Tuna ma-commando wazuri, lakini je tuna Rapid Response Force?

Makomandoo wenyewe ndio wale waliokuwa wanavunja matofari kwa ngumi uwanja wa taifa?

. . . .In a situation when one is out of ammo or the op. needs no bang bang. . . . .evading from enemies while "all" have been taken away from a soldier. . . . . .

Ota moto mkuu watu wameweka rehani roho zao ili we ulale salama uamke usiku ubadili mtoto pamper. . . . . .
 
Njia ya haraka sana, ya kuwa attack MAGAIDI LIKE AL- SHABAB AMBAO HUPENDA KUVAMILA MAJENGO AU VYUO AU MALLS kubwa, ni kuwawahi kwa mabomu ya machozi, iwe haraka sana, isizidi dak 30 au 1 hr, anti- terror squad forces wawe pale....ni kuwavurumisha na mabomu ya machozi watakosa kupumua na kuona vizuri, hapo hapo anti-terror commandos wanaingia na miwani maalum na kuwaanza kuwapiga kama kuku...!!!

Hii ndio njia pekee ya kwanza na haraka ya kuokoa mateka...kumbuka inatakiwa kuokoa mateka na kuwaua magaidi..., ila mabomu ya machozi yapigwe mengi kwa
haraka haraka ndani ya jengo au ktk madirisha au entries la jengo...kisha makomandoo wanamove ndani haraka in style....
HAHAHAHAHA....mkuu bila shaka wewe ni retired FFU police officer.una mtizamo wa kutuliza maandamo.HAHAHAHAHAHAH.gaidi aliye jiandaa kufa baada/kabla ya kuuwa umkabili na mabomu ya machozi?!!!!.c'mon.
 
labda unaongelea askari wa kutuliza ghasia/maandamano(FFU).lakini kama unaongelea elite rapid reponse unit,tz hatuna.tusijitwishe sifa za kijinga.

kipo,amini kipo,achana na cha majanga kama ya meli kuzama,kipo na huwa wanafanya mazoez ya simulation,wameshafanya kigambon,airport dsm,na kuna vkosi vng venye mafunzo hayo
 
naomba usidanganyike kabisa kwamba eti una makomandoo wazuri. Wako wapi? Ni ile ile hadithi ya polisi wetu na hata hao wa huko Kenya. Wanahangaika kutisha raia kwa kuwa wana mikanda ya chuma na bunduki, lakini subiri wakutane na Al Shabaab, weeee! Hapo ndo utajua kwamba ni wadhaifu. Hawana lolote.

utakuwaje komando wa maana wakati unakula ugali na nyama kila siku na kuongeza maharage. Bahati mbaya utotoni makuzi ndo hayo, unaishia kukomaa miguu na fuvu la kichwa tu! Brain hoi!

hahahaaa we jamaa una utani sana na watu!!
 
Njia ya haraka sana, ya kuwa attack MAGAIDI LIKE AL- SHABAB AMBAO HUPENDA KUVAMILA MAJENGO AU VYUO AU MALLS kubwa, ni kuwawahi kwa mabomu ya machozi, iwe haraka sana, isizidi dak 30 au 1 hr, anti- terror squad forces wawe pale....ni kuwavurumisha na mabomu ya machozi watakosa kupumua na kuona vizuri, hapo hapo anti-terror commandos wanaingia na miwani maalum na kuwaanza kuwapiga kama kuku...!!!

Hii ndio njia pekee ya kwanza na haraka ya kuokoa mateka...kumbuka inatakiwa kuokoa mateka na kuwaua magaidi..., ila mabomu ya machozi yapigwe mengi kwa
haraka haraka ndani ya jengo au ktk madirisha au entries la jengo...kisha makomandoo wanamove ndani haraka in style....

mkuu punguza kuangalia mikanda ya rambo na komando kapensi!! things do get alot messier than that sometimes
 
FIB-training-22_%289311333487%29.jpg

Ni ukweli usiopingika kuwa Jeshi letu la JWTZ lina ma-commando wazuri, na matokeo ya kujinoa kwao yameonekana hivi majuzi Comoro na hata DRC-Congo.

Lakini matukio ya hivi majuzi huko Garissa yamefanya nijiulize vizuri pointed questions.
Kenya kweli wana vifaa vizuri tu kama sisi.
Lakini response kwa shambulio la majahili ya AlShabab imewachukua muda mrefu sana kufika eneo la tukio na hata kuwa na tactical initiative ya situation yenyewe, yaaani kuiweka sehemu ya mapambano chini ya control hata kama majahili hawajauliwa/kutekwa.

