Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana

Tatizo hatuna vetting zaidi ya kuwekana makada na chawa
 
Nakubaliana na wewe, watu wa aina hiyo ndio viongozi wetu wakuu, kuanzia ikulu hadi huku chini
 
Watumishi wa serikali na viongozi wanatoka kwenye jamii hizi hizi za kwetu. Kama low thinking ni tatizo basi linaanzia ngazi ya familia kabisa.
Hizo tabia wanazo onyesha huko wanatoka nazo kwenye jamii zao
Tatizo ni mfumo wa upatikanaji viongozi, wateule wote wanawajibika kwa Rais kumfurahisha badala ya wananchi
 
Nakubaliana na wewe, watu wa aina hiyo ndio viongozi wetu wakuu, kuanzia ikulu hadi huku chini
Na wamejaa kila sehemu, serikalini mpaka kwenye mashirika mpaka kwenye jamii yetu
 
Basi watu wa vetting wana uwezo mdogo wa kufikiri 🀣
Wanapewa maagizo, ilitakiwa kazi zitangazwe watu wapige public interview, mtu anaeleza sera zake atakavyosaidia shirika/taasisi mission na vision, kuna watanzania wengi sn wana uwezo wa kuongoza lakini hawawezi kupata hizo nafasi sababu ni za shukrani kwa makada na chawa
 
Basi walioutengeneza mfumo huo na wenyewe wana uwezo mdogo wa kufikiri.
 
binadamu hakosi mapungufu
Mapungufu yake pamoja na chama chake ndio inatugharimu mpaka leo. Na alikuwa na kundi kubwa la watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri kama viongozi ambao walichomeka watu wao na watoto wao kwenye uongozi wa nchi na mashirika, huku hao watu/watoto wakiwa na uwezo mdogo wa kufikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…