Tuna tatizo jipya: Mabinti ukiwaalika nyumbani wanang'ang'ania

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Sasa hivi imekua kosa kumkaribisha Binti nyumbani ili mpeane burudani..Sijui ni ugumu wa soko lao ama ni nini lakini Mimi hili limenikuta juzi, anyway Iko hivi.

"Kuna mrembo nimemkaribisha Siku ya mwaka mpya na wote tulikubaliana kwamba nitaibomoa nyapu kisha nikajua anaondoka kesho yake, lakini leo ni siku ya pili kama masihara yaaani chuma kimegoma kung'oka.

Asubuhi ya leo nimeamshwa na chai kabla ya kwenda kusalimia wana sababu Niko likizo, ila hali hii sijazoea mimi.

Sina hili wala lile nikama ratiba yangu anayo nacheki simu kumbe, amenitumia ujumbe kwamba chakula cha mchana tayari.

Hivi muda huu kwenye harakati za kula msosi kasema kuna fedha kasevu, inatakiwa tukanunue vitu vya ndani. Mind you hili geto langu huwa ni makutano kwa ajili ya kuingiliana kimwili tu.

Lakini namuona nikama anamalengo hili gheto langu liwe nyumbani sasa, ila bado sijamwelewa aisee.

Naona anazungumza mipango mingi ya pamoja na yamuda mrefu kuhusu hili gheto kuliko mimi niliyemualika kwa lengo la muda mfupi tu.

Stori zake naona anazungumza vitu vya kutekeleza mwezi mzima, hapa kwangu...Wakuu namaliza kula NAMFUKUZA
 
😂😂😂😂 Hii kitu hata mimi nime experience, ukimleta demu home hataki kuondoka kabisa, yani kuna wengine ni mpaka umbadilikie, lakini ukitumia mbinu za kizamani kama kusingizia umepata dharura au kuna mgeni anakuja bado hazifui dafu, nafkiri wengi wako katika retirement phase, kwahiyo wanapambana wapate uhakika wa kesho yao
Ni kama timu zinavokua serious second phase ya UEFA legue hatua ya mtoano
 
Kama umekuta akiwa 25+ na sio bikira hapo unaenda kuwa retirement plan. She expored the streets, in her peak years she thought she had all time and the streets will treat her like a queen. Unfortunately the streets treated her like a hoe. Now she is in searching of a safe place to land.

What to do? Pipe and swipe her th the streets where she belong
 
Damn😅
 
Sasa hivi imekua kosa kumkaribisha Binti nyumbani ili mpeane burudani..Sijui ni ugumu wa soko lao ama ni nini lakini Mimi hili limenikuta juzi, anyway Iko hivi.

"Kuna mrembo nimemkaribisha Siku ya mwaka mpya na wote tulikubaliana kwamba nitaibomoa nyapu kisha nikajua anaondoka kesho yake, lakini leo ni siku ya pili kama masihara yaaani chuma kimegoma kung'oka.

Asubuhi ya leo nimeamshwa na chai kabla ya kwenda kusalimia wana sababu Niko likizo, ila hali hii sijazoea mimi.

Sina hili wala lile nikama ratiba yangu anayo nacheki simu kumbe, amenitumia ujumbe kwamba chakula cha mchana tayari.

Hivi muda huu kwenye harakati za kula msosi kasema kuna fedha kasevu, inatakiwa tukanunue vitu vya ndani. Mind you hili geto langu huwa ni makutano kwa ajili ya kuingiliana kimwili tu.

Lakini namuona nikama anamalengo hili gheto langu liwe nyumbani sasa, ila bado sijamwelewa aisee.

Naona anazungumza mipango mingi ya pamoja na yamuda mrefu kuhusu hili gheto kuliko mimi niliyemualika kwa lengo la muda mfupi tu.

Stori zake naona anazungumza vitu vya kutekeleza mwezi mzima, hapa kwangu...Wakuu namaliza kula NAMFUKUZA
Ushikwapo shikamana.Toa ushirikiano kabla haujapigwa ndoa ya mkeka kijana.
 
Luna mmojanalikujaga maghetoni,
Picha linaanza anaanza kusifia were godoro lots hili ma kitanda kikubwa unalala peke yako?
Katoka halo Mara naomba perfume Mona maana unazo nyingi,katokanhapo nipe mayai manner nikapikie ugali,maana were mayai yotebukonpeke yako unakulaje,yaaninkila anachokiona anatamani.
Ladies nowadays, sijui wamekula maharagwe ya wapi wamejaa full tamaa bora tu tuendelee kuwapeleka nyumba za wageni.
 
Luna mmojanalikujaga maghetoni,
Picha linaanza anaanza kusifia were godoro lots hili ma kitanda kikubwa unalala peke yako?
Katoka halo Mara naomba perfume Mona maana unazo nyingi,katokanhapo nipe mayai manner nikapikie ugali,maana were mayai yotebukonpeke yako unakulaje,yaaninkila anachokiona anatamani.
Ladies nowadays, sijui wamekula maharagwe ya wapi wamejaa full tamaa bora tu tuendelee kuwapeleka nyumba za wageni
 
Back
Top Bottom