Najua commando anafanya kazi yake vizuri eneo la vita, na yeye kazi yake kubwa ni kuteka/kuconfuse adui ili hatimae regular forces walidhibiti eneo.
Lanini hapa tuna eneo la mapambano NDANI ya eneo ambalo ni huru, yaani walengwa wa kutekwa au kuuliwa na maadui ndio hao tunaotakiwa kuwaokoa, ikiwa ni pamoja na kuua/kudhibiti majahili kama Al Shabab.
Na hilo ndo lengo la swali langu.
Marekani wana SWAT, India wana Anti -Terrorist Squad, New Zealand wana STG-Special Tactics Group, Pakistan wana RATS-Rangers AntiTerror Squad.
Hili si swala la Kova , ni kubwa zaidi.

!
!
tunao...ni wale wanaopasuaga matofali kwa kichwa. Teh teh teh
 
Ha ha
Sikuwa nimekosea, pengine asiyeujua muziki wa JW ni watu kama ninyi, wabongo wa kusingiziwa!!
Kwa umri wako kama huujui, basi huna haja ya kuhadithiwa, maana utaendelea kutoelewa.

Ila mkirudi toka majuu na visuruali kata-K, jitahidini basi ingalao mgambo kuitoa kutu za huko majuu.

Eti muziki wa jw, wewe ni mgeni jf. Dunia naifahamu, Tanzania naifahamu. Shule nimeenda na nikamaliza, sasa hivi nafikilia baada ya kumaliza kuizoeza akili yangu kufikiri kwa miaka mingi shuleni. Ndo maana huwezi nishawishi eti una jeshi imara kwa sababu tu umewaona wanafanya mazoezi wakiwa na magwanda mapya.

Kila ukiulizwa uthibitisho ni drc na comoro, wadhaifu au utataja vita vya Kagera. Wapi? Hii ni 2015 hakuna vita ya songa mbele hapa! Ajabu kila nchi inajivuna hivyo, eti wako imara. Majirani zetu wanajivuna majukwaani, yanayotokea ni kinyume. Dunia imeshageuke wewe bado unaamini uimara ni uzalendo na kuchocheana yasiyowezekana. Kwani ukiwapa moyo, kweli watakuwa imara?

Westgate ilipopigwa, eti mtu anajitokeza tbc na kusema tumejipanga, kujipanga wapi?
 
Comandos wa bongo ni wale wa fire wanaochelewaga kuzima moto na wale fatuma ficha uch
 
naomba usidanganyike kabisa kwamba eti una makomandoo wazuri. Wako wapi? Ni ile ile hadithi ya polisi wetu na hata hao wa huko Kenya. Wanahangaika kutisha raia kwa kuwa wana mikanda ya chuma na bunduki, lakini subiri wakutane na Al Shabaab, weeee! Hapo ndo utajua kwamba ni wadhaifu. Hawana lolote.

utakuwaje komando wa maana wakati unakula ugali na nyama kila siku na kuongeza maharage. Bahati mbaya utotoni makuzi ndo hayo, unaishia kukomaa miguu na fuvu la kichwa tu! Brain hoi!
Katka comments zako zote nimefuatilia , you are a fish out of the water katika maeneo haya.
Usijisumbue kuonyesha usichojua.
 
Eti muziki wa jw, wewe ni mgeni jf. Dunia naifahamu, Tanzania naifahamu. Shule nimeenda na nikamaliza, sasa hivi nafikilia baada ya kumaliza kuizoeza akili yangu kufikiri kwa miaka mingi shuleni. Ndo maana huwezi nishawishi eti una jeshi imara kwa sababu tu umewaona wanafanya mazoezi wakiwa na magwanda mapya.

Kila ukiulizwa uthibitisho ni drc na comoro, wadhaifu au utataja vita vya Kagera. Wapi? Hii ni 2015 hakuna vita ya songa mbele hapa! Ajabu kila nchi inajivuna hivyo, eti wako imara. Majirani zetu wanajivuna majukwaani, yanayotokea ni kinyume. Dunia imeshageuke wewe bado unaamini uimara ni uzalendo na kuchocheana yasiyowezekana. Kwani ukiwapa moyo, kweli watakuwa imara?

Westgate ilipopigwa, eti mtu anajitokeza tbc na kusema tumejipanga, kujipanga wapi?
Kwenda shule na kumaliza haina maana umeondoa umbumbumbu katika maeneo usiyoyafahamu.
Ni dhahiri kile usichojua kinajionyesha wazi.
Sasa ninyi ISIS sympathisers hata kueleimishwa katika mambo mengine haifai kabisa.
Na ndo fifth columnists ambao ni lazima wawe nipped in the bud , pindi nafasi ipatikanapo.
 
hahaha ukisikia thread yenye post chokonozi ndio kama hii.:lol:
Siku yakikupata kwenye mall, au kwenye basi au kwenye mkusanyiko wa watu wengi ndo utakumbuka kinachoongelewa hapa.
 
