Tuna ma-commando wazuri, lakini je tuna Rapid Response Force?

Yeap! Ndo ufahamu kwamba kwa ujinga tunazidiana.

Jeshi letu bado ni la misuri. Hatuna physists, hatuna chemists, hatuna engineers, sasa hapo unategemea nini enzi hizi za particle accelerator? Hizi siyo enzi za kujua kulenga shabaha, watu wanatumia thermal signature tracers na infrared sensors. Nilipokutajia Angola, nilidhani uta google ujue walichokifanya nchini DRC.

Ndo maana nikakusomesha kwamba tuachane na mtindo wanappreciations za kisiasa. Wao hata siku moja hawasemi udhaifu wa jeshi. Hata idadi kubwa ya askari wanapokuwa wezi, wao watasema jeshi linachafuliwa na wachache. Rubish!

Nawe bado unasema hayo kama kibwagizo, Makomandoo hoyee! Purely, nationalistic rhetoric!
You are a wimp, through and through mister!
Your presentation is enough to make your mother weep in resignation.

And, rhetoric or not, there are Tanzanians we will stand in harms way for the mother land.
As for you, well , tutawalinda tu kama tunavyowalinda wake zetu.
You just might be of use sometime.
 
Mkuu mifano yote uliyotoa ni irelevant when it comes to this topic, marekani yenyewe imeshindwa kulinda blacks wanaouwawa kila siku lakini haimaanishi kwamba ina jeshi dhaifu..

Karibu kwenye darasa langu. Blacks wanauwawa na nani?
Marekani haijashindwa kulinda blacks, lakini whites wanawafanyia makusudi. Ni makusudi kwa blacks na red indians. That is historical. It is documented. Je, Serikali hii pia inafanya makusudi?

Huoni umuhimu wa kuzoea kufikiri?
 
Waswahili kwa midomo?
Ka ushuzi vile!
PArticle accelerators umeziona wapi?

Jidu, mbona elimu yako taabu? Nimesema particle accelerator wewe unasema accelerators. Je unajua accelerator ziko ngapi dunia hii? Au ulidhani nimekosea.

Ila jitahidi kunifuatilia, baadaye kama wewe siyo mkwamo, utaeleimika. Naomba usitafute kuelimika kwa ubishi. Kubali yaishe kwamba mi siyo wa kiwango chako! Soma signature yangu hapo chini.
 
Mi nimemaliza darasa la saba nina miaka 22, na nina mke na mtoto mmoja.
Mang'ombe ndo kibao!!!
Sasa we unauliza darasa.

Lakini si mjinga hivo, hebu niambie Marekani wamepigana wapi na hiyo particle accelerator, na nimeuliza kama wewe mwenyewe umeiona au ni uhadithiwa na vijigazeti.

Bongo bwana itakapotokea mtafaruku, siye ndo tutaenda fronti, siyo nyie mnaokariri vitu wala hamvijui.
 
You are a wimp, through and through mister!
Your presentation is enough to make your mother weep in resignation.

And, rhetoric or not, there are Tanzanians we will stand in harms way for the mother land.
As for you, well , tutawalinda tu kama tunavyowalinda wake zetu.
You just might be of use sometime.
When it comes to defending the motherland, count me in!
 
Wewe wewe wewe, naomba usicheza na jeshi letu. Shida ninayoiona ni ya upatikanaji wa haraka wa huduma pale kwenye dharura na namna ya k uwasiliana pale huduma hiyo inapokuwa inahitajika.

Ninashauri kama huduma hii haipo, ianzishwe mara moja na number maalumu z akukifikia mamlaka za kikosi hiki ziwekwe na zitawanywe ili kila Mtu, anapoona kuna jambo zito la namna ile na linahitaji msaada wa haraka apige popote pale alipo.

Tuachekutegemea polisi ambao pamoja na kutoa number za 112 sijui 111, mara zote hazipo, na kama zipo ni sehemu sehemu tu, na mara nyingi hazipatikani, na zikipatikana mara nyingi tu hazipokelewagwi hadi zinakatika, na hata zikipokelewa, polisi wanakuja kuthibitisha tu kwamba wamefika eneo la tukion akutoa pole kwa wahanga.

Hili suala linahtaji kuagaliwa vizuri. Ahsante kwa mtoa mada kwa hoja nzuri.

Na wewe ahsante kwa ku probe ili watu tujadili kwa upana.

