fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Wasiwasi wako nini mkuu!? 94KJ iko imara,
Umemwelewa alichosema mkuu? Embu rudia kusoma tena, tunajua 94KJ Sangasanga ipo na inafanya vizuri kama alivyosema mtoa mada.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasiwasi wako nini mkuu!? 94KJ iko imara,
Umemwelewa alichosema mkuu? Embu rudia kusoma tena, tunajua 94KJ Sangasanga ipo na inafanya vizuri kama alivyosema mtoa mada.
Ushabiki tu wa kipuuzi, huna lokote unalolijua zaidi ya kupayukapayukatu.kadoda11 Tatizo la Wabongo wengi ni kutegemea hadithi za vijiweni kila siku. Unakuta mtu anaelezea kuhusu Kenya wakati hata hajui ipo upande upi wa mpaka, hajui ni ipo magharibi wala kusini. Unaona kama huyo hapo juu anaongea kuhusu RECCE commandoes wa Kenya eti walishindwa na kibaka mmoja, wakati inafahamika iliwachukua chini ya dakika tano kumuangamiza jamaa aliyekua amejihami. Zaidi inafahamika huko Garissa iliwachukua chini ya dakika 17 kukamilisha shughuli. Hao jamaa sio wa kawaida, mafunzo wanayo na ya kisasa, hawajawahi shindwa kwenye operation yoyote.
Hata kule Westgate, walikua tayari kukamilisha ngoma ndani ya dakika 30 lakini jeshi la KDF likaja na kuwaharibia. Huko kwenu Tanzania si kwamba Alshabaab wanaogopa chochote, ni vile tu hamjawapa sababu za kuja. Magaidi wanaowazingua nyie ni wazawa wavuta bangi lakini hamjakumbana na mujahidin bin shababi allh akbar wa kweli. Wale huingia wakiwa na nia ya kufa na kuua, hawatishwi na yeyote, hao mnaita makomando wa JWTZ hawakumbana na mtihani wa aina hii.
Kawaida makomando dunia yote hufanya kazi vizuri kwenye mazingira ya mateka, yaani vita dhidi ya magaidi wenye nia ya kupona na wanashika mateka, lakini mashababi hawana haja, wao huingia na kuanza kulipua chochote chenye hakimjui mohammed. Huko Tanzania hamjawapa sababu za kuja, hebu jaribuni mpeleke pua Somalia na kuwazingua jinsi tulifanya ndio mtaelewa ninachosema.
Wewe kweli poyoyo
Usalama wa taifa kwani ni polisi?
Pia usalama wa taifa hawa wanaotoa kucha bila ganzi ndio elite?
hapo ndo wengi mnapokosea.., tusi ni ishara kuwa pointi zimeisha.......,
Information is POWER, kabla hakijatokea kitu USALAMA wanakuwa wameshajua nini kinaendelea na kinaendeleaje..., 'unatakiwa kushinda vita bila kupigana'...., Kwa akili kama zako za kuwaza kutafuta ushindi baada ya tukio ni outdated "WAR Techniques" na tutaendelea kuumia na matokeo
Kwani unazani likitokea tukio la ugaidi 94KJ hatuingii kazini!? Sisi ni RRF tosha
Njia ya haraka sana, ya kuwa attack MAGAIDI LIKE AL- SHABAB AMBAO HUPENDA KUVAMILA MAJENGO AU VYUO AU MALLS kubwa, ni kuwawahi kwa mabomu ya machozi, iwe haraka sana, isizidi dak 30 au 1 hr, anti- terror squad forces wawe pale....ni kuwavurumisha na mabomu ya machozi watakosa kupumua na kuona vizuri, hapo hapo anti-terror commandos wanaingia na miwani maalum na kuwaanza kuwapiga kama kuku...!!!
Hii ndio njia pekee ya kwanza na haraka ya kuokoa mateka...kumbuka inatakiwa kuokoa mateka na kuwaua magaidi..., ila mabomu ya machozi yapigwe mengi kwa
haraka haraka ndani ya jengo au ktk madirisha au entries la jengo...kisha makomandoo wanamove ndani haraka in style....
duh!!,naona wazee mmeanza kutambuana kwa code zenu za kimazungumzo.isee kuna haja kweli tutambuane hapa JF,japo hata kwa ishara.:eyebrows:Itabidi tutambuane mkuu, nakufuata pm
Kuna jamaa hapa aliingia na mazarau ya kujua kiingereza , kapigwa nondo za uhakika , kumbe kasomea digirii ya lugha ya kiingereza.Naona mnarahisisha mambo et, ugaid mnauongelea kama kitchen du!
duh!!,naona wazee mmeanza kutambuana kwa code zenu za kimazungumzo.isee kuna haja kweli tutambuane hapa JF,japo hata kwa ishara.:eyebrows:
![]()
Ni ukweli usiopingika kuwa Jeshi letu la JWTZ lina ma-commando wazuri, na matokeo ya kujinoa kwao yameonekana hivi majuzi Comoro na hata DRC-Congo.
