Tuna mchukia Magufuli lakini tusifikie hatua ya kuwa na upofu. Kwa hili ni mfano bora

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Kuna watu huwa wanachuki. Mtu atakuchukia hata ukitembea juu ya maji atalalamika unamtimulia vumbi. Hiyo ndo chuki ya watanzania.

Jesca Magufuli alianza kusoma UDOM, almaarufu kama CHUO CHA KATA, baba yake akiwa Waziri aliyehudumu kwenye Wizara kibao.

Akaendelea kusoma UDOM, CHUO CHA KATA, wakati baba yake akiwa Rais wa nchi.

Come on bhana, hata kama tuna na Magufuli kiasi gani, hatuwezi kupuuzia hili.

Nimeona wadau wanasema “anapretend,” sijaelewa hapa anapretend nini. Anapretend kwamba yeye na kaka yake walisoma UDOM au nini haswa?

Walianza kupretend tangu baba akiwa Waziri kisha wakaendelea kupretend baada ya baba kuwa Rais au hii pretense ilianza lini?🤔

Nimeona wadau wanasema “aliwekewa ulinzi akiwa UDOM na dereva wa kumpeleka chuoni kila mara.”

Tuwe realistic kidogo bhana, tunamzungumzia mtoto wa Rais wa nchi hapa; hata common sense tu haijustify ulinzi wake?🤔🤔

Yes, tunamchukia Magufuli kwa ubaya alioufanya kwa wapinzani na watu waliomkosoa, lakini sidhani kama hili ni sehemu ya ubaya huo.

Tusisahau kuwa wakati Jesca Magufuli anasoma “Chuo Cha Kata,” UDOM, Ridhiwani Kikwete alikuwa Hull Uingereza, Fatma Karume alikuwa Sussex Uingereza, Hussein Mwinyi alikuwa Uturuki, and list goes on and on.

CnP
 
Hao wanaohangaika kumsema ukifuatilia wengi wao ni masikini...masikini asili yao huwa ni wivu na chuki kwa wenye nacho.
 
Watu wana chuki mpaka kila ukatili linalofanyika huku yeye akiwa mfu bado anaambiwa ni yeye 😂

Ety yeye alianzisha ukatili hvy aliokuwa nao wanaendeleza, sasa kama wanaendeleza hapo kosa la JPM ni lipi? Ni sawa na shuleni uwe kilaza bc na umemaliza shule na kwenye maisha bado ni kilaza afu alaumiwe mwalimu wako 😂 au ni rais mpya wa sasa kwann asiwazuie hao watu
 
Kuna watu huwa wanachuki. Mtu atakuchukia hata ukitembea juu ya maji atalalamika unamtimulia vumbi. Hiyo ndo chuki ya watanzania.

Jesca Magufuli alianza kusoma UDOM, almaarufu kama CHUO CHA KATA, baba yake akiwa Waziri aliyehudumu kwenye Wizara kibao.

Akaendelea kusoma UDOM, CHUO CHA KATA, wakati baba yake akiwa Rais wa nchi.

Come on bhana, hata kama tuna na Magufuli kiasi gani, hatuwezi kupuuzia hili.

Nimeona wadau wanasema “anapretend,” sijaelewa hapa anapretend nini. Anapretend kwamba yeye na kaka yake walisoma UDOM au nini haswa?

Walianza kupretend tangu baba akiwa Waziri kisha wakaendelea kupretend baada ya baba kuwa Rais au hii pretense ilianza lini?🤔

Nimeona wadau wanasema “aliwekewa ulinzi akiwa UDOM na dereva wa kumpeleka chuoni kila mara.”

Tuwe realistic kidogo bhana, tunamzungumzia mtoto wa Rais wa nchi hapa; hata common sense tu haijustify ulinzi wake?🤔🤔

Yes, tunamchukia Magufuli kwa ubaya alioufanya kwa wapinzani na watu waliomkosoa, lakini sidhani kama hili ni sehemu ya ubaya huo.

Tusisahau kuwa wakati Jesca Magufuli anasoma “Chuo Cha Kata,” UDOM, Ridhiwani Kikwete alikuwa Hull Uingereza, Fatma Karume alikuwa Sussex Uingereza, Hussein Mwinyi alikuwa Uturuki, and list goes on and on.

CnP
We chawa pro max umeanza vizuri umeharibu vibaya.
Rizwan kasoma nchini kuanzia primary mpaka university,uingereza aluenda kwa ajili ya masters tu,familia yote ya kikwete wamesomea nchini
Sio lazima ukimtaja JPM umtaje na JK
 
Unajua kuna mtoto wa Jpm alisoma feza, pia huyo JPM mwenyewe mbona amesoma na kuishi Canada na ujerumani pia? Au kusoma nje ni anasa.
 
Ety yeye alianzisha ukatili hvy aliokuwa nao wanaendeleza, sasa kama wanaendeleza hapo kosa la JPM ni lipi?
Kosa ni kuanzisha, yaani alipanda mbegu ya violence kwenye siasa zetu na wengine wameendeleza so analaumiwa yeye. Hata alipofariki mbona CCM ilikiri chaguzi za 2019 na 2020 zilikua na madudu!! Nani alikua Rais?
 
Kuna watu huwa wanachuki. Mtu atakuchukia hata ukitembea juu ya maji atalalamika unamtimulia vumbi. Hiyo ndo chuki ya watanzania.

Jesca Magufuli alianza kusoma UDOM, almaarufu kama CHUO CHA KATA, baba yake akiwa Waziri aliyehudumu kwenye Wizara kibao.

Akaendelea kusoma UDOM, CHUO CHA KATA, wakati baba yake akiwa Rais wa nchi.

Come on bhana, hata kama tuna na Magufuli kiasi gani, hatuwezi kupuuzia hili.

Nimeona wadau wanasema “anapretend,” sijaelewa hapa anapretend nini. Anapretend kwamba yeye na kaka yake walisoma UDOM au nini haswa?

Walianza kupretend tangu baba akiwa Waziri kisha wakaendelea kupretend baada ya baba kuwa Rais au hii pretense ilianza lini?[emoji848]

Nimeona wadau wanasema “aliwekewa ulinzi akiwa UDOM na dereva wa kumpeleka chuoni kila mara.”

Tuwe realistic kidogo bhana, tunamzungumzia mtoto wa Rais wa nchi hapa; hata common sense tu haijustify ulinzi wake?[emoji848][emoji848]

Yes, tunamchukia Magufuli kwa ubaya alioufanya kwa wapinzani na watu waliomkosoa, lakini sidhani kama hili ni sehemu ya ubaya huo.

Tusisahau kuwa wakati Jesca Magufuli anasoma “Chuo Cha Kata,” UDOM, Ridhiwani Kikwete alikuwa Hull Uingereza, Fatma Karume alikuwa Sussex Uingereza, Hussein Mwinyi alikuwa Uturuki, and list goes on and on.

CnP
Wajinga wachache mno ndo wanaweza kumchukia JPM. Kwa namna hali ilivyo hivi sasa sidhani kama kuna asiyemkumbuka.
 
We chawa pro max umeanza vizuri umeharibu vibaya.
Rizwan kasoma nchini kuanzia primary mpaka university,uingereza aluenda kwa ajili ya masters tu,familia yote ya kikwete wamesomea nchini
Sio lazima ukimtaja JPM umtaje na JK
Nyie hampendi Elimu kabisa....umeonesha kuwa wewe ndo chawa pro max. Amesoma UK au hajasoma? Yaani nimeandika kiswahili na bado hujaelewa? We ni mkewe wa ngapi?ni mchep wa kikwete jakaya au kikwete riziwan? Maana umefunga kibwebwe na umekuja pekupeku shanga nje kidole juu unatikisa kiuno....
 
1745940664361.jpg

Unamuongelea huyu Jesca KILAZA??
 
