GE2025 Tuna mamilioni ya sababu za kwanini OCTOBER TUNATIKI kwa Rais Samia Suluhu Hassan Na kwa CCM na si kwingine

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
KAZI alizozifanya Mh. Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan Rais wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kwa kipindi cha miaka 4 ni kubwa Sana, zinaonekana kwa kila Mtanzania.

Hakuna sababu ya kutompigia kura Dr. Samia, nitaongea machache
-mbolea ilikuwa 180k sahiz ni chin ya 40k
  • nyongeza za mishahara kila mwaka
  • madaraja kwa Watumishi kila mwaka
  • CT scan ipo Hadi katavi
  • vituo vya mama na mtoto kila mkoa na wilaya
  • scholarship inje inje
  • shule mpya kila mkoa kila WILAYA
  • boom elfu 10
  • matreka ya yamejaa kila Kona ya nchi
  • diplomasia imekua
  • ajira zakutosha
  • mikopo ✅
  • masoko ya mazao ya kilimo✅
-dira ya 2050✅
- mtaala mpya wa Elimu
-vyuo vya veta kila kata
  • amekuza sector binafsi
  • mazingira mazuri ya biashara nchini
  • miradi yote ya kimkakati imekamilika
  • Elimu Bure kutoka awali mpaka kidato Cha sita
  • madaraka yamekamilika nchi nzima

In short hakuna sababu za kutompigia kura Mh. Rais Samia Suluhu Hassan, mpaka 2030 Tanzania itakuwa mbali Sana kiuchumi, Tunakushukru sana Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan.

#KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
# OCTOBER TUNATIKI ✅

View attachment 3444224View attachment 3444225View attachment 3444226View attachment 3444229
Watekaji wamesahau kuteka
 
Jamaa unalazimisha mambo kama unataga boga.Usipande juu ya paa.Waache watu waone wenyewe.
Mkuu huyu chawa ingizo jipya na posho ya Mchengerwa imeingia leo weekend hapo anapiga post ili arushe kwenye group lao.

Halafu kichekesho sasa ni mwalimu ila kuandika hajui ninawasikitikia wanafunzi anaowafundisha na huo mtaala mpya anaousema na kweli sasa ninaamini ualimu umepoteza heshima maana limekuwa kapu la kubeba vilaza.
 
KAZI alizozifanya Mh. Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan Rais wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kwa kipindi cha miaka 4 ni kubwa Sana, zinaonekana kwa kila Mtanzania.

Hakuna sababu ya kutompigia kura Dr. Samia, nitaongea machache
-mbolea ilikuwa 180k sahiz ni chin ya 40k
  • nyongeza za mishahara kila mwaka
  • madaraja kwa Watumishi kila mwaka
  • CT scan ipo Hadi katavi
  • vituo vya mama na mtoto kila mkoa na wilaya
  • scholarship inje inje
  • shule mpya kila mkoa kila WILAYA
  • boom elfu 10
  • matreka ya yamejaa kila Kona ya nchi
  • diplomasia imekua
  • ajira zakutosha
  • mikopo ✅
  • masoko ya mazao ya kilimo✅
-dira ya 2050✅
- mtaala mpya wa Elimu
-vyuo vya veta kila kata
  • amekuza sector binafsi
  • mazingira mazuri ya biashara nchini
  • miradi yote ya kimkakati imekamilika
  • Elimu Bure kutoka awali mpaka kidato Cha sita
  • madaraka yamekamilika nchi nzima

In short hakuna sababu za kutompigia kura Mh. Rais Samia Suluhu Hassan, mpaka 2030 Tanzania itakuwa mbali Sana kiuchumi, Tunakushukru sana Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan.

#KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
# OCTOBER TUNATIKI ✅

View attachment 3444224View attachment 3444225View attachment 3444226View attachment 3444229
Mimi nasubiri tu muda NITIKI✓
 
Katiki matako yako, watanzania hawadanganyiki
 
Wakati watu tumeuza ufuta na mbaazi kwa bei ya kipuuzi halafu unamkuta kenge Mmoja anabwabwaja kama mende imekunywa sumu
Wengine ilitakiwa muwe mmefuata job ili angalau wabaki wachache wenye uelewa
 
KAZI alizozifanya Mh. Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan Rais wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kwa kipindi cha miaka 4 ni kubwa Sana, zinaonekana kwa kila Mtanzania.

Hakuna sababu ya kutompigia kura Dr. Samia, nitaongea machache
-mbolea ilikuwa 180k sahiz ni chin ya 40k
  • nyongeza za mishahara kila mwaka
  • madaraja kwa Watumishi kila mwaka
  • CT scan ipo Hadi katavi
  • vituo vya mama na mtoto kila mkoa na wilaya
  • scholarship inje inje
  • shule mpya kila mkoa kila WILAYA
  • boom elfu 10
  • matreka ya yamejaa kila Kona ya nchi
  • diplomasia imekua
  • ajira zakutosha
  • mikopo ✅
  • masoko ya mazao ya kilimo✅
-dira ya 2050✅
- mtaala mpya wa Elimu
-vyuo vya veta kila kata
  • amekuza sector binafsi
  • mazingira mazuri ya biashara nchini
  • miradi yote ya kimkakati imekamilika
  • Elimu Bure kutoka awali mpaka kidato Cha sita
  • madaraka yamekamilika nchi nzima

In short hakuna sababu za kutompigia kura Mh. Rais Samia Suluhu Hassan, mpaka 2030 Tanzania itakuwa mbali Sana kiuchumi, Tunakushukru sana Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan.

#KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
# OCTOBER TUNATIKI ✅

View attachment 3444224View attachment 3444225View attachment 3444226View attachment 3444229

Kwingine wapi? Kwa Salum mwalimu?
 
Hujamaliza hapo mkuu weka na deni la taifa la mama ni trilioni 107. Mitano tena kwa mama
 
Sawa,Kama amefanya yote hayo,kwa nn alijiteua kuwa mgombea badala ya kupita kwenye mchakato halali. Mbona anaogopa tume huru ya uchaguzi...Eti SSH Ni mgombea au mteule wa uraisi kupitia Jk. Kura yako haina maintiki yoyote badala ya kupoteza muda kupanga poleni bora ukacheze mdako na mkeo
 
Siyo Kama....ni amefanya
 
KAZI alizozifanya Mh. Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan Rais wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kwa kipindi cha miaka 4 ni kubwa Sana, zinaonekana kwa kila Mtanzania.

Hakuna sababu ya kutompigia kura Dr. Samia, nitaongea machache
-mbolea ilikuwa 180k sahiz ni chin ya 40k
  • nyongeza za mishahara kila mwaka
  • madaraja kwa Watumishi kila mwaka
  • CT scan ipo Hadi katavi
  • vituo vya mama na mtoto kila mkoa na wilaya
  • scholarship inje inje
  • shule mpya kila mkoa kila WILAYA
  • boom elfu 10
  • matreka ya yamejaa kila Kona ya nchi
  • diplomasia imekua
  • ajira zakutosha
  • mikopo [emoji736]
  • masoko ya mazao ya kilimo[emoji736]
-dira ya 2050[emoji736]
- mtaala mpya wa Elimu
-vyuo vya veta kila kata
  • amekuza sector binafsi
  • mazingira mazuri ya biashara nchini
  • miradi yote ya kimkakati imekamilika
  • Elimu Bure kutoka awali mpaka kidato Cha sita
  • madaraka yamekamilika nchi nzima

In short hakuna sababu za kutompigia kura Mh. Rais Samia Suluhu Hassan, mpaka 2030 Tanzania itakuwa mbali Sana kiuchumi, Tunakushukru sana Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan.

#KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
# OCTOBER TUNATIKI [emoji736]

View attachment 3444224View attachment 3444225View attachment 3444226View attachment 3444229
October nenda katiki wewe na familia yako.

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom