako, bonge la sato unalila peke yako
Toka hapo bar kalale.KoIo moja ya samaki kambale sh. 6500
Kilo moja ya nyama ng'mbe sh 10000. Mjini Njombe,
Nini hapo ni adimu ? Mnataka kilo ya samaki iwe 4000 is it possible kwa mahesabu ya uchumi ? Nyie mnaosema samaki ni afimu mnaenda kuzihesabu sokoni au mnaangalia bei ya samski na upatikanaji wake ?
Mnatakaje labda wekeni wazi Serikali iwasikie.
Wenzenu wanyakyusa wamejifunza kufuga samaki nyumbani nanyi muanze kuiga ili msilalemikie wavuvi.
Nimesema post ya juu nchi ina maji mengi sana huna sebabu ya kulalamika kuwa samaki hawapo.
Kuna wenzenu nchi zao ni jangwa ila wanatumia akili. Kazi ya mtanzania ni kusubiri mtu mwingine amfanyie yeye aishi kiulanii kwa jasho la wengine.MTASUBIRI SANA BEI YA SAMAKI KUSHUKA ,HAISHUKI NG'O MPAKA UNAZEEKA.
Ndio maana nilikuuliza wewe kichwani mupo timamu? Shida sio upatikanaji wa samaki kila sehemu...wewe na waziri ambaye alikiri kabisa kuwa sekta ya uvuvi ipo chini nani mwenye taarifa sahihi juu ya hili? Njoo Feri mtwara hapa saa 5 kama utapata samakiPurchasing power ndio shida
Watu wengi wanataka samaki za bei chee, kitu ambacho hakiwezekani . Uvuvi wa TZ ni wa asili ila wanajitahidi kuhakikisha sokoni hikosi samaki kama vile hukosi nyama.
Sijawahi enda soko lolote TZ nikakosa samaki. Wengine wansharibikia kwenye mafriji wanunuzi hawapo.
Wewe huwa unaenda soko lipi ambalo halina samaki ? Hapo mtwara nimernda na mpaka feli. Damaki wa kulia ugali alie kaangwa sh 2000, dagaa walio kaangwa sh 1000.
Wingi na upungufu wa samaki huwa ni kawaida kwa mvuvii kwani wanategemea hali ya hewa.
Zamani tulikuwa na TAFICO ilikufilia mbaliLazima kwanza nchi iweze kutengeneza boti za uvuvi baharini, trawlers za steel. Kufanya hivyo lazima muwe na chuma cha bei rahisi nchini mwenu. Nchi isiyozalisha chuma itakuwa inapiga tu marktime, lakini haiwezi kufanya chochote cha maana kikaonekana.