Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kutoka kwenye kujadili uwezo wa makomandoo wetu kukabiliana na magaidi mpaka uwezo wa kuandika kingereza.the conversation is heading north now.pathetic!,BOOOOOO!!!!.
kutoka kwenye kujadili uwezo wa makomandoo wetu kukabiliana na magaidi mpaka uwezo wa kuandika kingereza.the conversation is heading north now.pathetic!,BOOOOOO!!!!.
Mkuu sema tu kitu kimoja!
Mcheza kwao hutuzwa, je wewe ulipelekwa lini utumwani?
Na inaelekea ulisha hasiwa!!!!!
Chunga sana waarabu wa isis.
Na wewe umesoma? Angalia mpangilio wako wa maneno ya kiswahili, hovyo! Au unadhani ukikosea kiswahili siyo tatizo?
Nawe umekuja kwa matusi. Waarabu, kuhasiwa, nk. Vipi mambo haya yanakupa sababu ya kusifu makomandaoo?
umeandika, Mkuu sema tu kitu kimoja, andika hivi Mkuu sema kitu kimoja tu. Yaonekana muko wengi.
Kama makomandoo wenyewe ndio wale waliokuja taifa na kuvunja vitofali vilivyojaa mchanga mwingi kuliko cement naona tz hatuna makomandoo.
Kama makomandoo wenyewe ndio wale waliokuja taifa na kuvunja vitofali vilivyojaa mchanga mwingi kuliko cement naona tz hatuna makomandoo.
Mkuu sikushambulii, hiyo ni reflection ya ulivo katika jamii.
You aint any better.
Mkuu watoka wapi weye kwenye watu wanaonunulika kirahisi hivo.You aint any batter? Good american english! Ulimbukeni! kwa lugha mi limbukeni kuliko wewe! Pensez-vous que tous connaissent tout les gens doivent parler l'anglais américain?
pole sana!
Utapelekwa Kota Gadi upate push ups za juu.... Up..
Ndani ya green vesti ya kijani!
Unaipata?
Mkuu watoka wapi weye kwenye watu wanaonunulika kirahisi hivo.
For a Tanzanian thats too cheap!!!
nyway makomandoo oyee.
teh teh watu mna masihara ya kichokozi.huwa nasikia kikosi kinaitwa 'green guard" chini ya kommandoo Nape Nnauye.....
Mkuu mifano yote uliyotoa ni irelevant when it comes to this topic, marekani yenyewe imeshindwa kulinda blacks wanaouwawa kila siku lakini haimaanishi kwamba ina jeshi dhaifu..I know the power of our military to its mitochondria. The problem you are trying to portray replicates typical of politicians' stupidity. Unazungumza kama Lowasa kuwatisha wamalawi bungeni, baadaye kila mtu akainuka kusema hawatuwezi hawatuwezi. Of course kila mwanasiasa anawambia watawaliwa hivyo but is it a sesnible announcement ktk nchi ambayo haiwezi hata kulinda walemavu wa ngozi?
huwezi kulinda tembo, huwezi kulinda walemavu, halafu unahangaika kusifu jeshi for what? Software problem!
Yeap! Ndo ufahamu kwamba kwa ujinga tunazidiana.
Jeshi letu bado ni la misuri. Hatuna physists, hatuna chemists, hatuna engineers, sasa hapo unategemea nini enzi hizi za particle accelerator? Hizi siyo enzi za kujua kulenga shabaha, watu wanatumia thermal signature tracers na infrared sensors. Nilipokutajia Angola, nilidhani uta google ujue walichokifanya nchini DRC.
Ndo maana nikakusomesha kwamba tuachane na mtindo wanappreciations za kisiasa. Wao hata siku moja hawasemi udhaifu wa jeshi. Hata idadi kubwa ya askari wanapokuwa wezi, wao watasema jeshi linachafuliwa na wachache. Rubish!
Nawe bado unasema hayo kama kibwagizo, Makomandoo hoyee! Purely, nationalistic rhetoric!
Kwani Tanzania kuna polisi walio elite?
NDIO ukilinganisha na KENYA