Kosa ni kuanzisha, yaani alipanda mbegu ya violence kwenye siasa zetu na wengine wameendeleza so analaumiwa yeye. Hata alipofariki mbona CCM ilikiri chaguzi za 2019 na 2020 zilikua na madudu!! Nani alikua Rais?
WEwe kama mama yako alizaa kabla ya ndoa na wewe utazaa kabla ya ndoa umlaumu mama yako? Ukatili ulikuwepo toka kipindi cha kikwete watu walitekwa na kutupwa msituni. Magufuli akaongeza, Samia ameongeza zaidi.

Labda nyie madogo wa miaka 2000s hamfahamu haya mambo ya Dr Ulimboka na watu kumwagiwa tindikali, kupigwa mabomu n.k.tuulizeni sisi wa miaka ya late 60s na tuliokuwa na akili. Mimi nipo nje ya nchi but kila kinachoendelea nakifahamu watu hawafichi wanasema.
 
Kuna watu huwa wanachuki. Mtu atakuchukia hata ukitembea juu ya maji atalalamika unamtimulia vumbi. Hiyo ndo chuki ya watanzania.

Jesca Magufuli alianza kusoma UDOM, almaarufu kama CHUO CHA KATA, baba yake akiwa Waziri aliyehudumu kwenye Wizara kibao.

Akaendelea kusoma UDOM, CHUO CHA KATA, wakati baba yake akiwa Rais wa nchi.

Come on bhana, hata kama tuna na Magufuli kiasi gani, hatuwezi kupuuzia hili.

Nimeona wadau wanasema “anapretend,” sijaelewa hapa anapretend nini. Anapretend kwamba yeye na kaka yake walisoma UDOM au nini haswa?

Walianza kupretend tangu baba akiwa Waziri kisha wakaendelea kupretend baada ya baba kuwa Rais au hii pretense ilianza lini?🤔

Nimeona wadau wanasema “aliwekewa ulinzi akiwa UDOM na dereva wa kumpeleka chuoni kila mara.”

Tuwe realistic kidogo bhana, tunamzungumzia mtoto wa Rais wa nchi hapa; hata common sense tu haijustify ulinzi wake?🤔🤔

Yes, tunamchukia Magufuli kwa ubaya alioufanya kwa wapinzani na watu waliomkosoa, lakini sidhani kama hili ni sehemu ya ubaya huo.

Tusisahau kuwa wakati Jesca Magufuli anasoma “Chuo Cha Kata,” UDOM, Ridhiwani Kikwete alikuwa Hull Uingereza, Fatma Karume alikuwa Sussex Uingereza, Hussein Mwinyi alikuwa Uturuki, and list goes on and on.

CnP
Mwakagani amesoma pale udom
 
Nyie hampendi Elimu kabisa....umeonesha kuwa wewe ndo chawa pro max. Amesoma UK au hajasoma? Yaani nimeandika kiswahili na bado hujaelewa? We ni mkewe wa ngapi?ni mchep wa kikwete jakaya au kikwete riziwan? Maana umefunga kibwebwe na umekuja pekupeku shanga nje kidole juu unatikisa kiuno....
Kusoma UK ni dhambi?
Jpm mwenyewe si alienda kusoma Uk akafeli
Watoto wa jpm walipata shida sababu ya roho mbaya ya baba yao,sio uzalendo.
Unahonga malaya nyumba ya serikali,unajengea malaya hoteli ya gharama watoto wanasoma mbuyuni primary
Lazima ufe kwa laana
 
Oooooh.... Wewe hujawahi hongwa nyumba ndo maana umekasirika. Wenzio wanahongwa sababu ni wanawake watamu wewe na shombo hilo utahongwa beers tu 🤣
 
Hayo ni masuala yao ya kifamilia sisi hayatuhusu, hoja yetu jamaa alikuwa dictator sana kwenye uongozi wake

Magufuli atabaki kuwa kiongozi wa hovyo sana kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania

Na bora alivyokufa alikuwa anatupeleka pabaya sana
 
Pamoja na yote hayo kinachoharibu taswira ya magufuli ni Yale matendo yake ya ubabe na ukatili mwingi
 
Back
Top Bottom