Katka comments zako zote nimefuatilia , you are a fish out of the water katika maeneo haya.
Usijisumbue kuonyesha usichojua.

I know the power of our military to its mitochondria. The problem you are trying to portray replicates typical of politicians' stupidity. Unazungumza kama Lowasa kuwatisha wamalawi bungeni, baadaye kila mtu akainuka kusema hawatuwezi hawatuwezi. Of course kila mwanasiasa anawambia watawaliwa hivyo but is it a sesnible announcement ktk nchi ambayo haiwezi hata kulinda walemavu wa ngozi?

huwezi kulinda tembo, huwezi kulinda walemavu, halafu unahangaika kusifu jeshi for what? Software problem!
 
Baki kwenye mada usilete za kuleta jamvini, hizo za Lowassa wazijua weye.
In fact as far as your posts go you have exposed your naivety to the point of stupidity.
Mbaya zaidi elimu ambayo unayo ( mi naiona kama umejaza u.pupu kichwani) haijaweza kukusaidia uelewa wala uchambuzi, wala uchunguzi.
In fact as far as I go, let sleeping dogs lie.
 
Tanzania tunavikosi vizuri vilivyopata mafunzo mazuri tu na wameshiriki kwenye operation nyingi tu Na wakashinda. Kwa mfano wale CRT wako vizuri tu wamepata mafunzo US ya kutambana na magaidi kuokoa mateka Na wameshiriki operations hapa nchini Na nje kwa mafanikio kuna wakati walikuwa Wafanya mazoezi mikumi kwa kutumia alcopta utapenda pia huwezi amini wapo Na wanawake wanashabaha ile mbaya wakikuleta kwenye jicho wanaliondoa. Hivyo kikosi kipo
Good news!!
 
Ndugu hata mimi kwenye field yangu naweza kuwa natoa mchango mkubwa sana kwa jamii tena ni directly kwa individuals kuliko hao so called "wameweka roho rehani"

Hata housegirls wanatoa michango kwenye familia ila hatuwakebehi wala kuwatolea maneno ya dhihaka. . . . .kama unatoa mchango wako well and good ulikuwa na haja ya kuelezea hayo uliyoyaanza kwa muktadha ule??!!!
 
Baki kwenye mada usilete za kuleta jamvini, hizo za Lowassa wazijua weye.
In fact as far as your posts go you have exposed your naivety to the point of stupidity.
Mbaya zaidi elimu ambayo unayo ( mi naiona kama umejaza u.pupu kichwani) haijaweza kukusaidia uelewa wala uchambuzi, wala uchunguzi.
In fact as far as I go, let sleeping dogs lie.

We unadhani ukinishambulia then idea yako ya kusifu makomandoo itapita. No!
Namtaja Lowasa kama mkiti wa kamati ya bunge ya ulinzi na usalama. Huna kumbukumbu?
Naona unahangaika kudhalilisha elimu au uelewa wangu, be careful, I am extra and super educated. Siko level yako hata siku moja.

hebu angalia hiyo bold, can you say in fact then say as far as I go? Ukisema as far as I ... Una maana unajiwekea mashaka wakati mwanzoni umeshasema in fact. Uandishi gani huo? Nakuonya, here you are struggling to mishandle an elephat.
 
Mkuu sikushambulii, hiyo ni reflection ya ulivo katika jamii.
You aint any better.
 
We unadhani ukinishambulia then idea yako ya kusifu makomandoo itapita. No!
Namtaja Lowasa kama mkiti wa kamati ya bunge ya ulinzi na usalama. Huna kumbukumbu?
Naona unahangaika kudhalilisha elimu au uelewa wangu, be careful, I am extra and super educated. Siko level yako hata siku moja.

hebu angalia hiyo bold, can you say in fact then say as far as I go? Ukisema as far as I ... Una maana unajiwekea mashaka wakati mwanzoni umeshasema in fact. Uandishi gani huo? Nakuonya, here you are struggling to mishandle an elephat.
Mkuu sema tu kitu kimoja!
Mcheza kwao hutuzwa, je wewe ulipelekwa lini utumwani?
Na inaelekea ulisha hasiwa!!!!!
Chunga sana waarabu wa isis.
 
Back
Top Bottom