Tuna ma-commando wazuri, lakini je tuna Rapid Response Force?

Wazi afande.. Mstari wa mbele kupambana kwa ajili ya hawa wanaojiita "wasomi"...
Mkuu wala si msomi yule ni jitu jinga jinga tu linaloonyesha kile ambacho hajui.
Ameulizwa matumizi ya hizo technolojia alizo zitaja wala hajui maana yake!

Mi namshabikia sana mtu kama Jidu la Mabambasi ambaye ana moyo wa kizalendo na ana common sense ya kuonyesha kuwa watu wengine wanaojiita "wasomi" ni heri hatta kuwa na mnyama kama mbwa ambaye wakati wa matatixo, vita, machafuko husikiliza amri moja tu, ua adui.
 
After all mission kubwa ya jeshi la nchi yeyote ile iwe la magharibi au huku kwetu vichochoroni ni kulinda mipaka ya nchi na Raia wake jambo ambalo jeshi letu limekuwa likitimiza ndio maana hakuna nchi au kikundi chechote kilichotangaza kutawala hata kiji kata kwenye nchi yetu hiyo ndiyo mission kuu ya jeshi lolote lile sasa kama mtu anasemajeshi letu ni dhaifu yani sielewi sielewi. Kwa hiyo wale wa Denmark sijui wamarekani mi sikumbuki wazungu wanaokujaga huku kufanya mazoezi na wanajeshi wetu huwa wanakuja kujifunza nini? hivi we mtu unajua ni kilaza darasani unaweza kumuomba mfanye discussion na kichwani ukitegemea kuvuna kitu? kama si ukichaa ni nini?
Wazungu si wajinga wasafiri mile zooote hizo afu eti waje kufanya mazoezi kwa jeshi dhaifu wale sio wehu kama baadhi ya watanzania wenzetu walivyo na fikra za ki uwendawazimu

ila hatushangai nabii hakubaliki kwao.

Wazungu sio wehu kama MchunguZI.
 
Mkuu wala si msomi yule ni jitu jinga jinga tu linaloonyesha kile ambacho hajui.
Ameulizwa matumizi ya hizo technolojia alizo zitaja wala hajui maana yake!

Mi namshabikia sana mtu kama Jidu la Mabambasi ambaye ana moyo wa kizalendo na ana common sense ya kuonyesha kuwa watu wengine wanaojiita "wasomi" ni heri hatta kuwa na mnyama kama mbwa ambaye wakati wa matatixo, vita, machafuko husikiliza amri moja tu, ua adui.

-Natanguliza samahani kwanza.
-Ukiona mwanaume hana misimamo yake, hajikubalu, yupoyupo tuu yaani yeye anashabikia vitu ambavyo hata havijui na kama anavijua basi anafanya kusudi, kupenda kubishana na wanaume wenzie, kutokuwa na uzalendo au kutokuwa mpiganaji wa maisha yake, familia yake na nchi yake. HIZO NI DALILI ZA USHOGA, unaweza fanya Research kidogo kuhusu hili.
-Mimi ktk maisha yangu hata Chama chochote au mtu yoyote akiongoza nchi vibaya, sitaweza kukataa kujikubali Utanzania wangu na huwa nina amini tupo juu kwa kila kitu, tukiamua tunaweza kuwa juu sana.
-Wangeona Tanzania ni 10 kutoka mwisho wangefurahi sana na wangepiga kelele humu JF, sasa kwa bahati mbaya Tanzania upande wa Jeshi imepanda juu.
-Ukiwa na watoto wa sampuli hii yaani watoto wa kiume ila wana tabia za kike unaweza ukamwekea hata sumu afe.
 
Asante mkuu kwa shule uliyotoa kwa huyu"msomi" wetu anayejua kukariri mambo ya vyombo vya habari bila kujua kuwa Tz ni full nondo.
Mi sikutaka kumwelewesha hata kidogo ili abaki na kaujinga kake asijue kuwa Tanzania tunajipiga vifua huku tunajielewa

Mwanawane nikifikiri huyu MuchunguZi ana akili kumbe msomi ma.fi?
Nimemuuliza hiyo accelerator itatusaidia vipi kuwaondoa Al Shabab kaingia mitini.
 
-Natanguliza samahani kwanza.
-Ukiona mwanaume hana misimamo yake, hajikubalu, yupoyupo tuu yaani yeye anashabikia vitu ambavyo hata havijui na kama anavijua basi anafanya kusudi, kupenda kubishana na wanaume wenzie, kutokuwa na uzalendo au kutokuwa mpiganaji wa maisha yake, familia yake na nchi yake. HIZO NI DALILI ZA USHOGA, unaweza fanya Research kidogo kuhusu hili.
-Mimi ktk maisha yangu hata Chama chochote au mtu yoyote akiongoza nchi vibaya, sitaweza kukataa kujikubali Utanzania wangu na huwa nina amini tupo juu kwa kila kitu, tukiamua tunaweza kuwa juu sana.
-Wangeona Tanzania ni 10 kutoka mwisho wangefurahi sana na wangepiga kelele humu JF, sasa kwa bahati mbaya Tanzania upande wa Jeshi imepanda juu.
-Ukiwa na watoto wa sampuli hii yaani watoto wa kiume ila wana tabia za kike unaweza ukamwekea hata sumu afe.
Pamoja sana mkuu, huo ndo uyanzania tunaotakiwa kuuenzi.
Huyo mwenzetu anayetaka kubebwa bebwa, hadi kuiponda nchi yake ana kila dalili ya orientation mbaya kijinsia maishani mwake.
Watu hao wapo na ndio wanaonunulika kirahisi dhidi ya nchi zao.
 
Unadhani kwanini Al Shabab hawaji hapa? Unadhani kwanini kila siku wako Kenya tu wakati AMISOM inaundwa pia na nchi nyingine zaidi ya Kenya?
Vikosi vya Tanzania viko imara sana, vimeboreshwa kiasi cha kutoweza kusumbuliwa na kikosi cha wahuni na wapuuzi kama Al Shabab.
Shida hapa kwetu iko kwa polisi tu ambao ni kama wamesahaulika kwani ndio kikosi pekee ambacho bado kinafanya kazi zake kienyeji na mazoea huku kikinuka rushwa.
Kenya wana kikosi dhaifu sana na ndio maana kila siku wanateswa na Al Shabab. Kikosi kinaacha kusaka magaidi na badala yake wanaenda kuiba pombe.
Nakumbuka kuna wakati hicho kikosi chao maalum kiliteswa na kibaka mmoja tu aliyejificha kwenye nyumba ya raia baada ya kukimbizana naye mitaani.
Nakumbuka yule kibaka wala hakuwa akipata usumbufu wowote hadi aliweza kupiga Simu redioni (Ghetto FM) akawa akisikika live na wao wakiwa wamebaki kuhangaika nje ya nyumba kupiga risasi ovyo.
Jamaa alimuua mmoja wao na kuwajeruhi kadhaa baada ya kumpora silaha mmoja wao. Sasa kikosi kama hicho cha kumshinda kibaka tu kitaweza kupambana na gaidi?
Hao Al Shabab wawaonee hao hao Kenya ila wakithubutu kuja Bongo na hizo mbwembwe zao, watachapwa mpaka kwenye mahandaki yao huko Mogadishu.
Ova
 
You are a wimp, through and through mister!
Your presentation is enough to make your mother weep in resignation.

And, rhetoric or not, there are Tanzanians we will stand in harms way for the mother land.
As for you, well , tutawalinda tu kama tunavyowalinda wake zetu.
You just might be of use sometime.

Which language is this? What is this language? Gramatically, dead!
 
Unadhani kwanini Al Shabab hawaji hapa? Unadhani kwanini kila siku wako Kenya tu wakati AMISOM inaundwa pia na nchi nyingine zaidi ya Kenya?
Vikosi vya Tanzania viko imara sana, vimeboreshwa kiasi cha kutoweza kusumbuliwa na kikosi cha wahuni na wapuuzi kama Al Shabab.
Shida hapa kwetu iko kwa polisi tu ambao ni kama wamesahaulika kwani ndio kikosi pekee ambacho bado kinafanya kazi zake kienyeji na mazoea huku kikinuka rushwa.
Kenya wana kikosi dhaifu sana na ndio maana kila siku wanateswa na Al Shabab. Kikosi kinaacha kusaka magaidi na badala yake wanaenda kuiba pombe.
Nakumbuka kuna wakati hicho kikosi chao maalum kiliteswa na kibaka mmoja tu aliyejificha kwenye nyumba ya raia baada ya kukimbizana naye mitaani.
Nakumbuka yule kibaka wala hakuwa akipata usumbufu wowote hadi aliweza kupiga Simu redioni (Ghetto FM) akawa akisikika live na wao wakiwa wamebaki kuhangaika nje ya nyumba kupiga risasi ovyo.
Jamaa alimuua mmoja wao na kuwajeruhi kadhaa baada ya kumpora silaha mmoja wao. Sasa kikosi kama hicho cha kumshinda kibaka tu kitaweza kupambana na gaidi?
Hao Al Shabab wawaonee hao hao Kenya ila wakithubutu kuja Bongo na hizo mbwembwe zao, watachapwa mpaka kwenye mahandaki yao huko Mogadishu.
Ova

we unayejiita MchunguZI njoo usome hapa.
 
