Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
Sio kweli mkuu, tulikuwa pazuri kiuvumbuzi mpaka wakoloni walipokuja na "Destruction of industries"Pamoja na kuishi kwangu kidogo duniani na kutokuona mengi nilichogundua mataifa yangu ya bara langu zuri na ninalolipenda la Africa lina watu wenye uwezo mdogo wa kupambanua mambo , kama wa Africa tu ndo wangekuepo kwenye dunia hii toka kuanzishwa kwake hadi leo 2023 bhas bado tungekuwa tunavaa kaniki na tunaishi mwituni.
Na nyie ndo akili ndogo zaidi, tangu 1992 hadi leo bado mmeshindwa kutumia akili ili kuja na mbinu ya kuitoa hiyo ccm madarakani?!!!! Na mmeshindwa sababu akili zenu ni ndogo zaidi yao. Najua mnakimbilia kwenye kijisababu chenu cha kisungo eti 'wanatumia vyombo vya dola!' Si ndo mutumie akili sasa kulimaliza hilo! Kuna kingine zaidi ya akili?!!!!Ni vzr tuwe open tu.. CDM, ACT, NCCR MAGEUZI, UDP, wala chama cha ma old azz nigga RUNGWE havijawah tawala, So tuwe wawazi CCM ndio main probes!!
Assumption tu kwa kuwa wewe unadhani kwamba labda thinking capacity yako ni kubwa. Taifa haliendelei na malalamiko kama haya uliyoyaandika. Start with yourselfKama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei. Hapo tuombe Mungu dunia iishe mapema, labda tutatoboa Mbinguni.
Tumekuwa tukichezea elimu na madhara lazima yajionyeshe tu.Kama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei. Hapo tuombe Mungu dunia iishe mapema, labda tutatoboa Mbinguni.
🤣Ecowas wanataka wamvamie mwafrika mwenzao ili kulinda maslai ya mzungu
🤣So tunakikwamuaje hapo mkuu?,kwamba ndio tutakua hivyo milele[emoji849]
Duh! Hebu elezea, inawezekana una hoja. Maana haya ma gmo na mambolea isijekuwa yanapunguza uwezo wa kufikiriChanzo ni vyakula vya GMO
we unaona ni mtazamo, wakati umejiita hicho hicho alichokimaanisha mleta mada. Yani mnakili mpaka kwenye majinaNi mtazamo tu.
Kiufupi wana rudisha walewale walioleta matatizo. Ni circle ya watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri 🤣🤣🤣 inayojirudiarudiaLeo Rais Samia kawasimamisha Wenyeviti wa Bodi,haloo ni Wazee watupu,sasa sijui lengo ni lipi hasa na anawasisitiza eti walete mabadiliko kwenye Mashirika ya Umma,kweli!
Rais Ruto huwa naona kwenye social media Wenyeviti wa Bodi ni vijana na CV nzito.
Kweli serikalini kuna watu wenye upeo mdogo sana!
GMO upunguza uhalisi wa kitu kiwe ktk mfumo wa artificial na Sio natural.Duh! Hebu elezea, inawezekana una hoja. Maana haya ma gmo na mambolea isijekuwa yanapunguza uwezo wa kufikiri
Akili ndogo sana 🤣we unaona ni mtazamo, wakati umejiita hicho hicho alichokimaanisha mleta mada. Yani mnakili mpaka kwenye majina
Kwa hiyo haya ma GMO yanaathiri ubongo? Huko USA, Ulaya, Asia ambako kuna maendeleo makubwa, hawali GMO? Mbona wana maendeleo?GMO upunguza uhalisi wa kitu kiwe ktk mfumo wa artificial na Sio natural.
Kitu artificial uzalishaji watu jamii ya robot wenye upeo finyu wa kufikiri sababu hawana utu ndani yake.
🤣Ukishakua na uwezo mdogo wa kufikiri automatically lazima uwe mbinafsi
🤣Huwezi kuwa na jamii ya hovyo halafu ukazalisha viongozi wazuri. Hao wazuri watashusha toka mbinguni? Unamuoona mtu kama Tulia, Ndugai unasikitika wamewezaje kuwa maspika
Ukoo wa akili ndogo sana 🤣🤣🤣Akilindogo sana ameandika kuhusiana na ndugu zake wenye akili ndogo sana. Hii ni thread ya ukoo😂😂
Yes ni kweli,Kama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei. Hapo tuombe Mungu dunia iishe mapema, labda tutatoboa Mbinguni.
Kwa nini elimu inachezewa?Tumekuwa tukichezea elimu na madhara lazima yajionyeshe tu.