Tuna miaka miwili na Mwanaume wangu ila hana anachonipa

Wewe kuna unachompa?
 
Dada yetu akipewa Tsh. 1000 ataamini kuwa anapendwa. Upendo wadada yetu ni cheap sana
 
Unachura kama hamisa mobeto nfanye revolution chap weka pcha tukuone kama hii jimbo alina mwenyw
 
T
Ahaaaa
Mwanadada uliefikachuo usije jidanganya ukadate mwanaume ambae Hana elimu at least ya secondary
Ni mizigooo .
Simba alizidiwa anakula hata majani ila aisee those guys ni shida.elimu ni elimu tu
Tuhadithieee vizuri yalikukuta nn mkuu
 
Njoo pm nikuliwaze
 
Jeez! Nimeupenda ushauri wako..mpaka pale moyo utakapokuwa tayari kumuacha
 
Hivi mpaka unaomba kununuliwa vocha, kwani hufanyi kazi au kujishughulisha na maendeleo yeyote maishani mwako? Usiwe mzigo kwa mwenzako, wanawake wa namna hii mnaboa sana kwa kweli.
 
Mume wako au au mwanaume wako?
 
Na kwanini uombe hela ya mocha badala ya ndoa kama unampenda na umasikini wake wa kukosa hata vocha?
 
Mhhh!! Hapi Kuna shidoo☹️☹️☹️☹️
 
Wewe na huyo demu wako sijui niwashauri nini!
Aah anyway na huyo bwana ngoja nifunge mlango nakuja kuwashauri
 
Kwanza, hajasoma
Pili,alikudanganya umri wake
Tatu,kuna mwanahuo unawaza kuanzisha mahusiano nae.
Nne,una kazi na unahitaji vocha.

Unadhani yote hayo yeye haoni mienendo yako?

Kwa hiyo,akili zako zinakutuma kwamba kutambulishwa kwa ndugu na mzazi kunakupa kukidhi vigezo vya kuwa nae?
"Nilivyokuvua chupi,ndo na wengine wanafanyaga hivo". Hicho ndo anachokiwaza yeye. Sasa basi, ulishaliwa wewe.
 
na wewe akikuambia njoo usiende

mwanamke matunzo 💯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…