GE2025 Tuna mamilioni ya sababu za kwanini OCTOBER TUNATIKI kwa Rais Samia Suluhu Hassan Na kwa CCM na si kwingine

GE2025 Tuna mamilioni ya sababu za kwanini OCTOBER TUNATIKI kwa Rais Samia Suluhu Hassan Na kwa CCM na si kwingine

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
KAZI alizozifanya Mh. Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan Rais wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kwa kipindi cha miaka 4 ni kubwa Sana, zinaonekana kwa kila Mtanzania.

Hakuna sababu ya kutompigia kura Dr. Samia, nitaongea machache
-mbolea ilikuwa 180k sahiz ni chin ya 40k
  • nyongeza za mishahara kila mwaka
  • madaraja kwa Watumishi kila mwaka
  • CT scan ipo Hadi katavi
  • vituo vya mama na mtoto kila mkoa na wilaya
  • scholarship inje inje
  • shule mpya kila mkoa kila WILAYA
  • boom elfu 10
  • matreka ya yamejaa kila Kona ya nchi
  • diplomasia imekua
  • ajira zakutosha
  • mikopo ✅
  • masoko ya mazao ya kilimo✅
-dira ya 2050✅
- mtaala mpya wa Elimu
-vyuo vya veta kila kata
  • amekuza sector binafsi
  • mazingira mazuri ya biashara nchini
  • miradi yote ya kimkakati imekamilika
  • Elimu Bure kutoka awali mpaka kidato Cha sita
  • madaraka yamekamilika nchi nzima

In short hakuna sababu za kutompigia kura Mh. Rais Samia Suluhu Hassan, mpaka 2030 Tanzania itakuwa mbali Sana kiuchumi, Tunakushukru sana Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan.

#KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
# OCTOBER TUNATIKI ✅

View attachment 3444224View attachment 3444225View attachment 3444226View attachment 3444229
Kwani lini ulifanyika uchaguzi TZ, huu si uchaguzi ni uchafuzi ,
 
Punguza roho ya kishetani
Ushetwani mnafanya nyie huko ccm...tena kupitiliza!
Mimi hapa nimekuja kuwaambieni kitakachojiri ndani ya kila nyumba ya mwana ccm, kwenye jumuiya zake, ofisi, mabaraza na mikutano yake!
Matendo yenu ni mekundu kuliko kawaida!
Jiandaeni kikamilifu... Msije sema hamkuambiwa!
 
Utaloga au
 
Back
Top Bottom