Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 2,233
- 3,144
Kuna watu huwa wanachuki. Mtu atakuchukia hata ukitembea juu ya maji atalalamika unamtimulia vumbi. Hiyo ndo chuki ya watanzania.
Jesca Magufuli alianza kusoma UDOM, almaarufu kama CHUO CHA KATA, baba yake akiwa Waziri aliyehudumu kwenye Wizara kibao.
Akaendelea kusoma UDOM, CHUO CHA KATA, wakati baba yake akiwa Rais wa nchi.
Come on bhana, hata kama tuna na Magufuli kiasi gani, hatuwezi kupuuzia hili.
Nimeona wadau wanasema “anapretend,” sijaelewa hapa anapretend nini. Anapretend kwamba yeye na kaka yake walisoma UDOM au nini haswa?
Walianza kupretend tangu baba akiwa Waziri kisha wakaendelea kupretend baada ya baba kuwa Rais au hii pretense ilianza lini?🤔
Nimeona wadau wanasema “aliwekewa ulinzi akiwa UDOM na dereva wa kumpeleka chuoni kila mara.”
Tuwe realistic kidogo bhana, tunamzungumzia mtoto wa Rais wa nchi hapa; hata common sense tu haijustify ulinzi wake?🤔🤔
Yes, tunamchukia Magufuli kwa ubaya alioufanya kwa wapinzani na watu waliomkosoa, lakini sidhani kama hili ni sehemu ya ubaya huo.
Tusisahau kuwa wakati Jesca Magufuli anasoma “Chuo Cha Kata,” UDOM, Ridhiwani Kikwete alikuwa Hull Uingereza, Fatma Karume alikuwa Sussex Uingereza, Hussein Mwinyi alikuwa Uturuki, and list goes on and on.
CnP
Yule alikuwa mzalendo kama Traore. Tegemea majaribio ya kumuuaTraore au kuua legacy ya JPM. Media zote duniani zinamilikiwa na wazungu. Lengo lao ni kutawala dunia, nchi zote hadi mwisho wa dunia.
Watakupa sifa zote kama Saudi, UAE, Israel, au watakuita dikteta usipokubari masharti yao.