Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Na JPM alijinadi kila uchwao kuwa yeye ni rais wa masikiniHao wanaohangaika kumsema ukifuatilia wengi wao ni masikini...masikini asili yao huwa ni wivu na chuki kwa wenye nacho.
Na JPM alijinadi kila uchwao kuwa yeye ni rais wa masikiniHao wanaohangaika kumsema ukifuatilia wengi wao ni masikini...masikini asili yao huwa ni wivu na chuki kwa wenye nacho.
Kweli aysee.Pamoja na yote hayo kinachoharibu taswira ya magufuli ni Yale matendo yake ya ubabe na ukatili mwingi
Tuache kudanganyana enzi za Kikwete haya mambo yalikua nadra sana ukiacha Mvungi, ulimboka,Kubenea n.k ila kwa sasa ziko wazi sana. Issue za kutekana, watu kupewa kesa za uhaini au kuuwawa wazi wazi zimeshamiri sana na hata CCM wenyewe kina kinana walikiri.Ukatili ulikuwepo toka kipindi cha kikwete watu walitekwa na kutupwa msituni. Magufuli akaongeza, Samia ameongeza zaidi.
My point is JPM alisomq nje so mfano wako wa kukosoa Rais Mwinyi na kina ridhiwan kusoma nje unakua irrelevant. Hii sio FB you embicileAlisomeshwa na baba yake Rais kwa kodi zetu?
Kufeli, miaka ile 2012 kurudi nyuma wala sio swala la kushangazaView attachment 3321532
Unamuongelea huyu Jesca KILAZA??
Mbona umeumia sana. Wewe ndiye Jesca KILAZA?Huyu unaemuita kilaza yuko zake yuko dodoma anapiga kazi wewe una nini??
Wewe bado umri wako mdogo. Tuulize sisi. Hao akina Mvungi, Mwangosi,Kubenea,kuna yule Mwanasheria simkumbuki jina, kuna Kubenea, Daudi Balali. Waliobambikiwa kesi walikuwepo akina Mtikila etc.Tuache kudanganyana enzi za Kikwete haya mambo yalikua nadra sana ukiacha Mvungi, ulimboka,Kubenea n.k ila kwa sasa ziko wazi sana. Issue za kutekana, watu kupewa kesa za uhaini au kuuwawa wazi wazi zimeshamiri sana na hata CCM wenyewe kina kinana walikiri.
JPM ndio muasisi wa hizi siasa za kutumia bunduki na aliyefuata ni Samia kaendeleza mule mule na anayekuja naye atatumia hiyo hiyo.
Ila JPM alionywa sana humu hakusikia, trust me Huyu mama anavyoua upinzani inafanya wabaya wake wa CCM watafute plan B ya "internal". Meaning hana muda mrefu naye atapumzishwa tu.
Very unfortunate tumefikia huku kwamba watu hawajifunzi kwa makosa ya wenzao hadi kusubiri kuondolewa discreetly.
Watu wamelihwa sumu,brainwashed kua ni mtu mbaya, ndio amewafundisha watu wengi sn kua nchi inaliwa,kutunza akiba,kwangu mm alikua shujaa na atabakia kua raisi bora kuwahi tokea TZKuna watu huwa wanachuki. Mtu atakuchukia hata ukitembea juu ya maji atalalamika unamtimulia vumbi. Hiyo ndo chuki ya watanzania.
Jesca Magufuli alianza kusoma UDOM, almaarufu kama CHUO CHA KATA, baba yake akiwa Waziri aliyehudumu kwenye Wizara kibao.
Akaendelea kusoma UDOM, CHUO CHA KATA, wakati baba yake akiwa Rais wa nchi.
Come on bhana, hata kama tuna na Magufuli kiasi gani, hatuwezi kupuuzia hili.
Nimeona wadau wanasema “anapretend,” sijaelewa hapa anapretend nini. Anapretend kwamba yeye na kaka yake walisoma UDOM au nini haswa?
Walianza kupretend tangu baba akiwa Waziri kisha wakaendelea kupretend baada ya baba kuwa Rais au hii pretense ilianza lini?🤔
Nimeona wadau wanasema “aliwekewa ulinzi akiwa UDOM na dereva wa kumpeleka chuoni kila mara.”
Tuwe realistic kidogo bhana, tunamzungumzia mtoto wa Rais wa nchi hapa; hata common sense tu haijustify ulinzi wake?🤔🤔
Yes, tunamchukia Magufuli kwa ubaya alioufanya kwa wapinzani na watu waliomkosoa, lakini sidhani kama hili ni sehemu ya ubaya huo.
Tusisahau kuwa wakati Jesca Magufuli anasoma “Chuo Cha Kata,” UDOM, Ridhiwani Kikwete alikuwa Hull Uingereza, Fatma Karume alikuwa Sussex Uingereza, Hussein Mwinyi alikuwa Uturuki, and list goes on and on.
CnP
'Kazi iendelee ' unajua maana yake?Kweli aysee.
Mama Samia ni mpole na msikivu sana
Wanafki nyie!'Kazi iendelee ' unajua maana yake?
Zilikutwa na nani?Dollar 15000000 zilikutwa nyumbani kwake
Story za kutunga tu hzo hakuna mjinga kiasi hicho atafanya huo upuuzi hata mafanyakazi wa kawaida ukitaka kujua ni uongo nenda kaisikilize ile interview full ndio utaelewa watanzania shida kubwa ni self awareness.Dollar 15000000 zilikutwa nyumbani kwake
Kosa lake si umeshasema kuanzisha ukatili sasa unauliza nini tena?😄Watu wana chuki mpaka kila ukatili linalofanyika huku yeye akiwa mfu bado anaambiwa ni yeye 😂
Ety yeye alianzisha ukatili hvy aliokuwa nao wanaendeleza, sasa kama wanaendeleza hapo kosa la JPM ni lipi? Ni sawa na shuleni uwe kilaza bc na umemaliza shule na kwenye maisha bado ni kilaza afu alaumiwe mwalimu wako 😂 au ni rais mpya wa sasa kwann asiwazuie hao watu
Hujaona neno eti ?Kosa lake si umeshasema kuanzisha ukatili sasa unauliza nini tena?😄
All of them are worstWanafki nyie!
vyeti feki, Hamna wema!
Magufuli was the best!
Nyingi ya hizo alipora kwenye zile bureau de change zilizovamiwa na kikosi kazi.Dollar 15000000 zilikutwa nyumbani kwake
Kwako.Wanafki nyie!
vyeti feki, Hamna wema!
Magufuli was the best!
Zile dolar alizopora kwenye bureau de change alizipeleka wapi?Story za kutunga tu hzo hakuna mjinga kiasi hicho atafanya huo upuuzi hata mafanyakazi wa kawaida ukitaka kujua ni uongo nenda kaisikilize ile interview full ndio utaelewa watanzania shida kubwa ni self awareness.