Lakini matukio ya hivi majuzi huko Garissa yamefanya nijiulize vizuri pointed questions.
Kenya kweli wana vifaa vizuri tu kama sisi.
Lakini response kwa shambulio la majahili ya AlShabab imewachukua muda mrefu sana kufika eneo la tukio na hata kuwa na tactical initiative ya situation yenyewe, yaaani kuiweka sehemu ya mapambano chini ya control hata kama majahili hawajauliwa/kutekwa.
Najua commando anafanya kazi yake vizuri eneo la vita, na yeye kazi yake kubwa ni kuteka/kuconfuse adui ili hatimae regular forces walidhibiti eneo.
Lanini hapa tuna eneo la mapambano NDANI ya eneo ambalo ni huru, yaani walengwa wa kutekwa au kuuliwa na maadui ndio hao tunaotakiwa kuwaokoa, ikiwa ni pamoja na kuua/kudhibiti majahili kama Al Shabab.
Na hilo ndo lengo la swali langu.
Marekani wana SWAT, India wana Anti -Terrorist Squad, New Zealand wana STG-Special Tactics Group, Pakistan wana RATS-Rangers AntiTerror Squad.
Hili si swala la Kova , ni kubwa zaidi.
Itabidi tutambuane mkuu, nakufuata pm
PRESIDENTS OFFICE,
------STATE HOUSE,
--------------1 BARACK OBAMA ROAD,--
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
-
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Majeshi Maalum-(Special Forces)-ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania yanayolinda amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ni miongoni mwa vikosi bora 35 vya majeshi ya nchi mbali duniani vinavyokubali kuwa na ufanisi wa hali ya juu, uwezo mkubwa wa kupigana na vilivyofundishwa vizuri.
Kwa--mujibu wa Mtandao wa Imgur Via Distractify, Tanzania na jeshi lake ni nchi pekee ya Afrika kuweza kuwa na majeshi yake miongoni mwa majeshi bora duniani.
Chini ya kichwa cha habari-35 Most Badass Elite Fighting Units from Around the World-mwandishi, Micky Wren anaandika kuwa hayo ndiyo majeshi bora duniani, yamefundishwa kwa kiwango cha juu kabisa, yana silaha za kisasa kabisa, yameandaliwa vizuri kwa ajili ya operesheni ngumu za kijeshi na yenye uwezo kukabiliana na adui katika mazingira yoyote kuanzia kumaliza uhuni wa utekaji hadi kuwasambaratisha magaidi wenye uwezo mkubwa.
Mwandishi anasema kuwa orodha hiyo haikupangwa kwa mtitiriko wa uwezo wa kijeshi--wa kila kikundi.-
Vikosi vilivyoko kwenye orodha hiyo ni kile cha Seal cha Jeshi la Maji la Marekani, SAS cha Jeshi la Uingereza, Huntsmen Corps cha Majeshi Maalum ya Denmark, Majeshi Maalum ya Ufaransa, Kikosi cha MARSOC, Majeshi Maalum ya Taiwan ambayo yanatumia kinga za usoni zisizoweza kuingiliwa na risasi na Kikosi cha Irish Army Rangers cha Jamhuri ya Ireland.
Vingine ni Gendarmerie cha Serbia, Kikosi Maalum cha Kukabiliana na Ugaidi cha JTF2 cha Canada, Majeshi Maalum ya Uholanzi, Kikosi cha SBS, Majeshi Maalum ya Jamhuri ya Korea, Majeshi Maalum ya Ufaransa, Majeshi Maalum ya Ubelgiji, Kikosi cha MJK cha Norway, Canadian Joint Response Unit cha Canada, Majeshi Maalum ya Norway, Kikosi cha French Commando Marine, Majeshi Maalum ya New Zealand, Kikosi cha Norwegian Armed Forces Special Command na Kikosi cha Polish Grom cha Poland.
Vingine ni Kikosi cha US Army Special Forces Sniper with Remington Modular Sniper Rifle, Majeshi Maalum ya Marekani, Majeshi Maalum ya Indonesia, Majeshi Maalum ya Romania, Kikosi cha SASR cha Australia, Kikosi cha KSK cha Ujerumani, Majeshi Maalum ya Ujerumani, Majeshi Maalum ya Israel Shayetet 13, Majeshi Maalum ya Urusi Spetsnaz, Majeshi Maalum ya Austria Jagdkommando, Majeshi Maalum ya Iraq, Majeshi Maalum ya Ujerumani ya SEK-M na Majeshi Maalum ya Peru.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
IKULU
DAR ES SALAAM
3 Julai, 2014
Habari Maelezo-at-Wednesday, July 02, 2014
Naamini bado hujui tunachoongelea hapa!Huwa sipendi ishu kama hizi kujadiliwa kiushabiki humu.
Jwtz sjui my foot.
Jwtz makomandoo.
Jwtz sjui wazalendo.
Uslama wako juu.
Kuna siku tutakuja kuinamisha vichwa kwa aibu humu,imagine polisi wananyang'anywa silaha mtu unathubutu kubandika magazeti humu kuwa tuko juu,hah!!!!
Hii tabia ya kutafuta misifa ya kipuuzi kila sehem itatucost one day,kenya kwa mara ya pili wanavamiwa katika mazingira ambayo hamna ujanja.tuna kipi kipya kuwazidi kenya zaidi ya misifa kama hii!!!?.
Hay guys wake up huu ni utoto tunafanya,kama ni waungwana tunatakiwa kuchuchumaa baada ya polisi wetu tunaowategemea kupoteza siraha.
Jeshi imara halipimwi wakati kama huu ambao kila jambo nchini limefail na tunafarijiana kwa amani ya kuchonga kama hii.jeshi imara halipimwi kwa namna linavyoblock maandamano ya wananchi wake.NO bali kwa battle na na walioshindika kama walienda kenya,bongo hawajaja so tukaushe maana yaweza kuwa aibu kuliko iliyotokea kenya.
Ni upuuzi kumsifia baba ako kuwa anakimbia huku hayupo anayemkimbiza.
![]()
Ni ukweli usiopingika kuwa Jeshi letu la JWTZ lina ma-commando wazuri, na matokeo ya kujinoa kwao yameonekana hivi majuzi Comoro na hata DRC-Congo.
Lakini matukio ya hivi majuzi huko Garissa yamefanya nijiulize vizuri pointed questions.
Kenya kweli wana vifaa vizuri tu kama sisi.
Lakini response kwa shambulio la majahili ya AlShabab imewachukua muda mrefu sana kufika eneo la tukio na hata kuwa na tactical initiative ya situation yenyewe, yaaani kuiweka sehemu ya mapambano chini ya control hata kama majahili hawajauliwa/kutekwa.
Najua commando anafanya kazi yake vizuri eneo la vita, na yeye kazi yake kubwa ni kuteka/kuconfuse adui ili hatimae regular forces walidhibiti eneo.
Lanini hapa tuna eneo la mapambano NDANI ya eneo ambalo ni huru, yaani walengwa wa kutekwa au kuuliwa na maadui ndio hao tunaotakiwa kuwaokoa, ikiwa ni pamoja na kuua/kudhibiti majahili kama Al Shabab.
Na hilo ndo lengo la swali langu.
Marekani wana SWAT, India wana Anti -Terrorist Squad, New Zealand wana STG-Special Tactics Group, Pakistan wana RATS-Rangers AntiTerror Squad.
Hili si swala la Kova , ni kubwa zaidi.
Naamini bado hujui tunachoongelea hapa!
Hatuongelei juu ya "Afwandi Arufonsi" hapa, tunaongelea juu ya special elite rapid response force.
Kama umefuatilia mtiririko wa michango ya wengi hapa utanielewa.
Tumeanza kuwasifu makomandoo kisiasa siasa tu,
Hata ikiwepo bado hamna mwenye ripoti kamili ya ubora wake sababu haijawahi tumika,tukaweza kuilinganisha na zingine kama KDF and so.
Binafsi sioni kama serikali haijaliona hili,kitaambo kitakuwepo ila hatujafikia hatua ya kujigamba.