Tuna ma-commando wazuri, lakini je tuna Rapid Response Force?

Ushabiki tu wa kipuuzi, huna lokote unalolijua zaidi ya kupayukapayukatu.
 
Last edited by a moderator:
Wewe kweli poyoyo

Usalama wa taifa kwani ni polisi?

Pia usalama wa taifa hawa wanaotoa kucha bila ganzi ndio elite?

hapo ndo wengi mnapokosea.., tusi ni ishara kuwa pointi zimeisha.......,

Information is POWER, kabla hakijatokea kitu USALAMA wanakuwa wameshajua nini kinaendelea na kinaendeleaje..., 'unatakiwa kushinda vita bila kupigana'...., Kwa akili kama zako za kuwaza kutafuta ushindi baada ya tukio ni outdated "WAR Techniques" na tutaendelea kuumia na matokeo
 

My friend u better keep quiet coz u know nothing...huijui intelligence yetu...Ni Mungu tu ndiye anayetulinda
 

Khaa!! Hii suicide mission mkuu:shocked:
 
Itabidi tutambuane mkuu, nakufuata pm
duh!!,naona wazee mmeanza kutambuana kwa code zenu za kimazungumzo.isee kuna haja kweli tutambuane hapa JF,japo hata kwa ishara.:eyebrows:
 
Naona mnarahisisha mambo et, ugaid mnauongelea kama kitchen du!
 
duh!!,naona wazee mmeanza kutambuana kwa code zenu za kimazungumzo.isee kuna haja kweli tutambuane hapa JF,japo hata kwa ishara.:eyebrows:

Haina shaka baba.. Tambua msaada ulipo kisha mtambue adui kabla hajakutambua..
 

Rapid response force ipo tena kwa hili nakuhakikishia 100% mfano mzuri ni pale hata maandamano yakiwa makubwa tu basi utakuwa vijana wa jwt... Wanazunguka kwenye magari wakiwa full.
 

Hapa kilichoongelewa sio kuhusiana na RRF bali ni moja ya vikosi bora. Na hii siyo kikosi cha kudumu kwa Tanzania bali ni kwa ajili ya Mission maalum. Kwa maana hiyo mission muda wake ukimalizika na hicho kikosi kinavunjwa.
 
Huwa sipendi ishu kama hizi kujadiliwa kiushabiki humu.

Jwtz sjui my foot.
Jwtz makomandoo.
Jwtz sjui wazalendo.
Uslama wako juu.

Kuna siku tutakuja kuinamisha vichwa kwa aibu humu,imagine polisi wananyang'anywa silaha mtu unathubutu kubandika magazeti humu kuwa tuko juu,hah!!!!

Hii tabia ya kutafuta misifa ya kipuuzi kila sehem itatucost one day,kenya kwa mara ya pili wanavamiwa katika mazingira ambayo hamna ujanja.tuna kipi kipya kuwazidi kenya zaidi ya misifa kama hii!!!?.

Hay guys wake up huu ni utoto tunafanya,kama ni waungwana tunatakiwa kuchuchumaa baada ya polisi wetu tunaowategemea kupoteza siraha.

Jeshi imara halipimwi wakati kama huu ambao kila jambo nchini limefail na tunafarijiana kwa amani ya kuchonga kama hii.jeshi imara halipimwi kwa namna linavyoblock maandamano ya wananchi wake.NO bali kwa battle na na walioshindika kama walienda kenya,bongo hawajaja so tukaushe maana yaweza kuwa aibu kuliko iliyotokea kenya.

Ni upuuzi kumsifia baba ako kuwa anakimbia huku hayupo anayemkimbiza.
 
Intelligence ndio mhimili ama uti wa mgongo katika mfumo wowote wa ulinzi na usalama. Kama nchi ina silaha nzito askari wa kutosha wenye morali nzuri lakini ikakosa mfumo mzuri wa ukusanyaji taarifa za uhakika na za kutosha, hilo taifa bado si salama.
 
Naamini bado hujui tunachoongelea hapa!
Hatuongelei juu ya "Afwandi Arufonsi" hapa, tunaongelea juu ya special elite rapid response force.
 


Hongera mkuu kwa mada nzuri inayo gusa taifa kwa ujumla.kwa ninachokijua mimi kipindi cha miaka ya 2010 JESHI LA POLISI KATIKA CHUO CHA POLISI MOSHI(CCP).WALIANZISHA KITENGO KINACHOITWA (CRT-MAANA YAKE NI CRISIS RENSPONSE TEAM.) NA MMOJA KATI YA WADOGO ZANGU ALIPEWA HAYO MAFUNZO MWAKA HUO.SASA SIJUI KAMA KWELI BADO KIPO ACTIVE NA KINAFANYA KAZI.

ILA NAFIKIRI IFIKIE HATUA TUKIPE MENO KWA MASLAI YA TAIFA KWA UJUMLA KAMA BADO KIPO HAI.
 
Naamini bado hujui tunachoongelea hapa!
Hatuongelei juu ya "Afwandi Arufonsi" hapa, tunaongelea juu ya special elite rapid response force.

Kama umefuatilia mtiririko wa michango ya wengi hapa utanielewa.
Tumeanza kuwasifu makomandoo kisiasa siasa tu,

Hata ikiwepo bado hamna mwenye ripoti kamili ya ubora wake sababu haijawahi tumika,tukaweza kuilinganisha na zingine kama KDF and so.

Binafsi sioni kama serikali haijaliona hili,kitaambo kitakuwepo ila hatujafikia hatua ya kujigamba.
 

Mkuu pengine kama wewe ni mgeni Tanzania ningekuelewa.
Katika majeshi humu Afrika waliopata mazoezi ya kutosha pamoja na makomandoo ni Tanzania.
Siasa tuweke mbali.
'Practicals' za TPDF ilikuwa sehemu nyingi sana kusini mwa Afrika na tuna shukuru mazoezi hayo yametufunza vizuri katika matukio mengine kama Komoro na Goma na hata Sychelles.
Hata hivyo vita ya ugaidi ni tofauti na inawahangaisha hata wakubwa.
Hili ndo lilikuwa swali langu lakini kwa michango tuliyopata humu, tuko ngangari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…