GE2025 Tuna mamilioni ya sababu za kwanini OCTOBER TUNATIKI kwa Rais Samia Suluhu Hassan Na kwa CCM na si kwingine

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wajinga ndiyo waliwao. Kekundu kekunduπŸŸ₯
 
CCM kila MTU ni tapeli...tatizo huyo mama yenu anapenda uraisi wa dezodezo kama alivyorithi kutoka Kwa magufuli ndiyo maana uchaguzi wa mwaka huu anataka iwe burebure Kupitia Kwa Salum mwalimu
Matapeli ni nyny mnaopelekeshwa na press za Gwajima
 
Hebu Muulize Samia, kama ni kweli kafanya yote hayo uliyoandika, ni kwa nini anamuogopa Lisu, kwa nini anaogopa kufanya uchaguzi kwenye fair ground?
 
Kenge mfa maji
 


Hakuna kwingine because wote ni kivuli chenu

So ni uchaguzi wenu wenyewe

Mfuko wa mbele unagombea kura na mfuko wa shati
 
Nimehesabu bullets zinazoonesha mamiilion ya sababu. Bullets zipo 20.
Sasa nimejifunza kuwa kwenye mambo ya uchawa wa kisiasa, Twenty equals to More than a million
 
Nimehesabu bullets zinazoonesha mamiilion ya sababu. Bullets zipo 20.
Sasa nimejifunza kuwa kwenye mambo ya uchawa wa kisiasa, Twenty equals to More than a million
Hapo nimeandika fursa chache mkuu zipo zaidi na zaidi
 
Nioneshe matokeo yake ya form 4 ili apate kura yangu!
Usinipe maelezo mengi, matokeo ya sa100 form 4 tuuu...Lissu sote tunajua alisoma special school Illboru sec so obviouslly alifaulu sana!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…