Mi nimemaliza darasa la saba nina miaka 22, na nina mke na mtoto mmoja.
Mang'ombe ndo kibao!!!
Sasa we unauliza darasa.

Lakini si mjinga hivo, hebu niambie Marekani wamepigana wapi na hiyo particle accelerator, na nimeuliza kama wewe mwenyewe umeiona au ni uhadithiwa na vijigazeti.

Bongo bwana itakapotokea mtafaruku, siye ndo tutaenda fronti, siyo nyie mnaokariri vitu wala hamvijui.

Sisi unaotutenga, tunahangaika kuifanya Bongo iwe ni nchi isiyohitaji na ambayo haina mtafaruku. Kwa hiyo wewe unayesubiri kwenda front, unapoteza resources. Hatuhitaji watu wenye kihelehele cha kujiingiza kwenye vita isiyo na manufaa.

Labda ulikuwa hufahamu kwamba TZ haihitaji vita ya aina hiyo. Waliodhani wanaweza nadhani umewaona wanavyo taabika.
 
..yet to see JW put into a real taste....its good to be sanguine however...
 
Your submissions do not depict a character of very high standing, radher as I said earlier, a wimp.
Wimps do not bother to cover their asses in any way, thats why there are those whom you take for granted, as darkness falls yout ass wont only be covered, just submit yourself, , wives and kids for safe keeping, hoping that at sunrise you see another day.
zThanks to our dedicated, young men and women.

Unapoandika, tulia. Hayo tunafundishwa tangu darasa la 7. Angalia haya uliyoandika sasa! Makosa makosa tu! Yaani unategemea tutumie uzoefu kukuelewa una maana gani. This time, let me appeal to whoever managed to understand this language. What I confirm seeing is a hotchpotch of english words!
 
Bwana mdogo kiingereza cha makarani is all that you know and can think of.
Kazi za wanaume waachie wanaume.
In actual fact you are better off tending to the kitchen chores and washing your wifes undergarments
 
We msomi fake, unayejua ku-cramm terminologies za magazetini, umeulizwa na Jidu, hiyo Particle Accelerator imemsaifiaje Mmarekani katika vita so far, and there you are blowing hot, foul air all over the place.
Elimu uliyonayo ni ya kuombea kazi tu, and its very clear hata wewe mwenyewe haijakusaidia sana.
Maana umesoma lakini hujaelimika.

Jamani sitajibu tena meseji za jina hili la masopakyindi.

Naanza kuona kwamba hiki ni kikundi cha watu wanaosaidiana kubishana nami. Si munaona kuna wakati maandishi yanaelweka kidogo. Kuna wakati anayenijibu ni hoi kabisa kama huyu wa sasa. Kuna wakati anajibu yule aliyejidai kuweka slang yake Nikamkomesha kwa umwamba wangu wa lugha za kigeni. Yupo pia yule anayekosea spelling za maneno yote ya kiingereza.

Mulisoma shule gani jamani! Mbona shule zetu za kata zinafanya vizuri siku hizi?
 
Bwana mdogo kiingereza cha makarani is all that you know and can think of.
Kazi za wanaume waachie wanaume.
In actual fact you are better off tending to the kitchen chores and washing your wifes undergarments

Huu ugonjwa hutapona! What is in actual fact? Sema in fact au sema actually...... Sasa tena unasema in actual fact! Makosa mengine kwenye huo mstari, tumuachie sijui nani!

Hivi kweli una ajila serikalini au ni muwindaji haramu?

Jamani musinione kwamba mi ni mbishi, hapana! Nawasaidia hawa wa TZ wenzetu
 
Kwani bongo kuna nini kitakachonifanya nisifu watu ninaowafahamu udhaifu wao? Au ile patriotism? Huwezi kushinda kwa kushangiliwa tu. Tuwe na fact maana mifano yenu eti ni comoro na drc.

Ziko nchi zina komando wa kueleweka bhana. Uliza Angola ndo utawajua komando wanafanya nini.

Na wasiwasi khs uraia wako mkuu, ww n mtanzania kwel mkuu
 
Jamani sitajibu tena meseji za jina hili la masopakyindi.