Tatizo la kubinafisisha mashirika ya mawasiliano hayo.watu waliokuwa wanaona mbali walipinga sana wakijua madhara ya usalama.hizo namba ni kama hazipo
 
You are a wimp, through and through mister!
Your presentation is enough to make your mother weep in resignation.

And, rhetoric or not, there are Tanzanians we will stand in harms way for the mother land.
As for you, well , tutawalinda tu kama tunavyowalinda wake zetu.
You just might be of use sometime.

I just awaited your final desperate attempt of this type! Let me quote one's signature;
Better live one day as a lion than 100 days as a sheep. You have decided to live forever as a sheep!
 
Mi nimemaliza darasa la saba nina miaka 22, na nina mke na mtoto mmoja.
Mang'ombe ndo kibao!!!
Sasa we unauliza darasa.

Lakini si mjinga hivo, hebu niambie Marekani wamepigana wapi na hiyo particle accelerator, na nimeuliza kama wewe mwenyewe umeiona au ni uhadithiwa na vijigazeti.

Bongo bwana itakapotokea mtafaruku, siye ndo tutaenda fronti, siyo nyie mnaokariri vitu wala hamvijui.

Usikate tamaa! Muhimu ni kupenda kujifunza na kuelewa kwamba kuna watu wanakuzidi na, unastahili kujifunza toka kwao.

Uzalendo sawa lakini usipingane na Ukweli. Munaambiwa eti nchi iko salama nanyi munakubali. Watoto wa kindergarten sawa kabisa kuwaambia hivo, lakini siyo member wa JF.
 
Kuna jeshi jipya la chademaa linaitwa "red brigades", ndiyo kazi yake hiyo.
 
I just awaited your final desperate attempt of this type! Let me quote one's signature;
Better live one day as a lion than 100 days as a sheep. You have decided to live forever as a sheep!

Your submissions do not depict a character of very high standing, radher as I said earlier, a wimp.
Wimps do not bother to cover their asses in any way, thats why there are those whom you take for granted, as darkness falls yout ass wont only be covered, just submit yourself, , wives and kids for safe keeping, hoping that at sunrise you see another day.
zThanks to our dedicated, young men and women.
 
Yeap! Ndo ufahamu kwamba kwa ujinga tunazidiana.

Jeshi letu bado ni la misuri. Hatuna physists, hatuna chemists, hatuna engineers, sasa hapo unategemea nini enzi hizi za particle accelerator? Hizi siyo enzi za kujua kulenga shabaha, watu wanatumia thermal signature tracers na infrared sensors. Nilipokutajia Angola, nilidhani uta google ujue walichokifanya nchini DRC.

Ndo maana nikakusomesha kwamba tuachane na mtindo wanappreciations za kisiasa. Wao hata siku moja hawasemi udhaifu wa jeshi. Hata idadi kubwa ya askari wanapokuwa wezi, wao watasema jeshi linachafuliwa na wachache. Rubish!

Nawe bado unasema hayo kama kibwagizo, Makomandoo hoyee! Purely, nationalistic rhetoric!
Unataka Tanzania iishi kama Marekani. Huu ni ulinganifu usio sahihi kabisa hiyo technology unayotaka iwepo kwenye jeshi letu uchumi wetu au ruhusu kabisa watu hawawezi kufa kwa kukosa madawa au watoto washindwe kusoma kisa unamiliki bunduki gani sijui kifalu gani ili iweje nchi yenyewe maskini hii.Hiyo ya kusema hatuna chemist, physist inaonekana we sio wewe hauishi Tanzania hebu jaribu tu kutafuta hata nafasi za kazi zilitongazwa na jeshi la polisi hivi karibuni afu uje uniambie ni kwa vipi jeshi lisiwe na Engineers kwa taarifa yako vita ya kagera Idd Amin ali haribu daraja kagera lilitengenezwa ndani ya siku moja na likapitika sasa waliolitengeneza sijui walikuwa kina nani wale hiyoilikuwa enzi hizoooo sijui leo.
Labda nikuweke bayana maisha yetu yameharibiwa na fiction na propaganda kuliko uhalisia kwa bahati mbaya ukitoa polisi idara nyengine za ulinzi na usalama hazijawekwa ki propaganda hatujui wanafanya nini zaidi ya kupishana nao mitaani hata watu wakiona hawa jamaa hawana lolote ni haki yao sababu hatusikii chochote ila nchi iko salama mipakani hatujapata tukio la kuuwawawatu hata 10 kwa mpigo ukitoa Ajali. Huto ona Mkurugenzi wa TISS akija kwenye vyombo vya habari kama wa CIA ila ujue nchi iko tuliiiii. Na nina uhakika wanaujua vizuri wajibu wao ukiachia vi migogoro vya wana siasa wa ndani nina uhakika matishio yeyote ya nje tuko salama hii nchii mimi na wewe hatuijui zaidi ya kukaa kukisia tu ila tambua watu wapo kazini na wanatimiza wajibu wao.
 
Karibu kwenye darasa langu. Blacks wanauwawa na nani?
Marekani haijashindwa kulinda blacks, lakini whites wanawafanyia makusudi. Ni makusudi kwa blacks na red indians. That is historical. It is documented. Je, Serikali hii pia inafanya makusudi?

Huoni umuhimu wa kuzoea kufikiri?

Tofautisha majukumu ya Jeshi na Polisi..ukianzia hapo.
 
Unataka Tanzania iishi kama Marekani. Huu ni ulinganifu usio sahihi kabisa hiyo technology unayotaka iwepo kwenye jeshi letu uchumi wetu au ruhusu kabisa watu hawawezi kufa kwa kukosa madawa au watoto washindwe kusoma kisa unamiliki bunduki gani sijui kifalu gani ili iweje nchi yenyewe maskini hii.Hiyo ya kusema hatuna chemist, physist inaonekana we sio wewe hauishi Tanzania hebu jaribu tu kutafuta hata nafasi za kazi zilitongazwa na jeshi la polisi hivi karibuni afu uje uniambie ni kwa vipi jeshi lisiwe na Engineers kwa taarifa yako vita ya kagera Idd Amin ali haribu daraja kagera lilitengenezwa ndani ya siku moja na likapitika sasa waliolitengeneza sijui walikuwa kina nani wale hiyoilikuwa enzi hizoooo sijui leo.
Labda nikuweke bayana maisha yetu yameharibiwa na fiction na propaganda kuliko uhalisia kwa bahati mbaya ukitoa polisi idara nyengine za ulinzi na usalama hazijawekwa ki propaganda hatujui wanafanya nini zaidi ya kupishana nao mitaani hata watu wakiona hawa jamaa hawana lolote ni haki yao sababu hatusikii chochote ila nchi iko salama mipakani hatujapata tukio la kuuwawawatu hata 10 kwa mpigo ukitoa Ajali. Huto ona Mkurugenzi wa TISS akija kwenye vyombo vya habari kama wa CIA ila ujue nchi iko tuliiiii. Na nina uhakika wanaujua vizuri wajibu wao ukiachia vi migogoro vya wana siasa wa ndani nina uhakika matishio yeyote ya nje tuko salama hii nchii mimi na wewe hatuijui zaidi ya kukaa kukisia tu ila tambua watu wapo kazini na wanatimiza wajibu wao.

Mkuu, hao jamaa wa west wenyewe they admit that we are well trained but only we lack equipments that can be compared to the western standards. Admission hiyo pekee ina maanisha kwamba if we are well equipped to their standards then we can even be better or of their standards. Being well equipped does not mean that you are the "BEST" being the best comes after successful missions that you have accomplished. Now by us being successful in most of our missions that is why we have been rated among the best despite of the little setbacks of not being well equipped.
 
Usikate tamaa! Muhimu ni kupenda kujifunza na kuelewa kwamba kuna watu wanakuzidi na, unastahili kujifunza toka kwao.

Uzalendo sawa lakini usipingane na Ukweli. Munaambiwa eti nchi iko salama nanyi munakubali. Watoto wa kindergarten sawa kabisa kuwaambia hivo, lakini siyo member wa JF.
We msomi fake, unayejua ku-cramm terminologies za magazetini, umeulizwa na Jidu, hiyo Particle Accelerator imemsaifiaje Mmarekani katika vita so far, and there you are blowing hot, foul air all over the place.
Elimu uliyonayo ni ya kuombea kazi tu, and its very clear hata wewe mwenyewe haijakusaidia sana.
Maana umesoma lakini hujaelimika.
 
Mkuu, hao jamaa wa west wenyewe they admit that we are well trained but only we lack equipments that can be compared to the western standards. Admission hiyo pekee ina maanisha kwamba if we are well equipped to their standards then we can even be better or of their standards. Being well equipped does not mean that you are the "BEST" being the best comes after successful missions that you have accomplished. Now by us being successful in most of our missions that is why we have been rated among the best despite of the little setbacks of not being well equipped.
After all mission kubwa ya jeshi la nchi yeyote ile iwe la magharibi au huku kwetu vichochoroni ni kulinda mipaka ya nchi na Raia wake jambo ambalo jeshi letu limekuwa likitimiza ndio maana hakuna nchi au kikundi chechote kilichotangaza kutawala hata kiji kata kwenye nchi yetu hiyo ndiyo mission kuu ya jeshi lolote lile sasa kama mtu anasemajeshi letu ni dhaifu yani sielewi sielewi. Kwa hiyo wale wa Denmark sijui wamarekani mi sikumbuki wazungu wanaokujaga huku kufanya mazoezi na wanajeshi wetu huwa wanakuja kujifunza nini? hivi we mtu unajua ni kilaza darasani unaweza kumuomba mfanye discussion na kichwani ukitegemea kuvuna kitu? kama si ukichaa ni nini?
Wazungu si wajinga wasafiri mile zooote hizo afu eti waje kufanya mazoezi kwa jeshi dhaifu wale sio wehu kama baadhi ya watanzania wenzetu walivyo na fikra za ki uwendawazimu

ila hatushangai nabii hakubaliki kwao.
 
HAHAHAHAHA....mkuu bila shaka wewe ni retired FFU police officer.una mtizamo wa kutuliza maandamo.HAHAHAHAHAHAH.gaidi aliye jiandaa kufa baada/kabla ya kuuwa umkabili na mabomu ya machozi?!!!!.c'mon.

ushawahi kupigwa na bomu la machozi Mkuu?
 
Unataka Tanzania iishi kama Marekani. Huu ni ulinganifu usio sahihi kabisa hiyo technology unayotaka iwepo kwenye jeshi letu uchumi wetu au ruhusu kabisa watu hawawezi kufa kwa kukosa madawa au watoto washindwe kusoma kisa unamiliki bunduki gani sijui kifalu gani ili iweje nchi yenyewe maskini hii.Hiyo ya kusema hatuna chemist, physist inaonekana we sio wewe hauishi Tanzania hebu jaribu tu kutafuta hata nafasi za kazi zilitongazwa na jeshi la polisi hivi karibuni afu uje uniambie ni kwa vipi jeshi lisiwe na Engineers kwa taarifa yako vita ya kagera Idd Amin ali haribu daraja kagera lilitengenezwa ndani ya siku moja na likapitika sasa waliolitengeneza sijui walikuwa kina nani wale hiyoilikuwa enzi hizoooo sijui leo.
Labda nikuweke bayana maisha yetu yameharibiwa na fiction na propaganda kuliko uhalisia kwa bahati mbaya ukitoa polisi idara nyengine za ulinzi na usalama hazijawekwa ki propaganda hatujui wanafanya nini zaidi ya kupishana nao mitaani hata watu wakiona hawa jamaa hawana lolote ni haki yao sababu hatusikii chochote ila nchi iko salama mipakani hatujapata tukio la kuuwawawatu hata 10 kwa mpigo ukitoa Ajali. Huto ona Mkurugenzi wa TISS akija kwenye vyombo vya habari kama wa CIA ila ujue nchi iko tuliiiii. Na nina uhakika wanaujua vizuri wajibu wao ukiachia vi migogoro vya wana siasa wa ndani nina uhakika matishio yeyote ya nje tuko salama hii nchii mimi na wewe hatuijui zaidi ya kukaa kukisia tu ila tambua watu wapo kazini na wanatimiza wajibu wao.
Asante mkuu kwa shule uliyotoa kwa huyu"msomi" wetu anayejua kukariri mambo ya vyombo vya habari bila kujua kuwa Tz ni full nondo.
Mi sikutaka kumwelewesha hata kidogo ili abaki na kaujinga kake asijue kuwa Tanzania tunajipiga vifua huku tunajielewa
 
Mi nimemaliza darasa la saba nina miaka 22, na nina mke na mtoto mmoja.
Mang'ombe ndo kibao!!!
Sasa we unauliza darasa.

Lakini si mjinga hivo, hebu niambie Marekani wamepigana wapi na hiyo particle accelerator, na nimeuliza kama wewe mwenyewe umeiona au ni uhadithiwa na vijigazeti.

Bongo bwana itakapotokea mtafaruku, siye ndo tutaenda fronti, siyo nyie mnaokariri vitu wala hamvijui.

Wazi afande.. Mstari wa mbele kupambana kwa ajili ya hawa wanaojiita "wasomi"...
 
Back
Top Bottom