Naanza kuona kwamba hiki ni kikundi cha watu wanaosaidiana kubishana nami. Si munaona kuna wakati maandishi yanaelweka kidogo. Kuna wakati anayenijibu ni hoi kabisa kama huyu wa sasa. Kuna wakati anajibu yule aliyejidai kuweka slang yake Nikamkomesha kwa umwamba wangu wa lugha za kigeni. Yupo pia yule anayekosea spelling za maneno yote ya kiingereza.

Mulisoma shule gani jamani! Mbona shule zetu za kata zinafanya vizuri siku hizi?
Hunijibu kwa sababu you have proven to be a naive young man in heat.
Heat to be possesed.
Mtu usiyelipenda taifa lako unataka kupendwa na Marekani?
Of all the people?
I assure you tupo watu wenye kiburi na nji hii whatever may come, and we'll go the distance.
Sasa kikaragosi kama wewe mtandaoni hapa, wengine wamediriki kukuita shoga, not me, you are a disgrace to wherever you belong.
 
Unadhani kwanini Al Shabab hawaji hapa? Unadhani kwanini kila siku wako Kenya tu wakati AMISOM inaundwa pia na nchi nyingine zaidi ya Kenya?
Vikosi vya Tanzania viko imara sana, vimeboreshwa kiasi cha kutoweza kusumbuliwa na kikosi cha wahuni na wapuuzi kama Al Shabab.
Shida hapa kwetu iko kwa polisi tu ambao ni kama wamesahaulika kwani ndio kikosi pekee ambacho bado kinafanya kazi zake kienyeji na mazoea huku kikinuka rushwa.
Kenya wana kikosi dhaifu sana na ndio maana kila siku wanateswa na Al Shabab. Kikosi kinaacha kusaka magaidi na badala yake wanaenda kuiba pombe.
Nakumbuka kuna wakati hicho kikosi chao maalum kiliteswa na kibaka mmoja tu aliyejificha kwenye nyumba ya raia baada ya kukimbizana naye mitaani.
Nakumbuka yule kibaka wala hakuwa akipata usumbufu wowote hadi aliweza kupiga Simu redioni (Ghetto FM) akawa akisikika live na wao wakiwa wamebaki kuhangaika nje ya nyumba kupiga risasi ovyo.
Jamaa alimuua mmoja wao na kuwajeruhi kadhaa baada ya kumpora silaha mmoja wao. Sasa kikosi kama hicho cha kumshinda kibaka tu kitaweza kupambana na gaidi?
Hao Al Shabab wawaonee hao hao Kenya ila wakithubutu kuja Bongo na hizo mbwembwe zao, watachapwa mpaka kwenye mahandaki yao huko Mogadishu.
Ova

hiyo habari unayo iongelea hapo,inafanana na matukio yaliyo tokea baruburu-nairobi mwaka 2011/2012.ngoja MK254 aje athibitishe.

video zake hizi hapa.

Last edited by a moderator:

kadoda11 Tatizo la Wabongo wengi ni kutegemea hadithi za vijiweni kila siku. Unakuta mtu anaelezea kuhusu Kenya wakati hata hajui ipo upande upi wa mpaka, hajui ni ipo magharibi wala kusini. Unaona kama huyo hapo juu anaongea kuhusu RECCE commandoes wa Kenya eti walishindwa na kibaka mmoja, wakati inafahamika iliwachukua chini ya dakika tano kumuangamiza jamaa aliyekua amejihami. Zaidi inafahamika huko Garissa iliwachukua chini ya dakika 17 kukamilisha shughuli. Hao jamaa sio wa kawaida, mafunzo wanayo na ya kisasa, hawajawahi shindwa kwenye operation yoyote.

Hata kule Westgate, walikua tayari kukamilisha ngoma ndani ya dakika 30 lakini jeshi la KDF likaja na kuwaharibia. Huko kwenu Tanzania si kwamba Alshabaab wanaogopa chochote, ni vile tu hamjawapa sababu za kuja. Magaidi wanaowazingua nyie ni wazawa wavuta bangi lakini hamjakumbana na mujahidin bin shababi allh akbar wa kweli. Wale huingia wakiwa na nia ya kufa na kuua, hawatishwi na yeyote, hao mnaita makomando wa JWTZ hawakumbana na mtihani wa aina hii.

Kawaida makomando dunia yote hufanya kazi vizuri kwenye mazingira ya mateka, yaani vita dhidi ya magaidi wenye nia ya kupona na wanashika mateka, lakini mashababi hawana haja, wao huingia na kuanza kulipua chochote chenye hakimjui mohammed. Huko Tanzania hamjawapa sababu za kuja, hebu jaribuni mpeleke pua Somalia na kuwazingua jinsi tulifanya ndio mtaelewa ninachosema.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom